Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,629
- 34,199
Kuna omba omba wagogo wanazaana mpaka watoto 5.Nimeumia..afu watu dizain hiyo wanavyopenda sasa dudu...wanaishi wap?
Mchana baba, mama na watoto wote wanajipanga barabarani kuomba. Usiku wanajificha sehemu, wanapelekeana moto 🤣🤣🤣
Dar es Salaam kuna mengi.
In short kulala nje Dar ni kitu cha kawaida, ndio maana huwrzi kumkuta Masai amepanga chumba anaishi ila wamejaa kibao mjini.