n-propanol
JF-Expert Member
- Apr 7, 2019
- 5,349
- 7,000
CCM ni janga la taifa namba moja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lawama zote ziende kwa Rais, CCM na Idara ya usalama wa TaifaMiaka iliyopita, tukisikia wawekezaji, tunajua ni watu wenye mitaji na tekinolojia, wanakuja kujenga na kuendesha miradi yao waliyoijenga wenyewe.
Lakini, kwa sasa, ghafla maana ya uwekezaji imebadilika. Hao wawekezaji wa sasa, wanakuja wanachukua rasilimali za nchi ambazo tayari zimejengwa au kuendelezwa. Wanapewa, na kuanza kukusanya mapato. Hivi hawa ni wawekezaji au Wavunaji?
1) Marehemu Magufuli aliwakataa wawekezaji wa Kichina ambao wangejenga bandari mpya Bagamoyo, na ambayo wangeiendesha wenyewe. Tuliwakataa waliotaka kujenga bandari mpya. HALAFU? Kupitia mkataba wa IGA, mkataba wa hovyo kabisa kuwahi kutokea Duniani, DPW wakapewa bandari mama ya Dar es Salaam ambayo tayari nchi imekwishawekeza zaidi ya dola bilioni 10, na mwushoni kabisa, kwa mkupuo nchi imewekeza dola bilioni 1. DPW tunaambiwa eti atawekeza dola nusu billion. Katika hali ta kawaida, tujiulize, hivi sisi tuna utimamu wa akili? Unamkataa anayekuja kuwekeza mradi mpya, halafu unamkubalia mvunaji!! Huu ni uporaji wa kitegauchumi cha Taifa. Waliowezesha uporaji huu, wanalitakia nini Taifa hili?
2) Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Arusha, tayari ulikwishajengwa, tayari ulikuwa unafanya kazi, sasa amepewa mwarabu!! Hivi aliyepewa huo uwanja ni mwekezaji au mvunaji? Kama ni mwekezaji kwa nini hakupewa eneo akajenge uwanja wa kwake?
3) Kuna makampuni mengine toka Uarabuni yamepewa mbuga za wanyama na hifadhi za misitu. Hivi hawa ni wawekezaji au wavunaji/waporaji? Kama ni wawekezaji, wameleta pundamilia, twiga, fisi na ngiri wangapi kwenye hizo hifadhi? Au wamepanda mininga na mitundu mingapi kwenye hiyo misitu hadi waitwe wawekezaji?
Hivi tumefikia mahali pa kuwapa waarabu karibia kila rasilimali tulizozitolea jasho kwa miaka mingi, kwa lengo gani? Mtu yeyote ambaye hana uchumi ni mtu duni na automatically atakuwa mtumwa wa mwenye uchumi. Tunapowapa kila mlango wa uchumi waarabu, automatically tunatengeneza mazingira ya kuwafanya Watanganyika huko mbeleni kuwa watumwa wa waarabu ndani ya Taifa lao.
Jamani, tuwaache walio na tamaa za ajabu waendelee kushangilia na kufurahia hadaa wazifanyazo kwa Taifa, wao wakirushiwa hata dola laki 1, wapo tayari hata kuua matumaini ya vizazi vyote vijavyo, LAKINI walio na hekima ni lazima tuendelee kupaza sauti zetu na kusema kuwa huu uovu, kama umma wa watu wazalendo, tunasema HAPANA. Nchi inawahitaji wawekezaji wa ndani na nje, lakini wavunaji wa wa nje wa mazao ya uwekezaji wetu, tuseme, hapana. Tuongozwe na uzalendo na sio tamaa ya mapato binafsi.
Dangote atakua kichaa kujenga the biggest oil refinery in Afrika.Projections za maendeleo ya Dunia kwenye energy, matumizi ya fossil fuel yatapungua hadi kufikia chini ya 50% ifikapo 2050.
By 2050, coal use can and must fall around 80-85% from 2022 levels, gas by 55-70%, and oil by 75-95%. And this reduction can and must start now, with coal use needing to decrease around 15-30% by 2030, gas by 15-20% and oil by 5-15%.
16 Nov 2023
Mtoto papai huyo😂😂😂 mkuu vp tena
Hawa Ferrovial ni habari nyingine wana zaidi ya 50% katika Airport nyingi za UKHuu ndio uwekezaji uko balancing sio , utakodisha kitu hakipo kwenye soko.la hisa.
Ili kuonyesha uwazi na uhalisia.
Does China own Heathrow Airport?
Heathrow Airport boasts a diverse group of stakeholders with the Spanish firm Ferrovial currently holding the largest share at 25 per cent. The ownership structure also includes Qatar Investment Authority holding a 20 per cent stake and China Investment Corporation with 10 per cent.
Wewe elimu huna,unajipapatua tu kujadili vitu serious,kielimu hunikaribii hata mita miaNaona umedidimia zaidi siku hizi. Ulikuwa nafuu kidogo nilipo dharau elimu yako. Sasa sijui mwisho utakuwa na hali gani wewe kama mwelekeo ndio huu wa kujishusha hadhi namna hii.
Lakini tungeweza kukodisha uongozi, Kuendesha hiyo Bandari badala ya kukodisha. Tatizo ni wanasiasa wanataka kuweka mikono hata wasipotakiwa kuweka mikono, mfano uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu, wajumbe wa Bodi wasio na uwezo , ambao huleteleza ajira zisizo na tija, manunuzi, na matumizi mengine yasiyo na tija. Yaani hamna Nia ya kweli ya kuleta matunda ya Nchi zaidi ya matunda binafsiHawa Ferrovial ni habari nyingine wana zaidi ya 50% katika Airport nyingi za UK
Sisi hatuwezi kuendesha kitu mkuu kwa ufanisi hilo ndio tatizo
Na kugawa mali bila faida pia ni mtihani
Yaani hata kuchunga mali zetu hatuwezi let alone kuzisimamia
Miaka karibia sitini ya azimio la Arusha, hivyo "vitega uchumi" vimendeshwa na nani na vimeleta faida gani kwa nchi?Miaka iliyopita, tukisikia wawekezaji, tunajua ni watu wenye mitaji na tekinolojia, wanakuja kujenga na kuendesha miradi yao waliyoijenga wenyewe.
Lakini, kwa sasa, ghafla maana ya uwekezaji imebadilika. Hao wawekezaji wa sasa, wanakuja wanachukua rasilimali za nchi ambazo tayari zimejengwa au kuendelezwa. Wanapewa, na kuanza kukusanya mapato. Hivi hawa ni wawekezaji au Wavunaji?
1) Marehemu Magufuli aliwakataa wawekezaji wa Kichina ambao wangejenga bandari mpya Bagamoyo, na ambayo wangeiendesha wenyewe. Tuliwakataa waliotaka kujenga bandari mpya. HALAFU? Kupitia mkataba wa IGA, mkataba wa hovyo kabisa kuwahi kutokea Duniani, DPW wakapewa bandari mama ya Dar es Salaam ambayo tayari nchi imekwishawekeza zaidi ya dola bilioni 10, na mwushoni kabisa, kwa mkupuo nchi imewekeza dola bilioni 1. DPW tunaambiwa eti atawekeza dola nusu billion. Katika hali ta kawaida, tujiulize, hivi sisi tuna utimamu wa akili? Unamkataa anayekuja kuwekeza mradi mpya, halafu unamkubalia mvunaji!! Huu ni uporaji wa kitegauchumi cha Taifa. Waliowezesha uporaji huu, wanalitakia nini Taifa hili?
2) Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Arusha, tayari ulikwishajengwa, tayari ulikuwa unafanya kazi, sasa amepewa mwarabu!! Hivi aliyepewa huo uwanja ni mwekezaji au mvunaji? Kama ni mwekezaji kwa nini hakupewa eneo akajenge uwanja wa kwake?
3) Kuna makampuni mengine toka Uarabuni yamepewa mbuga za wanyama na hifadhi za misitu. Hivi hawa ni wawekezaji au wavunaji/waporaji? Kama ni wawekezaji, wameleta pundamilia, twiga, fisi na ngiri wangapi kwenye hizo hifadhi? Au wamepanda mininga na mitundu mingapi kwenye hiyo misitu hadi waitwe wawekezaji?
Hivi tumefikia mahali pa kuwapa waarabu karibia kila rasilimali tulizozitolea jasho kwa miaka mingi, kwa lengo gani? Mtu yeyote ambaye hana uchumi ni mtu duni na automatically atakuwa mtumwa wa mwenye uchumi. Tunapowapa kila mlango wa uchumi waarabu, automatically tunatengeneza mazingira ya kuwafanya Watanganyika huko mbeleni kuwa watumwa wa waarabu ndani ya Taifa lao.
Jamani, tuwaache walio na tamaa za ajabu waendelee kushangilia na kufurahia hadaa wazifanyazo kwa Taifa, wao wakirushiwa hata dola laki 1, wapo tayari hata kuua matumaini ya vizazi vyote vijavyo, LAKINI walio na hekima ni lazima tuendelee kupaza sauti zetu na kusema kuwa huu uovu, kama umma wa watu wazalendo, tunasema HAPANA. Nchi inawahitaji wawekezaji wa ndani na nje, lakini wavunaji wa wa nje wa mazao ya uwekezaji wetu, tuseme, hapana. Tuongozwe na uzalendo na sio tamaa ya mapato binafsi.
Katika hali ya ababu kabisa kuna watakaokuja kukupinga au kukashifu kwa andika lako hili.Umeandika Ukweli na chini CCM huo ni Uhaini.Nakuombea usinyamaze maana Sauti yako ni kali kuliko mkuki/mishale au risasi ama bomu.CCM wanawatesa Watanganyika up&down,left,right ¢re ili wajilinde dhidi ya maovu waliyotutendea.Hofu yao moja ni kuogopa kushtakiwa mahakamani au ICC tumepata Katiba Mpya na Bora ya Wananchi.Miaka iliyopita, tukisikia wawekezaji, tunajua ni watu wenye mitaji na tekinolojia, wanakuja kujenga na kuendesha miradi yao waliyoijenga wenyewe.

EEEeeeeh!Wewe elimu huna,unajipapatua tu kujadili vitu serious,kielimu hunikaribii hata mita mia
Nikueleze ili iweje!!?..halafu unanipeendaa, endelea na qt mkuu,baada ya miaka kumi huenda tukawa on the same pageEEEeeeeh!
Ondoa hiyo "serious"; hapo nitakubaliana nawe. Elimu inakuja katika mambo mbalimbali, hata ya kipuuzi. Huko siwezi kamwe kushindana na wewe kwenye elimu hiyo.
Hebu eleza, una elimu katika mambo gani hasa, 'seriously'!
Taratibu unaanza kuelewa nilicho jaribu kukufahamishi tokea zamani kidogo humu humu JF!Nikueleze ili iweje!!?..halafu unanipeendaa, endelea na qt mkuu,baada ya miaka kumi huenda tukawa on the same page
Waabudu MFU mnakazi sanaTaratibu unaanza kuelewa nilicho jaribu kukufahamishi tokea zamani kidogo humu humu JF!
Yaani kila mahali wanaiba haswaLakini tungeweza kukodisha uongozi, Kuendesha hiyo Bandari badala ya kukodisha. Tatizo ni wanasiasa wanataka kuweka mikono hata wasipotakiwa kuweka mikono, mfano uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu, wajumbe wa Bodi wasio na uwezo , ambao huleteleza ajira zisizo na tija, manunuzi, na matumizi mengine yasiyo na tija. Yaani hamna Nia ya kweli ya kuleta matunda ya Nchi zaidi ya matunda binafsi
Viongozi wa ccm ndio walioshindwa kutuhusisha wote ni kutufanya wajinga na mbinu fulani hivi ya kutowajibika.Hii nchi yote inahitaji muwekezaji, sisi tumesha shindwa. Tukae pembeni waje wengine waendeshe nchi.
Dah UkWeLi MtUpu!Mi si comment kitu,
Sababu siku hizi ukikoment kwa kupinga huu ufisadi wa awamu hi unaambiwa unamchukia kwasabubu ya dini yake
Wanadai raisi alipokuwa wa dini Ile mbona mlikaa kimya
Sasa ni zamu ya dini yoa kufilisi nchi
Wenye mawazo kama haya sio watu wajinga ni watu weledi na wasomi
Kama assadi tuliyempigania alipofukuzwa u cag, pia yupo zitto mkuu wa chama Cha act
Yaani hii nchi ni kama tumelogwa na mwenge wa uhuru
udini kwa sasa unapromo kubwa kuliko uzalendo
Labda kwa uelewa wao wenye dini wa kweli ni waarabu huoni kobazi wengi wanawashabikia waarabu koko wa sudan wakiwatwanga weusi wenzetu wa sudan kusini.Utumwa umeathiri wengi sana!Hivi Dangote ni dini gani? Kuna mtu amewahi kumsema vibaya kutokana na uwekezaji wake kwa vile ni muislam? Mkiishiwa hoja na akili, mnakimbilia kwenye dini.