Kuna omba omba wagogo wanazaana mpaka watoto 5.Nimeumia..afu watu dizain hiyo wanavyopenda sasa dudu...wanaishi wap?
Kuna omba omba wagogo wanazaana mpaka watoto 5.
Mchana baba, mama na watoto wote wanajipanga barabarani kuomba. Usiku wanajificha sehemu, wanapelekeana moto π€£π€£π€£....
I wish ningemtumia godoro pia...Nitamsaidiajee ? (Msaada upo tayari) PM
Hahaa daah mkuu[emoji119]Kuna omba omba wagogo wanazaana mpaka watoto 5.
Mchana baba, mama na watoto wote wanajipanga barabarani kuomba. Usiku wanajificha sehemu, wanapelekeana moto [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dar es Salaam kuna mengi.
In short kulala nje Dar ni kitu cha kawaida, ndio maana huwrzi kumkuta Masai amepanga chumba anaishi ila wamejaa kibao mjini.
Hilo neno nachefuka balaaaHawa ndio watanzania wanyonge. ptuuuu
Kazi kweli kweliHabari za mchana ndugu zangu,
Kuna dada mmoja alikuja home kutafuta chumba cha kupanga tukamuonesha chumba kimoja akakisafisha kesho yake akaja na mumewe kumuonesha.
Mume akadai chumba hajakipenda wakaondoka baada ya week akarudi tena, kile chumba kikawa kimepata mteja tukamuonesha chumba kingine.
Akasafisha akahamia jioni, jambo lililonifikirisha ni umaskini alionao huyu mama. Imagine ana watoto wanne hana kitanda wala gogoro yani yeye pamoja na mumewe na watoto wanalalia mkeka hata stuli moja tu hamna, ni nguo na vyombo vya ndani tu.
Najiuliza mumewe alikua na jeuri gani ya kukataa chumba kile wakat yeye hana kitu ndani.
Dunia ina maajabu hii, mume mlevi wa kutupwa dah poleni kina mama.
acha kufuatilia maisha ya watu mzee[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] just joking!! hiyo hatari watoto ni wakubwa?Habari za mchana ndugu zangu,
Kuna dada mmoja alikuja home kutafuta chumba cha kupanga tukamuonesha chumba kimoja akakisafisha kesho yake akaja na mumewe kumuonesha...
Watu kama hao ni wale "design" inshallah Mungu atajua. Tena hawana hata stress za maisha.Yaan mm sina hela hata asbh sijui wanangu wanakula nini hizo hisia za kupelekeana moto zinatoka wapi!
Hahahahahaa...wahehe wanaita ndimgaya sida...means sina shida mimi yoyoteWatu kama hao ni wale "design" inshallah Mungu atajua. Tena hawana hata stress za maisha....
Kuna kuanguka njiani muraaAlizaaje watoto wote hao wakati anajua hayupo stable kiuchumi.
ππππππππKuna omba omba wagogo wanazaana mpaka watoto 5.
Mchana baba, mama na watoto wote wanajipanga barabarani kuomba. Usiku wanajificha sehemu, wanapelekeana moto π€£π€£π€£
Kama Kuanguka sawa ila kawaida ya waTz mtu hana mbele wala nyuma kwamaana hajawai hata kusimama anazaa watoto kibao nyumba ya kupangaKuna kuanguka njiani muraa
Tuma nitawapokelea ubungoI wish ningemtumia godoro pia...
Ni hatari sana kwa kweliKama Kuanguka sawa ila kawaida ya waTz mtu hana mbele wala nyuma kwamaana hajawai hata kusimama anazaa watoto kibao nyumba ya kupanga
Wafikishie ujumbe wambie tuko UCHUMI WA KATI WA CHINI ......., tunajenga fly-over, atulie, tukifika uchumi wa juu wa kati watanunua kitanda walau.Habari za mchana ndugu zangu,
Kuna dada mmoja alikuja home kutafuta chumba cha kupanga tukamuonesha chumba kimoja akakisafisha kesho yake akaja na mumewe kumuonesha...