We kaa na akili yako ya kwenye ghahawa,unadhani mafanikio yake yanatokana na nini mpaka majambazi ya lumumba yanamuwinda?siasa hamuijui tena mmeelewa na ufinyu wa mawazo matokeo yake taifa linayumba.View attachment 2103006
Muulize Mwamba wenu anayetembea na vitabu kujionyesha anasoma
Walinzi wa Hangaya unadhani hawana Maisha nje ya ulinzi ?Kwa maelezo ya Wanachadema wote - Mwamba wao Mh. Mbowe aliona na kurizika kwamba maisha yake yalikuwa hatarini hivyo kujenga mahitaji ya kuwa na VIP PROTECTION tena ya makomandoo.
VIP PROTECTOR huwa hawawi mbali na watu wanaowapa VIP PROTECTION. Kwa maelezo ya shahidi Luteni wa JWTZ Urio na mashahidi wengine wakati VIP PROTECTORS wanakamatwa VIP Mh. Mbowe alikuwa mbali nao ila walikuwa karibu sana na mtafutwa SABAYA
Kibatala: Mhe Jaji Nauliza Swali la Mwisho halafu nitatoa hoja
Kibatala: Ulisema Bwire Alikwambia Wapo katika Utekelezaji Wa Mpango
Shahidi: Siyo Mpango, alisema Samahani Bro tumeshakengeuka, Tumeshawishiwa na Freeman Mbowe, Na Vijana Wapo Kilimanjaro Katika Utejelezaji
Zao la Mwenge Hilo usisumbua akili yako. Maana kazi kubwa ya Mwenge Ni kuzalisha mazezeta. Hawezi kuelewa hata kitu kidogo hivyoKwani tayari walishakuwa waajiriwa? Yaani watu wafike tu na kupewa mikataba ya ajira pasipo kuzungumza kwa kina?
Hakuna sheria yoyote inayosema mtu atahukumiwa kwa mens rea pekee bali mens rea plus actus reus.
Au mtu anaweza kuhukumiwa kwa only actus reus bila mens rea. Hakuna case law yoyote iliyowahi kutokea mshtakiwa akawa convicted only kwa mens rea.
Kama ipo niwekee hapa. So kwenye hii case ni kupoteza muda tu hakuna kosa wala shitaka la maana dhidi ya kina Mbowe ni kwakuwa tu mahakama ni lazima isikilize ushahidi hata kama ni pumba ili ifanye maamuzi ya haki.
Yesu aliitaja hiyo ya kina kingai kwamba msiwashitaki watu kwa Uongo. Na ndicho kilichopo mahakamani. Hiyo ikitumwa uwa inauwa. Hapo bila mawakili hiyo kada ingeshafanya Ushetani waoHakuna kada ya hovyo kama ya wanasheria kwani ili uwe mwanasheria mzuri lazima uwe IMMORAL na uwe kipenzi cha wahalifu kam mh. Mbowe
Ooh kumbe Sabaya alikuwa kule kwenye mbege?Kwa maelezo ya Wanachadema wote - Mwamba wao Mh. Mbowe aliona na kurizika kwamba maisha yake yalikuwa hatarini hivyo kujenga mahitaji ya kuwa na VIP PROTECTION tena ya makomandoo.
VIP PROTECTOR huwa hawawi mbali na watu wanaowapa VIP PROTECTION. Kwa maelezo ya shahidi Luteni wa JWTZ Urio na mashahidi wengine wakati VIP PROTECTORS wanakamatwa VIP Mh. Mbowe alikuwa mbali nao ila walikuwa karibu sana na mtafutwa SABAYA
Kibatala: Mhe Jaji Nauliza Swali la Mwisho halafu nitatoa hoja
Kibatala: Ulisema Bwire Alikwambia Wapo katika Utekelezaji Wa Mpango
Shahidi: Siyo Mpango, alisema Samahani Bro tumeshakengeuka, Tumeshawishiwa na Freeman Mbowe, Na Vijana Wapo Kilimanjaro Katika Utejelezaji
Chuki yako kwa Mbowe ni ishara ya uccm wako, uchawa na umaskini wa fikra!Hakuna kada ya hovyo kama ya wanasheria kwani ili uwe mwanasheria mzuri lazima uwe IMMORAL na uwe kipenzi cha wahalifu kam mh. Mbowe
Kwani tayari walishakuwa waajiriwa? Yaani watu wafike tu na kupewa mikataba ya ajira pasipo kuzungumza kwa kina?
Hakuna sheria yoyote inayosema mtu atahukumiwa kwa mens rea pekee bali mens rea plus actus reus.
Au mtu anaweza kuhukumiwa kwa only actus reus bila mens rea. Hakuna case law yoyote iliyowahi kutokea mshtakiwa akawa convicted only kwa mens rea.
Kama ipo niwekee hapa. So kwenye hii case ni kupoteza muda tu hakuna kosa wala shitaka la maana dhidi ya kina Mbowe ni kwakuwa tu mahakama ni lazima isikilize ushahidi hata kama ni pumba ili ifanye maamuzi ya haki.
Mtu mkubwa wee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We kibwengo mimi nina walinzi body contact na wengine hutangulia ninapotembelea mahali saa 2 kabla
Huyo ni Wakudadavua anachuki sanaChuki yako kwa Mbowe ni ishara ya uccm wako, uchawa na umaskini wa fikra!
Ujui kama izo siku ndo walikuwa wametoka kutumia nauliMkuu nakubalina na wewe hakuna sheria inayokatza mtu kulindwa hata bila kujali huo umaarufu. Hoja yangu hapa ni kuwa kwanini walinzi hao hawakuwa na Mbowe.
Hukumu ya kesi hii ya kiboya inatarajiwa kusomwa lini mkuu?Kikubwa kesi imeshajiweka wazi, tusubiri hukumu kila mtu anatambua serikali wakosea kuandaa ushahidi
Walikwambia walianza kazi?Kwa maelezo ya Wanachadema wote - Mwamba wao Mh. Mbowe aliona na kurizika kwamba maisha yake yalikuwa hatarini hivyo kujenga mahitaji ya kuwa na VIP PROTECTION tena ya makomandoo.
VIP PROTECTOR huwa hawawi mbali na watu wanaowapa VIP PROTECTION. Kwa maelezo ya shahidi Luteni wa JWTZ Urio na mashahidi wengine wakati VIP PROTECTORS wanakamatwa VIP Mh. Mbowe alikuwa mbali nao ila walikuwa karibu sana na mtafutwa SABAYA
Kibatala: Mhe Jaji Nauliza Swali la Mwisho halafu nitatoa hoja
Kibatala: Ulisema Bwire Alikwambia Wapo katika Utekelezaji Wa Mpango
Shahidi: Siyo Mpango, alisema Samahani Bro tumeshakengeuka, Tumeshawishiwa na Freeman Mbowe, Na Vijana Wapo Kilimanjaro Katika Utejelezaji
Waanze kumlinda bila hata kupata mafunzo na maelekezo mengine?Ujui kama izo siku ndo walikuwa wametoka kutumia nauli

Kwa maelezo ya Wanachadema wote - Mwamba wao Mh. Mbowe aliona na kurizika kwamba maisha yake yalikuwa hatarini hivyo kujenga mahitaji ya kuwa na VIP PROTECTION tena ya makomandoo.
VIP PROTECTOR huwa hawawi mbali na watu wanaowapa VIP PROTECTION. Kwa maelezo ya shahidi Luteni wa JWTZ Urio na mashahidi wengine wakati VIP PROTECTORS wanakamatwa VIP Mh. Mbowe alikuwa mbali nao ila walikuwa karibu sana na mtafutwa SABAYA
Kibatala: Mhe Jaji Nauliza Swali la Mwisho halafu nitatoa hoja
Kibatala: Ulisema Bwire Alikwambia Wapo katika Utekelezaji Wa Mpango
Shahidi: Siyo Mpango, alisema Samahani Bro tumeshakengeuka, Tumeshawishiwa na Freeman Mbowe, Na Vijana Wapo Kilimanjaro Katika Utejelezaji
[/QUOTEUlinzi ni lazma uwe zero distance? Hta Mama Samia akitaka kwenda Kijijini kwake watajazwa askari hta week in advance. Sasa utalalamika pia kisa hawapo karibu na SSH?Pamoja ni kuwa ni sehemu ya timu bambikizi huelewi kwanini walikamatwa wakiwa njiani kwenda Kwa boss wao🤔.Hakuna kada ya hovyo kama ya wanasheria kwani ili uwe mwanasheria mzuri lazima uwe IMMORAL na uwe kipenzi cha wahalifu kam mh. Mbowe
Hukumu ya kesi hii ya kiboya inatarajiwa kusomwa lini mkuu?
Una job description yao au ndio unaleta ujuaji? Kwamba kwa sababu ni VIP basi hawawezi fanya reconnaissance ama surveillance kabla Mbowe hajafika?Mkuu hatuongelei walinzi tunaongelea VIP PROTECTION- umeelewa. Wewe ulishamuona yule jamaa nyuma y JPM anatoka- hata wakati tnamuuga JMP alikuwa naye.
Walikuwa bado hawajawa assigned kama waajiriwa wa Mbowe wala CHADEMA.Mkuu nakubalina na wewe hakuna sheria inayokatza mtu kulindwa hata bila kujali huo umaarufu. Hoja yangu hapa ni kuwa kwanini walinzi hao hawakuwa na Mbowe.