Huu ujasiri kwenye mahusiano tunao wachache hapa Tanzania

Hivi nyie mnaongelea hasara gani? Hizo chips/usafiri/drinks?? Mbona vitu vya kawaida mazee au nyi wenzetu choka mbaya kifikra??
Sikia Bro wewe piga chini tafuta pisi ingine kwanza sio kila dem wakuchovya chovya wengine wanamikosi ya babu zao, unaweza kuhangaikia afu demu wenyewe kawaida sana au ukapata ma-HPV bure.
Ifike mahala wanaume msiwe cheap kiasi hiko et ukimnunulia demu chakula au beer au kamsaada fulani lazima umtafune! Vitu vingine potezea ni hasara kama hasara zingine
 
Umekubali kuwa manzi kakalishwaee?
Maana kwanza lilianza likiwa juu kinoma but dogo kashusha one hit kamenyamaza na kupoa
Hakuna kitu wanawake hatupendi kama mwanaume aseme mi sio baba ako au mumeo nikuhudumie unajiuliza asa kaniweka fungu gani??? Ilihali ulishaona jamaa kama bwege mtozeni wako inauma kinoma
 
Huyo demu kashajua hapa na date na mtu mwenye mental disorder unless she's also crazy.
Kwanza unachat kike, alafu huna point ya msingi. Kuthibitisha wewe ni kiazi huna hata aibu unatupostia hapa tukuone ulivyo jinga jinga la kutupwa. Poor boy!
 
Hakuna kitu wanawake hatupendi kama mwanaume aseme mi sio baba ako au mumeo nikuhudumie unajiuliza asa kaniweka fungu gani??? Ilihali ulishaona jamaa kama bwege mtozeni wako inauma kinoma
Kingine naona wadau hapa jamvini wanaact like masuperior sana kwenye mahusiano but amini usiamini wengi wao ni wasenge kinyama yaani..
Na believe me wengi wao hawana technique ya kumzoa manzi..
Wanajiaminisha kuwa manzi utamzoa at zero cost kitu ambacho ni uongo mkubwa..
Wengi tunaapply maneno baada ya mbinu ndogo ya kumuonyesha who you are na ile impression yako kwake ndio vitu huchangia mamanzi wapitiwe kama kipanga yaani..
Wanawake ndio huwa hawana point of return kwenye mahusiano mapya..
Yaani kama day one umemconqure na akatii hitaji lako hata kama utamuhitaji aje ghetto atakuja tu lakini usitarajie afike avue chupi kirahisi kihivyo wakati hata dudu yako hajawahi kuiona..
Au mnataka niwape code ya kumfanya manzi yeyote avue chupi akishafika ghetto?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ mkuu mnunulie mtoto mzuri gari acha drama πŸ˜…
 
Hapa wewe ndiye mjinga na wewe wewe ndio umeliwa.
 
Kila wakati unapofanya huu upuuzi jua kwamba mizimu ya Mkwawa na Kinjeketile inasikitika kuporeza uhai kwa ajili ya vijana wa hovyo
 
Mods mbona wanazingua sasa na wao? Hongera kwa kurudi kundini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…