Kwa maelezo ya Wanachadema wote - Mwamba wao Mh. Mbowe aliona na kurizika kwamba maisha yake yalikuwa hatarini hivyo kujenga mahitaji ya kuwa na VIP PROTECTION tena ya makomandoo.
VIP PROTECTOR huwa hawawi mbali na watu wanaowapa VIP PROTECTION. Kwa maelezo ya shahidi Luteni wa JWTZ Urio na mashahidi wengine wakati VIP PROTECTORS wanakamatwa VIP Mh. Mbowe alikuwa mbali nao ila walikuwa karibu sana na mtafutwa SABAYA
Kibatala: Mhe Jaji Nauliza Swali la Mwisho halafu nitatoa hoja
Kibatala: Ulisema Bwire Alikwambia Wapo katika Utekelezaji Wa Mpango
Shahidi: Siyo Mpango, alisema Samahani Bro tumeshakengeuka, Tumeshawishiwa na Freeman Mbowe, Na Vijana Wapo Kilimanjaro Katika Utejelezaji
[/QUOTE
Ulinzi ni lazma uwe zero distance? Hta Mama Samia akitaka kwenda Kijijini kwake watajazwa askari hta week in advance. Sasa utalalamika pia kisa hawapo karibu na SSH?
Hakuna kada ya hovyo kama ya wanasheria kwani ili uwe mwanasheria mzuri lazima uwe IMMORAL na uwe kipenzi cha wahalifu kam mh. Mbowe
Pamoja ni kuwa ni sehemu ya timu bambikizi huelewi kwanini walikamatwa wakiwa njiani kwenda Kwa boss wao🤔.