Huu ulinzi wa VIP protection wa Freeman Mbowe unafikirisha walinzi walikuwa pale ambapo Mbowe hakuwepo?

Kwa maelezo ya Wanachadema wote - Mwamba wao Mh. Mbowe aliona na kurizika kwamba maisha yake yalikuwa hatarini hivyo kujenga mahitaji ya kuwa na VIP PROTECTION tena ya makomandoo.
VIP PROTECTOR huwa hawawi mbali na watu wanaowapa VIP PROTECTION. Kwa maelezo ya shahidi Luteni wa JWTZ Urio na mashahidi wengine wakati VIP PROTECTORS wanakamatwa VIP Mh. Mbowe alikuwa mbali nao ila walikuwa karibu sana na mtafutwa SABAYA

Kibatala: Mhe Jaji Nauliza Swali la Mwisho halafu nitatoa hoja

Kibatala: Ulisema Bwire Alikwambia Wapo katika Utekelezaji Wa Mpango

Shahidi: Siyo Mpango, alisema Samahani Bro tumeshakengeuka, Tumeshawishiwa na Freeman Mbowe, Na Vijana Wapo Kilimanjaro Katika Utejelezaji
Walinzi wa Hangaya unadhani hawana Maisha nje ya ulinzi ?
Pumbaf kabisa
 
Kwani tayari walishakuwa waajiriwa? Yaani watu wafike tu na kupewa mikataba ya ajira pasipo kuzungumza kwa kina?

Hakuna sheria yoyote inayosema mtu atahukumiwa kwa mens rea pekee bali mens rea plus actus reus.

Au mtu anaweza kuhukumiwa kwa only actus reus bila mens rea. Hakuna case law yoyote iliyowahi kutokea mshtakiwa akawa convicted only kwa mens rea.

Kama ipo niwekee hapa. So kwenye hii case ni kupoteza muda tu hakuna kosa wala shitaka la maana dhidi ya kina Mbowe ni kwakuwa tu mahakama ni lazima isikilize ushahidi hata kama ni pumba ili ifanye maamuzi ya haki.
Zao la Mwenge Hilo usisumbua akili yako. Maana kazi kubwa ya Mwenge Ni kuzalisha mazezeta. Hawezi kuelewa hata kitu kidogo hivyo
 
Hakuna kada ya hovyo kama ya wanasheria kwani ili uwe mwanasheria mzuri lazima uwe IMMORAL na uwe kipenzi cha wahalifu kam mh. Mbowe
Yesu aliitaja hiyo ya kina kingai kwamba msiwashitaki watu kwa Uongo. Na ndicho kilichopo mahakamani. Hiyo ikitumwa uwa inauwa. Hapo bila mawakili hiyo kada ingeshafanya Ushetani wao
 
Kwa maelezo ya Wanachadema wote - Mwamba wao Mh. Mbowe aliona na kurizika kwamba maisha yake yalikuwa hatarini hivyo kujenga mahitaji ya kuwa na VIP PROTECTION tena ya makomandoo.
VIP PROTECTOR huwa hawawi mbali na watu wanaowapa VIP PROTECTION. Kwa maelezo ya shahidi Luteni wa JWTZ Urio na mashahidi wengine wakati VIP PROTECTORS wanakamatwa VIP Mh. Mbowe alikuwa mbali nao ila walikuwa karibu sana na mtafutwa SABAYA

Kibatala: Mhe Jaji Nauliza Swali la Mwisho halafu nitatoa hoja

Kibatala: Ulisema Bwire Alikwambia Wapo katika Utekelezaji Wa Mpango

Shahidi: Siyo Mpango, alisema Samahani Bro tumeshakengeuka, Tumeshawishiwa na Freeman Mbowe, Na Vijana Wapo Kilimanjaro Katika Utejelezaji
Ooh kumbe Sabaya alikuwa kule kwenye mbege?
 
Hakuna kada ya hovyo kama ya wanasheria kwani ili uwe mwanasheria mzuri lazima uwe IMMORAL na uwe kipenzi cha wahalifu kam mh. Mbowe
Chuki yako kwa Mbowe ni ishara ya uccm wako, uchawa na umaskini wa fikra!
 
Kwani tayari walishakuwa waajiriwa? Yaani watu wafike tu na kupewa mikataba ya ajira pasipo kuzungumza kwa kina?

Hakuna sheria yoyote inayosema mtu atahukumiwa kwa mens rea pekee bali mens rea plus actus reus.

Au mtu anaweza kuhukumiwa kwa only actus reus bila mens rea. Hakuna case law yoyote iliyowahi kutokea mshtakiwa akawa convicted only kwa mens rea.

Kama ipo niwekee hapa. So kwenye hii case ni kupoteza muda tu hakuna kosa wala shitaka la maana dhidi ya kina Mbowe ni kwakuwa tu mahakama ni lazima isikilize ushahidi hata kama ni pumba ili ifanye maamuzi ya haki.

Mkuu, if you’re a lawyer, usipotoshe watu wengine wakaishia kunyea debe down the road!

Are you familiar with inchoate offenses?
 
Kwa maelezo ya Wanachadema wote - Mwamba wao Mh. Mbowe aliona na kurizika kwamba maisha yake yalikuwa hatarini hivyo kujenga mahitaji ya kuwa na VIP PROTECTION tena ya makomandoo.
VIP PROTECTOR huwa hawawi mbali na watu wanaowapa VIP PROTECTION. Kwa maelezo ya shahidi Luteni wa JWTZ Urio na mashahidi wengine wakati VIP PROTECTORS wanakamatwa VIP Mh. Mbowe alikuwa mbali nao ila walikuwa karibu sana na mtafutwa SABAYA

Kibatala: Mhe Jaji Nauliza Swali la Mwisho halafu nitatoa hoja

Kibatala: Ulisema Bwire Alikwambia Wapo katika Utekelezaji Wa Mpango

Shahidi: Siyo Mpango, alisema Samahani Bro tumeshakengeuka, Tumeshawishiwa na Freeman Mbowe, Na Vijana Wapo Kilimanjaro Katika Utejelezaji
Walikwambia walianza kazi?
 
Na hiki kipengele huwezi kukiona kwenye taarifa yoyote toka Chadema blog au Martin Masese kutoka Mahakamani.
Updates zao zote wanachakachua
 
Kwa maelezo ya Wanachadema wote - Mwamba wao Mh. Mbowe aliona na kurizika kwamba maisha yake yalikuwa hatarini hivyo kujenga mahitaji ya kuwa na VIP PROTECTION tena ya makomandoo.
VIP PROTECTOR huwa hawawi mbali na watu wanaowapa VIP PROTECTION. Kwa maelezo ya shahidi Luteni wa JWTZ Urio na mashahidi wengine wakati VIP PROTECTORS wanakamatwa VIP Mh. Mbowe alikuwa mbali nao ila walikuwa karibu sana na mtafutwa SABAYA

Kibatala: Mhe Jaji Nauliza Swali la Mwisho halafu nitatoa hoja

Kibatala: Ulisema Bwire Alikwambia Wapo katika Utekelezaji Wa Mpango

Shahidi: Siyo Mpango, alisema Samahani Bro tumeshakengeuka, Tumeshawishiwa na Freeman Mbowe, Na Vijana Wapo Kilimanjaro Katika Utejelezaji

[/QUOTE
Ulinzi ni lazma uwe zero distance? Hta Mama Samia akitaka kwenda Kijijini kwake watajazwa askari hta week in advance. Sasa utalalamika pia kisa hawapo karibu na SSH?
Hakuna kada ya hovyo kama ya wanasheria kwani ili uwe mwanasheria mzuri lazima uwe IMMORAL na uwe kipenzi cha wahalifu kam mh. Mbowe
Pamoja ni kuwa ni sehemu ya timu bambikizi huelewi kwanini walikamatwa wakiwa njiani kwenda Kwa boss wao🤔.
 
Mkuu hatuongelei walinzi tunaongelea VIP PROTECTION- umeelewa. Wewe ulishamuona yule jamaa nyuma y JPM anatoka- hata wakati tnamuuga JMP alikuwa naye.
Una job description yao au ndio unaleta ujuaji? Kwamba kwa sababu ni VIP basi hawawezi fanya reconnaissance ama surveillance kabla Mbowe hajafika?
 
Mkuu nakubalina na wewe hakuna sheria inayokatza mtu kulindwa hata bila kujali huo umaarufu. Hoja yangu hapa ni kuwa kwanini walinzi hao hawakuwa na Mbowe.
Walikuwa bado hawajawa assigned kama waajiriwa wa Mbowe wala CHADEMA.
 
Back
Top Bottom