Huu undugu wa kukutana kwenye misiba tu haufai

Ulichambwa vizuri mpwa mpaka nimecheka sana .
 
Duuuuuuuuuuuuuh tukoooo wengiiii sanaaa m waliimwambia mama sifiki form four
96 huyooooo pugu nkatoboa wakasema afaulu form six dah nkasema hawa mbwa wacha niwaamulie imooooo....

Hapa nilipoenda chuo nkamwomba mama asiwambieeee wasojentengeneza mbele ya safariiiii

Nkajirenga kabisa na misiba na sherehe za ndugu pande zote mpaka nkamaliza

Wakatengeneza kabiashara cha kuchanga ati ukooo party nkasema wasije sema nina degree sihudhirii nkatinga na karanga mfukoni kuja nkalamba sodaaa moja Weka karanga

Wakati wa vyakula jamaa kibao wakanifwata mbona ulimpwaa nkajibu mmh nishashibaaa wapendwa niliondoka kwa amani...

Baada ya hapo nikipojiongeza kusoma nkabadilisha na namba za simu mpaka nimalize woii .....

Jihadhari sana kunawa.maji na yale ma serviette mbajipangusia watu wakoo kazinii live wakipita nazooo mtawapenda.....

Ngoja tukakague rvr sijui vra kama n halali ama wametegesha mechi za yanga tu
 
Ndugu zangu wako hivyo nimewapiga chini
 
USINIPANDE KICHWANI KICHWANI KICHWANI MALOLOLO🎵🎵
 
Undugu huo hausumbuani na mtu hadi kwenye matatizo kama hayo ya msiba.

Sasa wewe unataka undugu Kwa kuliliwa shida Tu wewe na wakati unashida zako za kutatua.

Na lifestyle unayoishi unaonekana kama huna shida vile lakini Siri Ni yako wao hawajui Hilo,wanachojua ndugu yetu yupo vizuri kiuchumi.
 
Bora msibani unawaona

M kaka yanguuu akisiikia misibaaa haji anauliza min sh ngapi anawarushia mchango sikuhiohio mkipiga yoyote akijua namba zenu apokei..ngooo
Ubinafsi huo....
 
Bora msibani unawaona

M kaka yanguuu akisiikia misibaaa haji anauliza min sh ngapi anawarushia mchango sikuhiohio mkipiga yoyote akijua namba zenu apokei..ngooo
Huyu kuna kitu mlimkosea
 
Sasa wew unataka mfatane fatane Inatakiwa kila mtu na mambo yake mkutane kwenye matatizo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…