technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
😪😪😪🥺🥺😭😭😭😭 Wenye uthubutu waliuliwa wote 2025 na wengine,wengi wametekwa na wengine wako lockup😭😭😭☹️Tuachane na mambo ya Lema
Tuachane na kifo Cha kaka yake Lissu
Twendeni road tukamkomboe Lissu
Endapo watamuukumu kumfunga tuingie barabarani
Huu utakuwa ni ujuwa Kama atahukumiwa halafu tubaki ndani na wahuni waendelee kula mvinyo
Leo kwake kesho kwako twendeni tukahesabiwe.