Njooo nikuongize dude la bartazalTakataka ๐ฎ
Shindikana utulie tu vijana wa buku mbili watakutoa kamasi๐๐๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ ninalo.
Mwaba alianza vyedi ila kamaliza hovyo bwana . Mimi nimecheka sana hapo aliposema "akawa anaruka rula kuingia kwenye mfumo wa Baltazari" ๐.Umeanza vizuri, story inaonyesha hasara iko palepale ingawa hujamaliza story
Shindikana utulie tu vijana wa buku mbili watakutoa kamasi๐๐
We ndo ulivoelewa hivoSema umejielezea sana mjomba yani hizo ni dalili umeumia kuombwa hela kama huna unasema sina sasa wewe mtu anakujibu short umekazana kupiga essay ๐
Au sio, actual situation naijua mm na Wala sijipendekezag even at a very small measureWait kidogo unajiskiaje umeandika kifurushi Cha mwezi halafu amejibu Ok. Kama ni normal basi kuwa mpole utavuka Salama .bro
Sawa kaka na naila kilainiKifupi hiyo pisi haijakuelewa, unajieleza sana yeye anakujibu "OK" bado tu hujiongezi??? All in all TAFUTA PESA
Tumependana walevi twalewa kwa hela zetu ๐ต ๐ถ ๐๐๐๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ ninalo.
Halafu yeye ndio anajiona shababi wakati demu ni kama kapata sababu ya kumtema ๐Kifupi hiyo pisi haijakuelewa, unajieleza sana yeye anakujibu "OK" bado tu hujiongezi??? All in all TAFUTA PESA
Mniletee samaki anayepaa๐คฃ๐คฃ๐คฃTumependana walevi twalewa kwa hela zetu ๐ต ๐ถ ๐๐๐
Thus, Si nimekwambia kua mpole tu utavuka Salama.Au sio, actual situation naijua mm na Wala sijipendekezag even at a very small measure