Huu ugonjwa wa "kutetemeka" kuishiwa nguvu mabinti wa shule


We mbishi sana.

Zama hizi za google na youtube.

Research kibao zimejaa mtandaoni.

Hizo vitu hazijaanza tokea leo ni enzi na enzi.

Na wazungu washafanya research nyingi na wakapata majibu.

Jifunze kujisomea ili uelewe mambo kwa upana
 
si ni nyegezi tu hizo wenzao wakishaona hivyo wanaandaa kijisherehe waanaalika shule za boys mnaekewa disco
Aisee ulipitia hlo life?

Advance hyo uboyzn kila baada ya miezi miwili walikua wanatuletea wadada wa mawenzi, machame dadaz, weru weru, ashira, Masama, majengo na zngn tunaonesha talents kidogo tunapiga msosi then walimu wanatoka tunabaki social hall na wadada mlango unafungwa ......🤣disco masaa manne au matano hapo lazima ukojoe zote
 
Kitaalamu inaitwa Hysteria.

In old age, ikimuwa inatibika kwa kustimulate genitalia.

Hadi leo tiba ni hiyo hiyo.

Ugonjwa huu umepungua sababu mabinti wa leo wanaanza kugongwa mapema.. hivyo hizo madness haziwatokei kama zamani
 
Hivi Kuna maelezo kitaalamu kwamba ni nyege?
Hapana, sio nyege ni matatizo ya mfumo wa fahamu au misuli.
Kwa maeneo ya shuleni mi naweza kusema ku-shake kwa miguu ni mwili unajaribu kupunguza/kuachia stress(stress-reliever) ambazo zimekusanyika mwilini.
Sioni uhusiano na nyege kweny hili tatizo.
 
mleta mada kasema hiyo hali hua anaiona sana kwa wasichana wanaosoma shule za jinsia moja
 
Nimekumbuka mbali sana
 
Mbona zinawapata tu watoto wa shule?

Huku mitaani kuna wasichana kibao wanaojistiri vizuri lakini mbona hili tatizo hawana?
 
DAwa mafuta ya taa kwa chakula
 
Kwa kuongeza,hali hiyo hutokea hata kwa wanaume inapotokea wanatembea pamoja njiani then mmoja wao aka shikwa na haja mdogo akaenda kujisaidia, na wengine nao watashikwa na haja na kwenda kunisaidia.
 
Kwa maana hiyo nyege zimewapata wote kwa muda mmoja?

Yani kwa mfano mmoja wao angehisi kiu ya maji, hiyo kiu kuna uwezekano wa kuwashika wote kwa muda mmoja?

Au imekaaje.
Mmewahi kutembea group mmoja akianza kukojoa mnajikuta group zima mnakojoa?
 
Nyege si wanaludi likizo makwao au wanakaa moja kwa moja shuleni Kama masista.
 
nashukuru sheleni kwetu kulikua na walimu wengi wa kiume kuliko wa kike
 
Kwa kuongeza,hali hiyo hutokea hata kwa wanaume inapotokea wanatembea pamoja njiani then mmoja wao aka shikwa na haja mdogo akaenda kujisaidia, na wengine nao watashikwa na haja na kwenda kunisaidia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…