Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kitu wanawake hatupendi kama mwanaume aseme mi sio baba ako au mumeo nikuhudumie unajiuliza asa kaniweka fungu gani??? Ilihali ulishaona jamaa kama bwege mtozeni wako inauma kinomaUmekubali kuwa manzi kakalishwaee?
Maana kwanza lilianza likiwa juu kinoma but dogo kashusha one hit kamenyamaza na kupoa
Ahsante kwa hii code mkuuHakuna kitu wanawake hatupendi kama mwanaume aseme mi sio baba ako au mumeo nikuhudumie unajiuliza asa kaniweka fungu gani??? Ilihali ulishaona jamaa kama bwege mtozeni wako inauma kinoma
Kingine naona wadau hapa jamvini wanaact like masuperior sana kwenye mahusiano but amini usiamini wengi wao ni wasenge kinyama yaani..Hakuna kitu wanawake hatupendi kama mwanaume aseme mi sio baba ako au mumeo nikuhudumie unajiuliza asa kaniweka fungu gani??? Ilihali ulishaona jamaa kama bwege mtozeni wako inauma kinoma
😅😅 tunawafundisha hawa vijana mkuu.we mzee mwenzangu acha kuingilia mambo ya vijana
shindikana nikikosa gari nakuroga.Wewe pisi yangu ndio unaita shindikana? Ebooh!! Kijana umemkuta mazingira gani hebu nitonye kabla sijamaliza kujaza fomu ya kumuagizia ka Vanguard kapya!!
Atoto come and eksipleini hia!!!
Shindwaaaaa!🤣
Shindikana mimi sihusiki mama angu😅😅😅😅shindikana nikikosa gari nakuroga.
min -me kama utarogwa kwa kupeperusha hilo gari je mimi ninaeghairi nitafanywa nini?shindikana nikikosa gari nakuroga.
😂😂 mkuu mnunulie mtoto mzuri gari acha drama 😅
Hahahahaa nilimwambia aachane na kile kibabu nashangaa amekaza fuvu yaani inaniuma mi kushea na wazee😂😂 mkuu mnunulie mtoto mzuri gari acha drama 😅
shindikanaa😂😂😂😂😂Hahahahaa nilimwambia aachane na kile kibabu nashangaa amekaza fuvu yaani inaniuma mi kushea na wazee
Labda aje hapa aseme ilikuwa utani
Hapa wewe ndiye mjinga na wewe wewe ndio umeliwa.Wazee nawasalimu kwa jina la Baltazar....
Huyu Binti ni nurse katika hospital ya wilaya.
Nilimpata tuna kama mwezi sasa, alinizoea ghafla kiasi kwamba unaweza dhani ni mtu ambaye alikuwa na ukame sana wa wanaume.
Baada ya kuanza mahusiano zile panda shuka kwenda na kurudi hospital nikawa nampeleka na kumrudisha Kwa pikipiki yangu.
Muda mwingine ananiagiza vinywaji na vi chips, mwanzo nilikuwa mvumilivu. Siku zikaenda nikaomba mzigo akawa ana4uka ruka oooh ngoja tuzoeane kwanza na tuchek afya nikamwambia swala la afya hakuna shida tupime tu anytime bado akawa analeta ujanja ujanja hataki kuingia kwenye mfumo wa Baltazar.
Muda huo vimizinga vidogovidogo kama vyote, siku moja tupo kitaa usiku tukapita karibu na home napokaa basi nikamwambia tupite kwangu upaone hakubisha tukapaki nje tukaingia ghetto.
Kufika ghetto nikaanza mipapaso akasema siku nyingine atakuwa anakuja tunalala kabisa na tutaenjoy Dunia ila Kwa siku hiyo tuache kwanzia mpka tupime sikupinga kwasabab zile sababu zilikuwa na mashiko.
Siku zikaenda kunikwepa kukaendelea ahadi zisizotimizika sasa leo kaniomba hela ya kusuka nikaamua nimtolee uvivu nikamwambia pesa sina.
Alivojichanganya ni kuliuliza kwanini sina pesa hapo nikapata loop hole ta kuruka naye ki master, the rest is historyView attachment 3148855
Mods mbona wanazingua sasa na wao? Hongera kwa kurudi kundiniLets us Make Men Great Again
Mods waliondoa access ya mimi kucomment au kuandika uzi kama wiki sasa eti wanasema maneno yangu makali, leo ndio wameanza kunipa access ya kuweza kucomment
Hatutaacha kuwasanua wanetu wakae kitaalamu na hawa viumbe matapeli
Cc Payge
Unahusikaaaaa!!!!!Shindikana mimi sihusiki mama angu😅😅😅😅
Kibabu gani tena jamani?Hahahahaa nilimwambia aachane na kile kibabu nashangaa amekaza fuvu yaani inaniuma mi kushea na wazee
Labda aje hapa aseme ilikuwa utani