Huu umaskini ni wa kutisha

Huu umaskini ni wa kutisha

Nimeumia..afu watu dizain hiyo wanavyopenda sasa dudu...wanaishi wap?
Kuna omba omba wagogo wanazaana mpaka watoto 5.

Mchana baba, mama na watoto wote wanajipanga barabarani kuomba. Usiku wanajificha sehemu, wanapelekeana moto 🤣🤣🤣

Dar es Salaam kuna mengi.

In short kulala nje Dar ni kitu cha kawaida, ndio maana huwrzi kumkuta Masai amepanga chumba anaishi ila wamejaa kibao mjini.
 
Kuna omba omba wagogo wanazaana mpaka watoto 5.

Mchana baba, mama na watoto wote wanajipanga barabarani kuomba. Usiku wanajificha sehemu, wanapelekeana moto [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Dar es Salaam kuna mengi.

In short kulala nje Dar ni kitu cha kawaida, ndio maana huwrzi kumkuta Masai amepanga chumba anaishi ila wamejaa kibao mjini.
Hahaa daah mkuu[emoji119]
 
Habari za mchana ndugu zangu,

Kuna dada mmoja alikuja home kutafuta chumba cha kupanga tukamuonesha chumba kimoja akakisafisha kesho yake akaja na mumewe kumuonesha.

Mume akadai chumba hajakipenda wakaondoka baada ya week akarudi tena, kile chumba kikawa kimepata mteja tukamuonesha chumba kingine.

Akasafisha akahamia jioni, jambo lililonifikirisha ni umaskini alionao huyu mama. Imagine ana watoto wanne hana kitanda wala gogoro yani yeye pamoja na mumewe na watoto wanalalia mkeka hata stuli moja tu hamna, ni nguo na vyombo vya ndani tu.

Najiuliza mumewe alikua na jeuri gani ya kukataa chumba kile wakat yeye hana kitu ndani.

Dunia ina maajabu hii, mume mlevi wa kutupwa dah poleni kina mama.
Kazi kweli kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za mchana ndugu zangu,

Kuna dada mmoja alikuja home kutafuta chumba cha kupanga tukamuonesha chumba kimoja akakisafisha kesho yake akaja na mumewe kumuonesha...
acha kufuatilia maisha ya watu mzee[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] just joking!! hiyo hatari watoto ni wakubwa?
 
Yaan mm sina hela hata asbh sijui wanangu wanakula nini hizo hisia za kupelekeana moto zinatoka wapi!
Watu kama hao ni wale "design" inshallah Mungu atajua. Tena hawana hata stress za maisha.

Kazi yao kubwa ndio hiyo: Kuomba omba na hawana aibu kabisa.

Kwa mfano hao wagogo, umiachana na kuomba omba, wengine wanaletwa kufanya kazi za uchinjaji na kuchuna ng'ombe machinjioni huko.

Miaka nenda rudi maisha yale yale tu.
 
Huyo jamaa ni mlevi si kwa kupenda... Hali yake kiuchumi anashindwa hata kuivumilia hivyo anajipiga ganzi
 
Kuna omba omba wagogo wanazaana mpaka watoto 5.

Mchana baba, mama na watoto wote wanajipanga barabarani kuomba. Usiku wanajificha sehemu, wanapelekeana moto 🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Awamu ya Nne:

Breakfast Chai Vitumbua au Mandazi

Lunch Ugali au Wali kwa Nyama au Samaki

Dinner Wali wa Maji na Chai au kitoweo cha kawaida

Awamu ya Tano

Breakfast
Chai ya Rangi tena bila Sukari au Sukari kwa mbaaali

Lunch Ugali kwa matembele au majani yasiyoeleweka

Dinner Maji ya kunywa au Chai tu

Halafu watu wanajiliizaa mpaka tunawashangaa
 
Habari za mchana ndugu zangu,

Kuna dada mmoja alikuja home kutafuta chumba cha kupanga tukamuonesha chumba kimoja akakisafisha kesho yake akaja na mumewe kumuonesha...
Wafikishie ujumbe wambie tuko UCHUMI WA KATI WA CHINI ......., tunajenga fly-over, atulie, tukifika uchumi wa juu wa kati watanunua kitanda walau.
 
Back
Top Bottom