Amehlo
JF-Expert Member
- May 8, 2019
- 10,104
- 29,178
una uhakika? i have anakaria 35 aliumwa watu wakahangaika kwenda hospital doctor akamwambia ni kwa kua hajadinywaMbona zinawapata tu watoto wa shule?
Huku mitaani kuna wasichana kibao wanaojistiri vizuri lakini mbona hili tatizo hawana?