Huu umilikishwaji wa vitega uchumi muhimu vya nchi kwa waarabu, ni uwekezaji au uvunaji?

Msiwe mnaandika vitu msivyoelewa.

NMB, mwekezaji wa nje ana 34.9% tu. Na alizipata hizo kwa kuongeza mtaji ndani ya bank.

Zaidi ya 65% ni hisa za local entities.

Bandari, DPW walisema watawekeza dola 500m. Halafu wao ndio wanaopokea gawio kubwa la faida kuliko sisi tuliowekeza zaidi ya dola bilioni 10.
Nmb ilianzishwa kwa kuchukuliwa rasilimali za ilivyokua NBC,majengo ya NBC yakawa nmb nchi mzima,mpaka Nyerere alilia,hii ni 1997,vivyo hivyo kwa ttcl na celtel, serikali ndiyo huchukua 33%,imefanya hivyo crdb, Airtel,nmb,labda wawekezaji wa mwanzo wawe wameuza hisa zao nmb,lakini hata hivyo,kwa hoja ya mtoa mada,walitakiwa kuanzisha benki zao na si kuchukua benki zetu,swali,alihoji Hilo kwa nmb?
 
Msiwe mnaandika vitu msivyoelewa.

NMB, mwekezaji wa nje ana 34.9% tu. Na alizipata hizo kwa kuongeza mtaji ndani ya bank.

Zaidi ya 65% ni hisa za local entities.

Bandari, DPW walisema watawekeza dola 500m. Halafu wao ndio wanaopokea gawio kubwa la faida kuliko sisi tuliowekeza zaidi ya dola bilioni 10.
"NMB Bank Tanzania - Wikipedia" NMB Bank Tanzania - Wikipedia
Takwimu zako unatoa wapi?
 
Kenya sio kwamba mafara na mm naona wakenya bado hawajafanya kweli yaan ilitakiwa wachome mali zote za mafisadi wawapige ua kabisa hao mbwa ....inaumiza sana kuona nchi yetu inawasomi wa kila kada ila kila sehem tunashindwa kuwapa ukiangalia kwa undani ufisadi tu umetawala ni bora tufunge shule na vyuo ziwe guest house za malaya tu.

Sasa tunasomesha ili waje wafanye nn km rasimali zetu wanapewa wageni tu angalia barabara asilimia 80 ama 90 wakandarasi ni wageni hata kwenye majengo na sehem kibao.Natamani nitukanee niandamane Maana siioni kesho ya wanangu kabisa
Kuna mbwa bado unakuta zinajisifia tunaupiga mwingi fuken kabisa mwingi upi ....nitatukana tu maana inaumaaaa sana🥶
 
Kenya sio kwamba mafara na mm naona wakenya bado hawajafanya kweli yaan ilitakiwa wachome mali zote za mafisadi wawapige ua kabisa hao mbwa ....inaumiza sana kuona nchi yetu inawasomi wa kila kada ila kila sehem tunashindwa kuwapa ukiangalia kwa undani ufisadi tu umetawala ni bora tufunge shule na vyuo ziwe guest house za malaya tu.

Sasa tunasomesha ili waje wafanye nn km rasimali zetu wanapewa wageni tu angalia barabara asilimia 80 ama 90 wakandarasi ni wageni hata kwenye majengo na sehem kibao.Natamani nitukanee niandamane Maana siioni kesho ya wanangu kabisa
Kuna mbwa bado unakuta zinajisifia tunaupiga mwingi fuken kabisa mwingi upi ....nitatukana tu maana inaumaaaa sana[emoji3063]

Inatia hasira, inaleta uchungu. Watoto wanasoma, vijana wanamaliza masomo, nafasi pekee waliyobakia nayo ni kulamba nyayo za wageni na watawala waliokosa uzalendo.
Hali hii inawafanya vijana wetu kutojiamini, na kujiona wao siyo kitu ndani ya Taifa lao.
 
warabu wanamiliki London kwa sasa itakuja kuwa Tanzania. Muwekezaji ni mwenye hela na hela iko kwa warabu. Wewe unaongea airport ya KIA wakati warabu tayari wanamiliki % Heathrow.
Kuanzia Canary Wharf mpaka Shard imenunuliwa na Qatar
Nusu ya majengo london wanamiliki wao leo

Na sisi hatuna hiyana nao huwezi sikia mtu analalamika

Ardhi wamechukua sana
Kuna sehemu naijua West Sussex mwarabu wa Saudia kabeba eka 500 na hakuna chochote anachofanya
Anaweza akawa amesahau kama alilinunua eneo hilo
Lina miti tu hata jengo hakuna

Maadamu wanalipa kodi sawa tu
Sisi halmashauri wakikupa kusimamia Choo cha stand kukusanya 200 unapitia zote itakuwa msimamie bandari
 
Wengi wanaishia kua bodaboda,machinga huku kuna watu wanakuja tu na briefcase na makaratasi kibao wanapewa miradi wazawa wanabaki kua machawa.Kuna faida gani sasa ya kusoma yaan mwanangu asome leo kesho aje kua anasifie watu.
Nataka nifanye maamuzi magumu sana mwanagu akimaliza la saba tu namuingiza kwenye biashara zangu tu ajue abc..mapema kuliko kwenda kujaza ujinga shuleni.Mm naona watoto wetu wanaenda kujazwa ujinga maana km wanasoma na hiyo elimu haiwakwamui inafaida gani ni upuuzi.
Inatia hasira, inaleta uchungu. Watoto wanasoma, vijana wanamaliza masomo, nafasi pekee waliyobakia nayo ni kulamba nyayo za wageni na watawala waliokosa uzalendo.
Hali hii inawafanya vijana wetu kutojiamini, na kujiona wao siyo kitu ndani ya Taifa l
 
Miaka iliyopita, tukisikia wawekezaji, tunajua ni watu wenye mitaji na tekinolojia, wanakuja kujenga na kuendesha miradi yao waliyoijenga wenyewe.

Lakini, kwa sasa, ghafla maana ya uwekezaji imebadilika. Hao wawekezaji wa sasa, wanakuja wanachukua rasilimali za nchi ambazo tayari zimejengwa au kuendelezwa. Wanapewa, na kuanza kukusanya mapato. Hivi hawa ni wawekezaji au Wavunaji?

1) Marehemu Magufuli aliwakataa wawekezaji wa Kichina ambao wangejenga bandari mpya Bagamoyo, na ambayo wangeiendesha wenyewe. Tuliwakataa waliotaka kujenga bandari mpya. HALAFU? Kupitia mkataba wa IGA, mkataba wa hovyo kabisa kuwahi kutokea Duniani, DPW wakapewa bandari mama ya Dar es Salaam ambayo tayari nchi imekwishawekeza zaidi ya dola bilioni 10, na mwushoni kabisa, kwa mkupuo nchi imewekeza dola bilioni 1. DPW tunaambiwa eti atawekeza dola nusu billion. Katika hali ta kawaida, tujiulize, hivi sisi tuna utimamu wa akili? Unamkataa anayekuja kuwekeza mradi mpya, halafu unamkubalia mvunaji!! Huu ni uporaji wa kitegauchumi cha Taifa. Waliowezesha uporaji huu, wanalitakia nini Taifa hili?

2) Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Arusha, tayari ulikwishajengwa, tayari ulikuwa unafanya kazi, sasa amepewa mwarabu!! Hivi aliyepewa huo uwanja ni mwekezaji au mvunaji? Kama ni mwekezaji kwa nini hakupewa eneo akajenge uwanja wa kwake?

3) Kuna makampuni mengine toka Uarabuni yamepewa mbuga za wanyama na hifadhi za misitu. Hivi hawa ni wawekezaji au wavunaji/waporaji? Kama ni wawekezaji, wameleta pundamilia, twiga, fisi na ngiri wangapi kwenye hizo hifadhi? Au wamepanda mininga na mitundu mingapi kwenye hiyo misitu hadi waitwe wawekezaji?

Hivi tumefikia mahali pa kuwapa waarabu karibia kila rasilimali tulizozitolea jasho kwa miaka mingi, kwa lengo gani? Mtu yeyote ambaye hana uchumi ni mtu duni na automatically atakuwa mtumwa wa mwenye uchumi. Tunapowapa kila mlango wa uchumi waarabu, automatically tunatengeneza mazingira ya kuwafanya Watanganyika huko mbeleni kuwa watumwa wa waarabu ndani ya Taifa lao.

Jamani, tuwaache walio na tamaa za ajabu waendelee kushangilia na kufurahia hadaa wazifanyazo kwa Taifa, wao wakirushiwa hata dola laki 1, wapo tayari hata kuua matumaini ya vizazi vyote vijavyo, LAKINI walio na hekima ni lazima tuendelee kupaza sauti zetu na kusema kuwa huu uovu, kama umma wa watu wazalendo, tunasema HAPANA. Nchi inawahitaji wawekezaji wa ndani na nje, lakini wavunaji wa wa nje wa mazao ya uwekezaji wetu, tuseme, hapana. Tuongozwe na uzalendo na sio tamaa ya mapato binafsi.
Uko sawa kabisa mkuu, ila Sijui kama wanakuelewa 🙁
 
warabu wanamiliki London kwa sasa itakuja kuwa Tanzania. Muwekezaji ni mwenye hela na hela iko kwa warabu. Wewe unaongea airport ya KIA wakati warabu tayari wanamiliki % Heathrow.
Acha uchizi wewe mwarabu hawezi miliki London na kama ndivyo walivyowafunda kuja kutulisha haya Matango pori mwambie aliyekutuma Kuwa ni mpumbav
 
Jamani, tuwaache walio na tamaa za ajabu waendelee kushangilia na kufurahia hadaa wazifanyazo kwa Taifa, wao wakirushiwa hata dola laki 1, wapo tayari hata kuua matumaini ya vizazi vyote vijavyo, LAKINI walio na hekima ni lazima tuendelee kupaza sauti zetu na kusema kuwa huu uovu, kama umma wa watu wazalendo, tunasema HAPANA. Nchi inawahitaji wawekezaji wa ndani na nje, lakini wavunaji wa wa nje wa mazao ya uwekezaji wetu, tuseme, hapana. Tuongozwe na uzalendo na sio tamaa ya mapato binafsi.
Mkuu 'Bams', kinacho kosekana sasa hivi ni uongozi tu wa kuongoza jitihada za kuukata upumbavu huu unaofanywa sasa hivi. Ni kama nchi nzima tumewekewa dawa ya usingizi.
Lakini naamini hii dawa itakapo kwisha nguvu zake watu wakizinduka mtikisiko utakao fuatia utazoa takataka zote hizi.
 
Mna chuki tu na mwarabu,na hamumchukii mwarabu kwa uarabu wake,Bali dini yake,angelikua mkiristo Wala msingetokwa jasho la makalio kumpinga,pingeni na Airtel na nmb tuone
Siku zote huwa nakwambia akili yako ni matope tupu, kama unavyo dhihirisha mwenyewe hapa!
Celtel, Zain, Airtel,crdb,nmb, TRL (TRC),ticts,atcl(ATC)...ukisoma hayo majina unapata chochote,au chuki kwa waarabu zimekujaa Hadi puani!?.
Wewe ni mwarabu? Kwenu ni arabuni?
 
Saudia wamendua dimbwi la wese jingine konki,wese haliondoki Leo Wala kesho

Projections za maendeleo ya Dunia kwenye energy, matumizi ya fossil fuel yatapungua hadi kufikia chini ya 50% ifikapo 2050.

By 2050, coal use can and must fall around 80-85% from 2022 levels, gas by 55-70%, and oil by 75-95%. And this reduction can and must start now, with coal use needing to decrease around 15-30% by 2030, gas by 15-20% and oil by 5-15%.
16 Nov 2023
 
Miaka iliyopita, tukisikia wawekezaji, tunajua ni watu wenye mitaji na tekinolojia, wanakuja kujenga na kuendesha miradi yao waliyoijenga wenyewe.

Lakini, kwa sasa, ghafla maana ya uwekezaji imebadilika. Hao wawekezaji wa sasa, wanakuja wanachukua rasilimali za nchi ambazo tayari zimejengwa au kuendelezwa. Wanapewa, na kuanza kukusanya mapato. Hivi hawa ni wawekezaji au Wavunaji?

1) Marehemu Magufuli aliwakataa wawekezaji wa Kichina ambao wangejenga bandari mpya Bagamoyo, na ambayo wangeiendesha wenyewe. Tuliwakataa waliotaka kujenga bandari mpya. HALAFU? Kupitia mkataba wa IGA, mkataba wa hovyo kabisa kuwahi kutokea Duniani, DPW wakapewa bandari mama ya Dar es Salaam ambayo tayari nchi imekwishawekeza zaidi ya dola bilioni 10, na mwushoni kabisa, kwa mkupuo nchi imewekeza dola bilioni 1. DPW tunaambiwa eti atawekeza dola nusu billion. Katika hali ta kawaida, tujiulize, hivi sisi tuna utimamu wa akili? Unamkataa anayekuja kuwekeza mradi mpya, halafu unamkubalia mvunaji!! Huu ni uporaji wa kitegauchumi cha Taifa. Waliowezesha uporaji huu, wanalitakia nini Taifa hili?

2) Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Arusha, tayari ulikwishajengwa, tayari ulikuwa unafanya kazi, sasa amepewa mwarabu!! Hivi aliyepewa huo uwanja ni mwekezaji au mvunaji? Kama ni mwekezaji kwa nini hakupewa eneo akajenge uwanja wa kwake?

3) Kuna makampuni mengine toka Uarabuni yamepewa mbuga za wanyama na hifadhi za misitu. Hivi hawa ni wawekezaji au wavunaji/waporaji? Kama ni wawekezaji, wameleta pundamilia, twiga, fisi na ngiri wangapi kwenye hizo hifadhi? Au wamepanda mininga na mitundu mingapi kwenye hiyo misitu hadi waitwe wawekezaji?

Hivi tumefikia mahali pa kuwapa waarabu karibia kila rasilimali tulizozitolea jasho kwa miaka mingi, kwa lengo gani? Mtu yeyote ambaye hana uchumi ni mtu duni na automatically atakuwa mtumwa wa mwenye uchumi. Tunapowapa kila mlango wa uchumi waarabu, automatically tunatengeneza mazingira ya kuwafanya Watanganyika huko mbeleni kuwa watumwa wa waarabu ndani ya Taifa lao.

Jamani, tuwaache walio na tamaa za ajabu waendelee kushangilia na kufurahia hadaa wazifanyazo kwa Taifa, wao wakirushiwa hata dola laki 1, wapo tayari hata kuua matumaini ya vizazi vyote vijavyo, LAKINI walio na hekima ni lazima tuendelee kupaza sauti zetu na kusema kuwa huu uovu, kama umma wa watu wazalendo, tunasema HAPANA. Nchi inawahitaji wawekezaji wa ndani na nje, lakini wavunaji wa wa nje wa mazao ya uwekezaji wetu, tuseme, hapana. Tuongozwe na uzalendo na sio tamaa ya mapato binafsi.
Hii nchi yote inahitaji muwekezaji, sisi tumesha shindwa. Tukae pembeni waje wengine waendeshe nchi.
"Let us agreed that Blacks cannot rule themselves, Whites are born in order to rule and Blacks are born to be ruled."

Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.
 
Miaka iliyopita, tukisikia wawekezaji, tunajua ni watu wenye mitaji na tekinolojia, wanakuja kujenga na kuendesha miradi yao waliyoijenga wenyewe.

Lakini, kwa sasa, ghafla maana ya uwekezaji imebadilika. Hao wawekezaji wa sasa, wanakuja wanachukua rasilimali za nchi ambazo tayari zimejengwa au kuendelezwa. Wanapewa, na kuanza kukusanya mapato. Hivi hawa ni wawekezaji au Wavunaji?

1) Marehemu Magufuli aliwakataa wawekezaji wa Kichina ambao wangejenga bandari mpya Bagamoyo, na ambayo wangeiendesha wenyewe. Tuliwakataa waliotaka kujenga bandari mpya. HALAFU? Kupitia mkataba wa IGA, mkataba wa hovyo kabisa kuwahi kutokea Duniani, DPW wakapewa bandari mama ya Dar es Salaam ambayo tayari nchi imekwishawekeza zaidi ya dola bilioni 10, na mwushoni kabisa, kwa mkupuo nchi imewekeza dola bilioni 1. DPW tunaambiwa eti atawekeza dola nusu billion. Katika hali ta kawaida, tujiulize, hivi sisi tuna utimamu wa akili? Unamkataa anayekuja kuwekeza mradi mpya, halafu unamkubalia mvunaji!! Huu ni uporaji wa kitegauchumi cha Taifa. Waliowezesha uporaji huu, wanalitakia nini Taifa hili?

2) Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Arusha, tayari ulikwishajengwa, tayari ulikuwa unafanya kazi, sasa amepewa mwarabu!! Hivi aliyepewa huo uwanja ni mwekezaji au mvunaji? Kama ni mwekezaji kwa nini hakupewa eneo akajenge uwanja wa kwake?

3) Kuna makampuni mengine toka Uarabuni yamepewa mbuga za wanyama na hifadhi za misitu. Hivi hawa ni wawekezaji au wavunaji/waporaji? Kama ni wawekezaji, wameleta pundamilia, twiga, fisi na ngiri wangapi kwenye hizo hifadhi? Au wamepanda mininga na mitundu mingapi kwenye hiyo misitu hadi waitwe wawekezaji?

Hivi tumefikia mahali pa kuwapa waarabu karibia kila rasilimali tulizozitolea jasho kwa miaka mingi, kwa lengo gani? Mtu yeyote ambaye hana uchumi ni mtu duni na automatically atakuwa mtumwa wa mwenye uchumi. Tunapowapa kila mlango wa uchumi waarabu, automatically tunatengeneza mazingira ya kuwafanya Watanganyika huko mbeleni kuwa watumwa wa waarabu ndani ya Taifa lao.

Jamani, tuwaache walio na tamaa za ajabu waendelee kushangilia na kufurahia hadaa wazifanyazo kwa Taifa, wao wakirushiwa hata dola laki 1, wapo tayari hata kuua matumaini ya vizazi vyote vijavyo, LAKINI walio na hekima ni lazima tuendelee kupaza sauti zetu na kusema kuwa huu uovu, kama umma wa watu wazalendo, tunasema HAPANA. Nchi inawahitaji wawekezaji wa ndani na nje, lakini wavunaji wa wa nje wa mazao ya uwekezaji wetu, tuseme, hapana. Tuongozwe na uzalendo na sio tamaa ya mapato binafsi.
Wanagawiana wenyewe kwa wenyewe humu ndani hao waarabu ni geresha tu
 
Back
Top Bottom