Huu ujasiri kwenye mahusiano tunao wachache hapa Tanzania

Hasira baada ya hasara

Usichokijua hapo mmepangwa kama 10 hivi!
 
Wazee nawasalimu kwa jina la Baltazar....

Huyu Binti ni nurse katika hospital ya wilaya.

Nilimpata tuna kama mwezi sasa, alinizoea ghafla kiasi kwamba unaweza dhani ni mtu ambaye alikuwa na ukame sana wa wanaume.

Baada ya kuanza mahusiano zile panda shuka kwenda na kurudi hospital nikawa nampeleka na kumrudisha Kwa pikipiki yangu.

Muda mwingine ananiagiza vinywaji na vi chips, mwanzo nilikuwa mvumilivu. Siku zikaenda nikaomba mzigo akawa ana4uka ruka oooh ngoja tuzoeane kwanza na tuchek afya nikamwambia swala la afya hakuna shida tupime tu anytime bado akawa analeta ujanja ujanja hataki kuingia kwenye mfumo wa Baltazar.

Muda huo vimizinga vidogovidogo kama vyote, siku moja tupo kitaa usiku tukapita karibu na home napokaa basi nikamwambia tupite kwangu upaone hakubisha tukapaki nje tukaingia ghetto.

Kufika ghetto nikaanza mipapaso akasema siku nyingine atakuwa anakuja tunalala kabisa na tutaenjoy Dunia ila Kwa siku hiyo tuache kwanzia mpka tupime sikupinga kwasabab zile sababu zilikuwa na mashiko.

Siku zikaenda kunikwepa kukaendelea ahadi zisizotimizika sasa leo kaniomba hela ya kusuka nikaamua nimtolee uvivu nikamwambia pesa sina.

Alivojichanganya ni kuliuliza kwanini sina pesa hapo nikapata loop hole ta kuruka naye ki master, the rest is historyView attachment 3148855
Another looser in twn ....
 
chips kala, bodaboda kapanda...kumla hujamla. Nani kapata hasara hapo?
 
Safi sana mkuu, huu mwaka tunauacha usimp. Hongera kwa Natafuta Ajira Xi Jinping kwa kutusanua.
Lets us Make Men Great Again

Mods waliondoa access ya mimi kucomment au kuandika uzi kama wiki sasa eti wanasema maneno yangu makali, leo ndio wameanza kunipa access ya kuweza kucomment

Hatutaacha kuwasanua wanetu wakae kitaalamu na hawa viumbe matapeli

Cc Payge
 
Wazee nawasalimu kwa jina la Baltazar....

Huyu Binti ni nurse katika hospital ya wilaya.

Nilimpata tuna kama mwezi sasa, alinizoea ghafla kiasi kwamba unaweza dhani ni mtu ambaye alikuwa na ukame sana wa wanaume.

Baada ya kuanza mahusiano zile panda shuka kwenda na kurudi hospital nikawa nampeleka na kumrudisha Kwa pikipiki yangu.

Muda mwingine ananiagiza vinywaji na vi chips, mwanzo nilikuwa mvumilivu. Siku zikaenda nikaomba mzigo akawa ana4uka ruka oooh ngoja tuzoeane kwanza na tuchek afya nikamwambia swala la afya hakuna shida tupime tu anytime bado akawa analeta ujanja ujanja hataki kuingia kwenye mfumo wa Baltazar.

Muda huo vimizinga vidogovidogo kama vyote, siku moja tupo kitaa usiku tukapita karibu na home napokaa basi nikamwambia tupite kwangu upaone hakubisha tukapaki nje tukaingia ghetto.

Kufika ghetto nikaanza mipapaso akasema siku nyingine atakuwa anakuja tunalala kabisa na tutaenjoy Dunia ila Kwa siku hiyo tuache kwanzia mpka tupime sikupinga kwasabab zile sababu zilikuwa na mashiko.

Siku zikaenda kunikwepa kukaendelea ahadi zisizotimizika sasa leo kaniomba hela ya kusuka nikaamua nimtolee uvivu nikamwambia pesa sina.

Alivojichanganya ni kuliuliza kwanini sina pesa hapo nikapata loop hole ta kuruka naye ki master, the rest is historyView attachment 3148855
Punguza majibu makali tutoto tudogo tudogo kama hivyo vinapenda kusifiwa na kupewa majibu mazuri halafu jifunze kumlenga mlengwa Moja kwa Moja maswala ya kukwambia ww sio baba, mtoto ama mke hayalet mantiki vijamaa vijanja hiyo code walikuwa wanaifungua kirahisi kwakuwa mwanamke ni mtu wa kupangwa mrudie kwa njia hii .... Mwambie unaumwa aje kwako jiuguze uguze
 
Wazee nawasalimu kwa jina la Baltazar....

Huyu Binti ni nurse katika hospital ya wilaya.

Nilimpata tuna kama mwezi sasa, alinizoea ghafla kiasi kwamba unaweza dhani ni mtu ambaye alikuwa na ukame sana wa wanaume.

Baada ya kuanza mahusiano zile panda shuka kwenda na kurudi hospital nikawa nampeleka na kumrudisha Kwa pikipiki yangu.

Muda mwingine ananiagiza vinywaji na vi chips, mwanzo nilikuwa mvumilivu. Siku zikaenda nikaomba mzigo akawa ana4uka ruka oooh ngoja tuzoeane kwanza na tuchek afya nikamwambia swala la afya hakuna shida tupime tu anytime bado akawa analeta ujanja ujanja hataki kuingia kwenye mfumo wa Baltazar.

Muda huo vimizinga vidogovidogo kama vyote, siku moja tupo kitaa usiku tukapita karibu na home napokaa basi nikamwambia tupite kwangu upaone hakubisha tukapaki nje tukaingia ghetto.

Kufika ghetto nikaanza mipapaso akasema siku nyingine atakuwa anakuja tunalala kabisa na tutaenjoy Dunia ila Kwa siku hiyo tuache kwanzia mpka tupime sikupin TYga kwasabab zile sababu zilikuwa na mashiko.

Siku zikaenda kunikwepa kukaendelea ahadi zisizotimizika sasa leo kaniomba hela ya kusuka nikaamua nimtolee uvivu nikamwambia pesa sina.

Alivojichanganya ni kuliuliza kwanini sina pesa hapo nikapata loop hole ta kuruka naye ki master, the rest is historyView attachment 3148855
Ujasiri upo wapi hapo wakati umeshapigwa vihela vya viepe, vioda (soda), muda, mafuta ya bodaboda n.k

Hauoni kwamba muda wote alikugeuza bwege mtozeni?
Halafu umeandika sentensi ndeefu, yeye kakujibi "Ok"
 
Wazee nawasalimu kwa jina la Baltazar....

Huyu Binti ni nurse katika hospital ya wilaya.

Nilimpata tuna kama mwezi sasa, alinizoea ghafla kiasi kwamba unaweza dhani ni mtu ambaye alikuwa na ukame sana wa wanaume.

Baada ya kuanza mahusiano zile panda shuka kwenda na kurudi hospital nikawa nampeleka na kumrudisha Kwa pikipiki yangu.

Muda mwingine ananiagiza vinywaji na vi chips, mwanzo nilikuwa mvumilivu. Siku zikaenda nikaomba mzigo akawa ana4uka ruka oooh ngoja tuzoeane kwanza na tuchek afya nikamwambia swala la afya hakuna shida tupime tu anytime bado akawa analeta ujanja ujanja hataki kuingia kwenye mfumo wa Baltazar.

Muda huo vimizinga vidogovidogo kama vyote, siku moja tupo kitaa usiku tukapita karibu na home napokaa basi nikamwambia tupite kwangu upaone hakubisha tukapaki nje tukaingia ghetto.

Kufika ghetto nikaanza mipapaso akasema siku nyingine atakuwa anakuja tunalala kabisa na tutaenjoy Dunia ila Kwa siku hiyo tuache kwanzia mpka tupime sikupinga kwasabab zile sababu zilikuwa na mashiko.

Siku zikaenda kunikwepa kukaendelea ahadi zisizotimizika sasa leo kaniomba hela ya kusuka nikaamua nimtolee uvivu nikamwambia pesa sina.

Alivojichanganya ni kuliuliza kwanini sina pesa hapo nikapata loop hole ta kuruka naye ki master, the rest is historyView attachment 3148855
Hapo ujasiri umeonyesha wewe,yaan unahudumia kahaba mkuu
 
We jamaa umetisha khaa😅😅😅 mpaka amepoa ...
Alete simu nimjibie bwana mi kujibizana napenda
 
Back
Top Bottom