Huu ujasiri kwenye mahusiano tunao wachache hapa Tanzania

Wazee nawasalimu kwa jina la Baltazar....

Huyu Binti ni nurse katika hospital ya wilaya.

Nilimpata tuna kama mwezi sasa, alinizoea ghafla kiasi kwamba unaweza dhani ni mtu ambaye alikuwa na ukame sana wa wanaume.

Baada ya kuanza mahusiano zile panda shuka kwenda na kurudi hospital nikawa nampeleka na kumrudisha Kwa pikipiki yangu.

Muda mwingine ananiagiza vinywaji na vi chips, mwanzo nilikuwa mvumilivu. Siku zikaenda nikaomba mzigo akawa ana4uka ruka oooh ngoja tuzoeane kwanza na tuchek afya nikamwambia swala la afya hakuna shida tupime tu anytime bado akawa analeta ujanja ujanja hataki kuingia kwenye mfumo wa Baltazar.

Muda huo vimizinga vidogovidogo kama vyote, siku moja tupo kitaa usiku tukapita karibu na home napokaa basi nikamwambia tupite kwangu upaone hakubisha tukapaki nje tukaingia ghetto.

Kufika ghetto nikaanza mipapaso akasema siku nyingine atakuwa anakuja tunalala kabisa na tutaenjoy Dunia ila Kwa siku hiyo tuache kwanzia mpka tupime sikupinga kwasabab zile sababu zilikuwa na mashiko.

Siku zikaenda kunikwepa kukaendelea ahadi zisizotimizika sasa leo kaniomba hela ya kusuka nikaamua nimtolee uvivu nikamwambia pesa sina.

Alivojichanganya ni kuliuliza kwanini sina pesa hapo nikapata loop hole ta kuruka naye ki master, the rest is historyView attachment 3148855
Mkuu Nakushukuru sana na nakupongeza kwa kuwa wewe umehitimu masomo ya Robert Heriel( Mtibeli) na Mr Natafuta Ajira.

Popote walipo hao wakufunzi walewe maua yao. Wamemwokoa huyu kijana.

Huyo demu alikuwa anakupotezea muda tu ili akupige pesa.
 
Maelezo mengi, wakati ilitakiwa umwambie tu uje jionu uchukue. Yeye ndo achague aanze kuandika gazeti, au aje achukue fungu analo taka
 
Wazee nawasalimu kwa jina la Baltazar....

Huyu Binti ni nurse katika hospital ya wilaya.

Nilimpata tuna kama mwezi sasa, alinizoea ghafla kiasi kwamba unaweza dhani ni mtu ambaye alikuwa na ukame sana wa wanaume.

Baada ya kuanza mahusiano zile panda shuka kwenda na kurudi hospital nikawa nampeleka na kumrudisha Kwa pikipiki yangu.

Muda mwingine ananiagiza vinywaji na vi chips, mwanzo nilikuwa mvumilivu. Siku zikaenda nikaomba mzigo akawa ana4uka ruka oooh ngoja tuzoeane kwanza na tuchek afya nikamwambia swala la afya hakuna shida tupime tu anytime bado akawa analeta ujanja ujanja hataki kuingia kwenye mfumo wa Baltazar.

Muda huo vimizinga vidogovidogo kama vyote, siku moja tupo kitaa usiku tukapita karibu na home napokaa basi nikamwambia tupite kwangu upaone hakubisha tukapaki nje tukaingia ghetto.

Kufika ghetto nikaanza mipapaso akasema siku nyingine atakuwa anakuja tunalala kabisa na tutaenjoy Dunia ila Kwa siku hiyo tuache kwanzia mpka tupime sikupinga kwasabab zile sababu zilikuwa na mashiko.

Siku zikaenda kunikwepa kukaendelea ahadi zisizotimizika sasa leo kaniomba hela ya kusuka nikaamua nimtolee uvivu nikamwambia pesa sina.

Alivojichanganya ni kuliuliza kwanini sina pesa hapo nikapata loop hole ta kuruka naye ki master, the rest is historyView attachment 3148855
Safi sana kama anajielewa lazima arekebisha upumbavu wake Huyo

Ok mchape then achana naye
 
Wanaume tulivyo, Hapo anaweza kukujibu kukupa moyo kwamba yaishe uende ukaonjeshwe tunda, ukabadili mawazo ukaenda ukaishia kupata hug na kiss mbili tatu, ukatoa pesa tena na mzigo usipewe 😀😀😀
 
Umekula hasara ya kijinga sana.kwa ufuli alikuona kubwa bwege.

Mwanamke ukijifanya unampenda sana au unamjali sana humpati kabisa wanataka ukatiri hao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom