Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
kwa akili zako samia anaamua peke yake?Mwislamu kwa mwarabu ni kama chatu na mbwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa akili zako samia anaamua peke yake?Mwislamu kwa mwarabu ni kama chatu na mbwa
Unaona mkuu Bams, wajinga niliowasema ndo HawaCeltel, Zain, Airtel,crdb,nmb, TRL (TRC),ticts,atcl(ATC)...ukisoma hayo majina unapata chochote,au chuki kwa waarabu zimekujaa Hadi puani!?.
Waarabu na Wachina.Kuanzia miaka ipi mpaka ipi ? Na ni wawekezaji gani unao wazungumzia ?
Hapa mjinga ni wewe,ndiye uliyeonekana kuwa huwezi soma na kuelewa ulichosoma,mada inasema haikupaswa mwarabu apewe bandari Bali ajenge Kama ambavyo mchina angejenga bagamoyo,ndiyo nikaleta mifano ya hayo mashirika ya umma ambayo wazungu waliwekeza na bado wapo na Wala hampigi kelele,alikuwepo dowans, mwarabu,mkapiga kelele,akaja symbion kuwekeza palepale Kwa dowans,mkatulia,sijui mnafundishana nini huko kanisani!!Unaona mkuu Bams, wajinga niliowasema ndo Hawa
Yeye anaona ufaharibkuibwa na kunyonywa na mwabu badala ya mzungu
Wako wengi misikitini Wana fundishana ujinga
Tunasema hatufungamani na mwekezajin myonyaji awe mzungu awe mwarabu
Wote ni adui kwetu
Porojo tu hizoProjections za maendeleo ya Dunia kwenye energy, matumizi ya fossil fuel yatapungua hadi kufikia chini ya 50% ifikapo 2050.
By 2050, coal use can and must fall around 80-85% from 2022 levels, gas by 55-70%, and oil by 75-95%. And this reduction can and must start now, with coal use needing to decrease around 15-30% by 2030, gas by 15-20% and oil by 5-15%.
16 Nov 2023
Sasa hapa nani kadhihirisha akili zake tope!?..wapi nimesema mi mwarabu!!?..acha kunijibujibu,upeo wako mdogoSiku zote huwa nakwambia akili yako ni matope tupu, kama unavyo dhihirisha mwenyewe hapa!
Wewe ni mwarabu? Kwenu ni arabuni?
Mjomba ni MamaWajomba
Tulipokua msituni, tulisema tunapambana kwenda kulinda kila kitu cha nchi yetu,Miaka iliyopita, tukisikia wawekezaji, tunajua ni watu wenye mitaji na tekinolojia, wanakuja kujenga na kuendesha miradi yao waliyoijenga wenyewe.
Lakini, kwa sasa, ghafla maana ya uwekezaji imebadilika. Hao wawekezaji wa sasa, wanakuja wanachukua rasilimali za nchi ambazo tayari zimejengwa au kuendelezwa. Wanapewa, na kuanza kukusanya mapato. Hivi hawa ni wawekezaji au Wavunaji?
1) Marehemu Magufuli aliwakataa wawekezaji wa Kichina ambao wangejenga bandari mpya Bagamoyo, na ambayo wangeiendesha wenyewe. Tuliwakataa waliotaka kujenga bandari mpya. HALAFU? Kupitia mkataba wa IGA, mkataba wa hovyo kabisa kuwahi kutokea Duniani, DPW wakapewa bandari mama ya Dar es Salaam ambayo tayari nchi imekwishawekeza zaidi ya dola bilioni 10, na mwushoni kabisa, kwa mkupuo nchi imewekeza dola bilioni 1. DPW tunaambiwa eti atawekeza dola nusu billion. Katika hali ta kawaida, tujiulize, hivi sisi tuna utimamu wa akili? Unamkataa anayekuja kuwekeza mradi mpya, halafu unamkubalia mvunaji!! Huu ni uporaji wa kitegauchumi cha Taifa. Waliowezesha uporaji huu, wanalitakia nini Taifa hili?
2) Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Arusha, tayari ulikwishajengwa, tayari ulikuwa unafanya kazi, sasa amepewa mwarabu!! Hivi aliyepewa huo uwanja ni mwekezaji au mvunaji? Kama ni mwekezaji kwa nini hakupewa eneo akajenge uwanja wa kwake?
3) Kuna makampuni mengine toka Uarabuni yamepewa mbuga za wanyama na hifadhi za misitu. Hivi hawa ni wawekezaji au wavunaji/waporaji? Kama ni wawekezaji, wameleta pundamilia, twiga, fisi na ngiri wangapi kwenye hizo hifadhi? Au wamepanda mininga na mitundu mingapi kwenye hiyo misitu hadi waitwe wawekezaji?
Hivi tumefikia mahali pa kuwapa waarabu karibia kila rasilimali tulizozitolea jasho kwa miaka mingi, kwa lengo gani? Mtu yeyote ambaye hana uchumi ni mtu duni na automatically atakuwa mtumwa wa mwenye uchumi. Tunapowapa kila mlango wa uchumi waarabu, automatically tunatengeneza mazingira ya kuwafanya Watanganyika huko mbeleni kuwa watumwa wa waarabu ndani ya Taifa lao.
Jamani, tuwaache walio na tamaa za ajabu waendelee kushangilia na kufurahia hadaa wazifanyazo kwa Taifa, wao wakirushiwa hata dola laki 1, wapo tayari hata kuua matumaini ya vizazi vyote vijavyo, LAKINI walio na hekima ni lazima tuendelee kupaza sauti zetu na kusema kuwa huu uovu, kama umma wa watu wazalendo, tunasema HAPANA. Nchi inawahitaji wawekezaji wa ndani na nje, lakini wavunaji wa wa nje wa mazao ya uwekezaji wetu, tuseme, hapana. Tuongozwe na uzalendo na sio tamaa ya mapato binafsi.
Katika hali ya kawaida hali hizi zinaleta maswali mengi kuliko majibu,inawezekana ushauri ili kufikia maamuzi kama haya unafanyika katika hali ya kuvutia maslahi upande wa washauri na sii ule wa maamuzi unaolenga siku zote kuwa upande wa wengi.Sasa je nini kifanyike,ama kutambua kwanza usahihi au walakini wa washauri kuelekea maamuzi tarajiwa ama uangaliwe upya mfumo wa washauri hata ikibidi kabla ya maamuzi dhidi ya ushauri ufanyiwe mapitio hata kama ikiwa watakodiwa washauri huru.Miaka iliyopita, tukisikia wawekezaji, tunajua ni watu wenye mitaji na tekinolojia, wanakuja kujenga na kuendesha miradi yao waliyoijenga wenyewe.
Lakini, kwa sasa, ghafla maana ya uwekezaji imebadilika. Hao wawekezaji wa sasa, wanakuja wanachukua rasilimali za nchi ambazo tayari zimejengwa au kuendelezwa. Wanapewa, na kuanza kukusanya mapato. Hivi hawa ni wawekezaji au Wavunaji?
1) Marehemu Magufuli aliwakataa wawekezaji wa Kichina ambao wangejenga bandari mpya Bagamoyo, na ambayo wangeiendesha wenyewe. Tuliwakataa waliotaka kujenga bandari mpya. HALAFU? Kupitia mkataba wa IGA, mkataba wa hovyo kabisa kuwahi kutokea Duniani, DPW wakapewa bandari mama ya Dar es Salaam ambayo tayari nchi imekwishawekeza zaidi ya dola bilioni 10, na mwushoni kabisa, kwa mkupuo nchi imewekeza dola bilioni 1. DPW tunaambiwa eti atawekeza dola nusu billion. Katika hali ta kawaida, tujiulize, hivi sisi tuna utimamu wa akili? Unamkataa anayekuja kuwekeza mradi mpya, halafu unamkubalia mvunaji!! Huu ni uporaji wa kitegauchumi cha Taifa. Waliowezesha uporaji huu, wanalitakia nini Taifa hili?
2) Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Arusha, tayari ulikwishajengwa, tayari ulikuwa unafanya kazi, sasa amepewa mwarabu!! Hivi aliyepewa huo uwanja ni mwekezaji au mvunaji? Kama ni mwekezaji kwa nini hakupewa eneo akajenge uwanja wa kwake?
3) Kuna makampuni mengine toka Uarabuni yamepewa mbuga za wanyama na hifadhi za misitu. Hivi hawa ni wawekezaji au wavunaji/waporaji? Kama ni wawekezaji, wameleta pundamilia, twiga, fisi na ngiri wangapi kwenye hizo hifadhi? Au wamepanda mininga na mitundu mingapi kwenye hiyo misitu hadi waitwe wawekezaji?
Hivi tumefikia mahali pa kuwapa waarabu karibia kila rasilimali tulizozitolea jasho kwa miaka mingi, kwa lengo gani? Mtu yeyote ambaye hana uchumi ni mtu duni na automatically atakuwa mtumwa wa mwenye uchumi. Tunapowapa kila mlango wa uchumi waarabu, automatically tunatengeneza mazingira ya kuwafanya Watanganyika huko mbeleni kuwa watumwa wa waarabu ndani ya Taifa lao.
Jamani, tuwaache walio na tamaa za ajabu waendelee kushangilia na kufurahia hadaa wazifanyazo kwa Taifa, wao wakirushiwa hata dola laki 1, wapo tayari hata kuua matumaini ya vizazi vyote vijavyo, LAKINI walio na hekima ni lazima tuendelee kupaza sauti zetu na kusema kuwa huu uovu, kama umma wa watu wazalendo, tunasema HAPANA. Nchi inawahitaji wawekezaji wa ndani na nje, lakini wavunaji wa wa nje wa mazao ya uwekezaji wetu, tuseme, hapana. Tuongozwe na uzalendo na sio tamaa ya mapato binafsi.
Naona umedidimia zaidi siku hizi. Ulikuwa nafuu kidogo nilipo dharau elimu yako. Sasa sijui mwisho utakuwa na hali gani wewe kama mwelekeo ndio huu wa kujishusha hadhi namna hii.Sasa hapa nani kadhihirisha akili zake tope!?..wapi nimesema mi mwarabu!!?..acha kunijibujibu,upeo wako mdogo
Ni sehemu Gani au % ya uchumi au rasilimali za nchi husikaKuanzia Canary Wharf mpaka Shard imenunuliwa na Qatar
Nusu ya majengo london wanamiliki wao leo
Na sisi hatuna hiyana nao huwezi sikia mtu analalamika
Ardhi wamechukua sana
Kuna sehemu naijua West Sussex mwarabu wa Saudia kabeba eka 500 na hakuna chochote anachofanya
Anaweza akawa amesahau kama alilinunua eneo hilo
Lina miti tu hata jengo hakuna
Maadamu wanalipa kodi sawa tu
Sisi halmashauri wakikupa kusimamia Choo cha stand kukusanya 200 unapitia zote itakuwa msimamie bandari
Huu ndio uwekezaji uko balancing sio , utakodisha kitu hakipo kwenye soko.la hisa.Kuanzia Canary Wharf mpaka Shard imenunuliwa na Qatar
Nusu ya majengo london wanamiliki wao leo
Na sisi hatuna hiyana nao huwezi sikia mtu analalamika
Ardhi wamechukua sana
Kuna sehemu naijua West Sussex mwarabu wa Saudia kabeba eka 500 na hakuna chochote anachofanya
Anaweza akawa amesahau kama alilinunua eneo hilo
Lina miti tu hata jengo hakuna
Maadamu wanalipa kodi sawa tu
Sisi halmashauri wakikupa kusimamia Choo cha stand kukusanya 200 unapitia zote itakuwa msimamie bandari
Miaka iliyopita, tukisikia wawekezaji, tunajua ni watu wenye mitaji na tekinolojia, wanakuja kujenga na kuendesha miradi yao waliyoijenga wenyewe.
Lakini, kwa sasa, ghafla maana ya uwekezaji imebadilika. Hao wawekezaji wa sasa, wanakuja wanachukua rasilimali za nchi ambazo tayari zimejengwa au kuendelezwa. Wanapewa, na kuanza kukusanya mapato. Hivi hawa ni wawekezaji au Wavunaji?
1) Marehemu Magufuli aliwakataa wawekezaji wa Kichina ambao wangejenga bandari mpya Bagamoyo, na ambayo wangeiendesha wenyewe. Tuliwakataa waliotaka kujenga bandari mpya. HALAFU? Kupitia mkataba wa IGA, mkataba wa hovyo kabisa kuwahi kutokea Duniani, DPW wakapewa bandari mama ya Dar es Salaam ambayo tayari nchi imekwishawekeza zaidi ya dola bilioni 10, na mwushoni kabisa, kwa mkupuo nchi imewekeza dola bilioni 1. DPW tunaambiwa eti atawekeza dola nusu billion. Katika hali ta kawaida, tujiulize, hivi sisi tuna utimamu wa akili? Unamkataa anayekuja kuwekeza mradi mpya, halafu unamkubalia mvunaji!! Huu ni uporaji wa kitegauchumi cha Taifa. Waliowezesha uporaji huu, wanalitakia nini Taifa hili?
2) Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Arusha, tayari ulikwishajengwa, tayari ulikuwa unafanya kazi, sasa amepewa mwarabu!! Hivi aliyepewa huo uwanja ni mwekezaji au mvunaji? Kama ni mwekezaji kwa nini hakupewa eneo akajenge uwanja wa kwake?
3) Kuna makampuni mengine toka Uarabuni yamepewa mbuga za wanyama na hifadhi za misitu. Hivi hawa ni wawekezaji au wavunaji/waporaji? Kama ni wawekezaji, wameleta pundamilia, twiga, fisi na ngiri wangapi kwenye hizo hifadhi? Au wamepanda mininga na mitundu mingapi kwenye hiyo misitu hadi waitwe wawekezaji?
Hivi tumefikia mahali pa kuwapa waarabu karibia kila rasilimali tulizozitolea jasho kwa miaka mingi, kwa lengo gani? Mtu yeyote ambaye hana uchumi ni mtu duni na automatically atakuwa mtumwa wa mwenye uchumi. Tunapowapa kila mlango wa uchumi waarabu, automatically tunatengeneza mazingira ya kuwafanya Watanganyika huko mbeleni kuwa watumwa wa waarabu ndani ya Taifa lao.
Jamani, tuwaache walio na tamaa za ajabu waendelee kushangilia na kufurahia hadaa wazifanyazo kwa Taifa, wao wakirushiwa hata dola laki 1, wapo tayari hata kuua matumaini ya vizazi vyote vijavyo, LAKINI walio na hekima ni lazima tuendelee kupaza sauti zetu na kusema kuwa huu uovu, kama umma wa watu wazalendo, tunasema HAPANA. Nchi inawahitaji wawekezaji wa ndani na nje, lakini wavunaji wa wa nje wa mazao ya uwekezaji wetu, tuseme, hapana. Tuongozwe na uzalendo na sio tamaa ya mapato
HUO SIYO UWEKEZAJI .....HUU TUNAO FANYIWA NA CCM KWA SASA UNAITWA (STATE CAPTURE) NI UKOLONIZESHAJI WA NCHI NA UCHUMI.....haya ni matokeo ya kuwa na JESHI LA WAPUMBAVU NA VYOMBO VYOTE VYA USALAMA WA TAIFA KWA UJUMLA ....KWA SASA TANZANIA NA SERIKALI NA SIASA VIPO MIKONONI MA MFUMO KABAMBE WA RAIA FEKI WANAO TUMIKA DHIDI YA TAIFA ...JUZI RAIS MSEVENI KASEMA NAMNA HUO MFUMO ULIVYO MFUATA NA KARATASI ZA KUCHAMBIA NA KUMWAMBIA NAYE AKUBALI KUSAHINI KAMA TANZANIA NA SAMIA ALIVYO KUBALI.Miaka iliyopita, tukisikia wawekezaji, tunajua ni watu wenye mitaji na tekinolojia, wanakuja kujenga na kuendesha miradi yao waliyoijenga wenyewe.