We kweli liccm jinga, humo humo Kuna maelfu ya waandamanaji 29 SeptemberWapiga kura October wakiwa kwenye pic ya pamoja leten ya waandamanaji wakiwa pamoja muna washawishi
View attachment 3478308
Hawa wote ni Wanafunzi waliokuja kushangaa wasaniiWapiga kura October wakiwa kwenye pic ya pamoja leten ya waandamanaji wakiwa pamoja muna washawishi
View attachment 3478308
Hapa walio wengi licha ya kusombwa wamekuja kuona show za wasanii za bure hakuna kiingilio!Wapiga kura October wakiwa kwenye pic ya pamoja leten ya waandamanaji wakiwa pamoja muna washawishi
View attachment 3478308
Ukiona hivyo wapo upande wa wajenga taifa letu,ina punguza na vijembe hawajatoa tu juice,sema ukweli unao ujua kwa uhalisia.Fikiria wamechangishana Tsh 1000,000/= Kwa ajili ya juice na soda ya wahanga waliopigwa na polisi pale mahakama kuu.
Wanapanda mabasi na makosta kwenda Dar kufuatilia kesi ya ya Lissu.
Wana nguvu na hali kuliko kipindi cha Mbowe. Pamoja na mizengwe wanayofanyiwa sasa hivi.