masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
Kumbe🥺si ni nyegezi tu hizo wenzao wakishaona hivyo wanaandaa kijisherehe waanaalika shule za boys mnaekewa disco
alafu hata hawawabani mnaahiwa free disco liishe saa tano huko kesho mnaamka wazima mkiendelea kuumwa hapo ndo hatua zingine zinafataKumbe🥺
Balaa, sijawahi experience hivyo vitu😂alafu hata hawawabani mnaahiwa free disco liishe saa tano huko kesho mnaamka wazima mkiendelea kuumwa hapo ndo hatua zingine zinafata
Hivi Kuna maelezo kitaalamu kwamba ni nyege?si ni nyegezi tu hizo wenzao wakishaona hivyo wanaandaa kijisherehe waanaalika shule za boys mnaekewa disco
Nyege zikibana miguu inashake?alafu hata hawawabani mnaahiwa free disco liishe saa tano huko kesho mnaamka wazima mkiendelea kuumwa hapo ndo hatua zingine zinafata
Nyege zikibana miguu inashake?
Kwa maana hiyo nyege zimewapata wote kwa muda mmoja?Kila mtu ana tabia zake nyege zikimbana. Miili ya binadamu haifanani kila kitu.
Hao mabinti wanapata hysterical attacks zinazosababishwa na nyege
Kwa maana hiyo nyege zimewapata wote kwa muda mmoja?
Yani kwa mfano mmoja wao angehisi kiu ya maji, hiyo kiu kuna uwezekano wa kuwashika wote kwa muda mmoja?
Au imekaaje.
Anachokiandika sio sahihi labda alete ushahidi wa kitaalam nasio maneno ya vijiweni. Hii Hali hata jkt inawakumba Sana kinadada kutokana na mazoeziKwa maana hiyo nyege zimewapata wote kwa muda mmoja?
Yani kwa mfano mmoja wao angehisi kiu ya maji, hiyo kiu kuna uwezekano wa kuwashika wote kwa muda mmoja?
Au imekaaje.
Anachokiandika sio sahihi labda alete ushahidi wa kitaalam nasio maneno ya vijiweni. Hii Hali hata jkt inawakumba Sana kinadada kutokana na mazoezi
Mkuu, bado maelezo yako hayatoshi kuthibitisha hayo madai kwamba inatokana na nyege,.... Huenda kuna ugonjwa mwingine, Mfano tukisema labda kuna chakula wamekula ambacho kimepelekea tatizo hilo inaweza ikaingia akilini kidogo,.Age zao zinafanana. Na asilimia kubwa wanakuwa hawajawai kufanya mapenzi ndio maana wanapata kwa pamoja.
Hiyo ya pamoja inaitwa Mass Hysteria.
Nenda kafanye research google na youtube utaelewa zaidi.
Ama nenda kamuulize daktari bingwa wa wanawake.. atakueleza