Huu ugonjwa wa "kutetemeka" kuishiwa nguvu mabinti wa shule

Huu ugonjwa wa "kutetemeka" kuishiwa nguvu mabinti wa shule

Ebana eeh umenikumbusha mbali sana enzi hizo nimeenda jkt, asa kipindi kozi ndo imechanganya wadada wakazua ugonjwa wao wakushakeshake.
Yaani wanatembea huku wanatetemesha miguu.
Afande aliyekuwa daktari wa kikosi akasema hakuna ugonjwa kama huo akiwataka waache uhuni wao mara moja.
Baada ya hapo hatukuona kushakeshake wala bibi yake na kushakeshake.
Na tangia hapo hua naamini hali hiyo ni usanii.

NB:haya ni mawazo yangu kutokana na experience yangu
 
Ndio nn hiyo?
Binti anaweza kaanguka, anatetemeka au anakuwa kapatwa na kitu kama kifafa.
Iliwapata mabinti au wanawake ambao hawashiriki kwenye sexual activities

Zamani hii iliitwa hysteria, ulikuwa ni ugonjwa.

Lakini siku hizi hautambuliki kama ugonjwa.
 
Kumbe
 
si ni nyegezi tu hizo wenzao wakishaona hivyo wanaandaa kijisherehe waanaalika shule za boys mnaekewa disco
Wakati ule tukiwa shuleni, nakumbuka Wanafunzi wa Loleza walikuwa wanakuja kuja kwaajili ya disco shuleni kwetu.

Hata kama ulikuwa na Upwiru debe 1 basi kitendo cha kuwaona tu ilitosha kuuondoa huo Upwiru.

Ilifanya hata Ufauru uongezeke kwa kucheza nao disco.

Those were days 🤗
 
Haswa shule za boarding ambazo ni wasichana tupu. Hilo tatizo Huwa la kuishiwa nguvu miguuni huyokea mara Kwa mara.

Kufuatia hiyo shule ya kenya ya wasichana inayotrend, lakini Mimi nimeshaishuhudia mara nyingi.

Poa Kwa shule za mchanganyikon huw inatokea ila Kwa uchache sana.

Je, kuna namna ya kuelezea swala hili kitaalamu?
Wenzetu wanaita hysteria. Ila kwenye Ile video mtoa taarifa anasema inatokana na chanjo fulani. Kuna nchi zilipiga marufuku chanjo ya polio kwa kisingizio hiki na pia kuchelea wasichana kutoweza kupata mimba katika maisha yao hapo baadae. Matokeo yake baada ya muda polio ikalipuka na watoto wakawa vilema. Kuweni makini sana na taarifa zisizo sahihi zitolewazo mitandaoni.
 
si ni nyegezi tu hizo wenzao wakishaona hivyo wanaandaa kijisherehe waanaalika shule za boys mnaekewa disco
Kuna shule hapa jirani kidato Cha 1hadi 6,wavulana na wasichana.wasichana wanatatizo kama Hilo,na wengine kuchanganyikwa hasa wasichana,jitihada zinafanyika kutibu tatizo Hilo lkn Bado,wiki end ilyopita kulikuwa na disko la kukaribisha kidato Cha 5 lkn Bado tatizo linaongezeka.Naomba mwenyewe Ushauri wa kuwasaidia kukomesha tatizo Hilo maana walimu na wanafunzi wanateseka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walimuona wanatesekaje na wenyewe au...hizo hekaheka za madogo
 
We mbishi sana.

Zama hizi za google na youtube.

Research kibao zimejaa mtandaoni.

Hizo vitu hazijaanza tokea leo ni enzi na enzi.

Na wazungu washafanya research nyingi na wakapata majibu.

Jifunze kujisomea ili uelewe mambo kwa upana
Acha porojo kuna matukio mengi hata wake za watu wanapata hii kitu. Hakuna cha nyege wala nini. Mtu katiwa leo kesho akifanya mazoezi flani flani anapata hali kama hii. Ndio maana kuna mmoja hapo kasema hata jkt kuna mazoezi makali hali hii hutokea nasionkwa wanawake tu hata wanaume acha kujifaragua pusi wewe
 
Back
Top Bottom