Huu umoja na mshikamamo wa wafuasi wa CHADEMA ya Lissu unatoka wapi? Mbona umepaa juu?

Huu umoja na mshikamamo wa wafuasi wa CHADEMA ya Lissu unatoka wapi? Mbona umepaa juu?

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,748
Reaction score
10,288
Fikiria wamechangishana Tsh 1000,000/= Kwa ajili ya juice na soda ya wahanga waliopigwa na polisi pale mahakama kuu.

Wanapanda mabasi na makosta kwenda Dar kufuatilia kesi ya ya Lissu.

Wana nguvu na hali kuliko kipindi cha Mbowe. Pamoja na mizengwe wanayofanyiwa sasa hivi.
 
Wapiga kura October wakiwa kwenye pic ya pamoja leten ya waandamanaji wakiwa pamoja muna washawishi
FB_IMG_1758711200478.jpg
 
Waisraeli kadri walivyozidi kuteswa ndivyo walivyozidi kuzaliana kwa wingi. Mateso wakati mwingine hayaondoi ule moyo wa mshikamano mwema.
 
Fikiria wamechangishana Tsh 1000,000/= Kwa ajili ya juice na soda ya wahanga waliopigwa na polisi pale mahakama kuu.

Wanapanda mabasi na makosta kwenda Dar kufuatilia kesi ya ya Lissu.

Wana nguvu na hali kuliko kipindi cha Mbowe. Pamoja na mizengwe wanayofanyiwa sasa hivi.
Ukiona hivyo wapo upande wa wajenga taifa letu,ina punguza na vijembe hawajatoa tu juice,sema ukweli unao ujua kwa uhalisia.
 
Back
Top Bottom