Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
-
- #61
Sijajua kama wenzetu hawa wa mataifa mengine, kama wako kama sisiMimi nimemuachia Mungu tu.Mtu mnapishana maneno tu unamuomba msamaha miaka!
Undugu Gani huo hauna kusamehana?
Watu wana roho ngumu sana.
usiku mwemaaaaaaaKama vipi tulale kabisa kabla usiku wetu haujaharibiwa kpnz
Na wewe pia kpnz,nasign out!usiku mwemaaaaaaa
KWA WAKRISTO WATANIELEWAUnakuta ndugu zako kabisa wa kuzaliwa nao, achilia mbali hao wa upande wa baba au mama mnakuwa hamna maelewano mazuri; kupeana fursa hakuna, wakati mwingine ata kujuliana hali mpaka mtafutane sana.
Ila ukitokea msiba sasa, ndio mnaanza kutafutana na kwenda kwa mbwembwe.
Kwa mtazamo wangu, undugu wa namna hii haufai; piga chini ujipambanie mwenyewe.
Hakika kabisaa.Mi naona ndo mzuri msiba ukiisha kila mtu akapambane na hali yake hiyo kukutana bila kitu cha maana ndo huleta mifarakano mibaya sana
Huyo ndo mm mkuu.. sipendi kuchangaman n nduguBora msibani unawaona
M kaka yanguuu akisiikia misibaaa haji anauliza min sh ngapi anawarushia mchango sikuhiohio mkipiga yoyote akijua namba zenu apokei..ngooo
Kuna jamaa yetu nae alikuwa kama kaka yako siku ya msiba wake nae alirushiwa hela tu.Bora msibani unawaona
M kaka yanguuu akisiikia misibaaa haji anauliza min sh ngapi anawarushia mchango sikuhiohio mkipiga yoyote akijua namba zenu apokei..ngooo
Na ndie dawa yake hii mkuu ingawa inahitaji moyo m n muumini wa kulipa mema kwa baya amshukuru Allah kwa Moyo alionipaKuna jamaa yetu nae alikuwa kama kaka yako siku ya msiba wake nae alirushiwa hela tu.
Tokea siku hio amekuwa wa mbele kwenye kila shughuli🤣🤣🤣
Usiwakatae wana umuhimumwake mkuuHuyo ndo mm mkuu.. sipendi kuchangaman n ndugu
Mbona kulaumiana?....Unapenda kuishi mwenyewe bila ndugu, ingewezekana ungependa ubaki mwenyewe duniani
Nasahihisha, ungetamani wanaume wote tufe umiliki mademu wote
Au ungetamani, kusafiri uende kwenye ulimwengu wa wanawake uwamiliki utuache ndugu zako tunateseka na hii dunia. Acha hizo
Asia walilikwepa kasumba hapa bongo unajua kwa nn hii ishu ?Nadhani wenzetu hawa watu wa Asia wameweza kulikwepa hili kwa kuishi na familia zao kwenye boma moja, hii nadhani inaondoa ule ubinafsi ambao huku kwetu umetawala. Nasi kama tutaweza kuishi na watoto wetu kwenye boma moja, waoe na waolewe na waishi pale pale hii dhambi ya kutofautiana tunaweza kuikimbia.
Babu mzaa baba yangu alizaliwa na wadogo zake wawili walikuwa mapacha , hapa mjini alibaki na mmoja ambaye aliolewa yule wmingine aliondoka kipind cha Waingereza miaka ya 50's huko maana alisomeshwa mpaka kwenda mpaka hapo hawakuwahi kuonana tena .Cha Msingi Kuombe Dua sanaa
Imagine Mimi Na ndugu yetu wakike aliondoka home Tangu 2004 Mpaka leo Hatujui yuko wapi,Kapatwa na nn Na anafanya nn?
Tumeishasubiri Tuone kama atarudi lakini bado.
Na kina yakoboNadhani hiki kizazi kinafuata historia kwenye biblia, kama yule aliyemuwahi ndugu yake ili apewa baraka na baba yake
Umuhimu wa kuleta shida na kuomba misaada? Wakati huohuo wanakuombea ufeli wakutolee mifano mibayaUsiwakatae wana umuhimumwake mkuu
Mukesh ambani tajiri no 1 Asia, na mdogo wake anil ambani, wote ni matajiri, lakini ni paka na chui hawana uhusiano mzuri sana Raymanu KEMambo Kama haya Mara nyingi hutokea Kwenye familia masikini.
Huu upuuzi huwezi kuukuta Kwenye familia za kitajiri
Wew ni kabila ganNa haya ndyo maisha ninayaishi....
Najuta kuzaliwa kwenye hii Familia,lakini ni vitu ambavyo siwezi kuvibadilisha.
Siku za mwanzo nilikua najutia na kuumia sana....Kuna wakati nilitakiwa kukubali kua sikujipangia,yaani nimezaliwa na kujikuta humo hivyo siwezi kubdilisha chochote..........
Mimi ndugu Zangu hatuwasiliani,maybe Tukutane kwenye matatizo.
Hawa siyo ndugu wa mbali, Hawa ni ndugu Zangu wa damu,tumetoka kwenye kiuno cha mwanaume m,moja
Tunaombeana mabaya,wanasubili ufeli ili wakucheke
Kipindi niko secondary walimwambia baba anapoteza hela nitapata mimba tu....huku nilimalza Shule nikiwa bikira.
Mambo ni mengi, bai the Wei nawachukia ndugu zangu,
Ninaishi kama mkiwa......Kuna wakati Unapitia mambo makubwa maishani unatamani kumueleza mtu m,moja tu akusikilize lakini hayupo.
Natamani wanaume wote wanvefahamu Kua Kuzaa watoto kila mototo na mama yake ni mateso makubwa kwa mtoto
Wanawake wangejua kua kuzaa kila mtoto na baba yake ni mateso kwa mtoto
Wanawake wangejua kua kuzaa Kabla hujajipanga ni kumtesa mtoto
Wanawake wangetambua kua kuzaa Kabla ya ndoa ni mateso kwa mtoto
Basi wasingethubutu kuyafanya haya.
Maisha ninayoishi najua ni wazazi wangu waliyasababisha.
Maybe tungezaliwa baba m,moja na mama m,moja huenda tungekua na Familia yenye upendo.
Sijutii tena, kwasababu nitauumiza moyo wangu kwa vitu ambavyo siwezi kuvibadilisha
Nimejifunza kuyaishi maisha yangu bila uwepo wa ndugu yeyote,
Mshikaji wangu huyu namzingua tuMbona kulaumiana?....