Huu undugu wa kukutana kwenye misiba tu haufai

Mkuu mm ni Tataguta kanisa la kiroho
 
Nadhani wenzetu hawa watu wa Asia wameweza kulikwepa hili kwa kuishi na familia zao kwenye boma moja, hii nadhani inaondoa ule ubinafsi ambao huku kwetu umetawala. Nasi kama tutaweza kuishi na watoto wetu kwenye boma moja, waoe na waolewe na waishi pale pale hii dhambi ya kutofautiana tunaweza kuikimbia.
 
Sema Kuna Mda ukifika God atambadilisha
Ni kweli mkuuu m nilishakata hata tamaaa yaan baada ya baba kufaaa tukaitwa nanndugu kikaooooo

Tukasomeshwaaa tukaanza kuwasiliana mpaka leoioo uliza anaetuunganisha nae kunmmewaka moto kwahiiio kaka akawa anamwambia we mjomba mdogo wako amuongei unataka nn kwetu haikuwa rahisi nilifunga mkuu
 
Bora msibani unawaona

M kaka yanguuu akisiikia misibaaa haji anauliza min sh ngapi anawarushia mchango sikuhiohio mkipiga yoyote akijua namba zenu apokei..ngooo
Huyo ana roho ya kipekee
 
Piga chini mpaka misiba basi, au vipi?
 
Dah😢
 
Sanaaa sanaaaa watu wanawacheka lakn awajuu manufaayake yaan m mpaka sasa hata nikisikja kaka amepata matatizo sijui anapokaaaaaa..2017 alipata ajali y pikpik sijui lolote kumbe yuko moi wik ya 3

Akatokea dogo mtaan nae kimeumana na pikpik tuko na wife tunsingia wodiiin namkuta mguuu ukoo na jiwe ndugu niliumwa tumbogaflaaa

Mbaya kawekwa mwanzon kabisa mlangoni ukiingia unamwona aisee. Shemeji yake alishangaa akuamini nkaita mtu wapale nkaenda nje nkaongea na kanteen nkalipa wik 2 nzima chakula asbh mpaka usiku nkampelekea namba akifika mda awajuze anataka nn wamletee.... Ana hela sio sporty sporty nkasema hapahapa pa kuanzisha upendo

Akashtukaaa why nkamwambia nshalipa utachagua unachokula

Nikaanza safari kumwangalia hospt narydi hme

Job hospt hmeeeeeeeee

Sikuyasiku yakanikuta nafika naona mbona kuna mtu mwingine namatunda kama yote ndugu na maxiwaa kwa thermos achaatu kuuliza naambiwa katoka asbh

Nkasema sipigiiiii nimwangalie woii wiki wiki 4 mwezi miezi ziiii nikipga apokei nkasema hapa mwamuzi n Mungu tu sina la ziada ikaisha
 
Hii hali inachangiwa na nini hasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…