Huu uongo wa Simba wanakusema kuwa "all tickets sold out" utaisha lini?

kulikuwa na matobo kibao. au hawana pesa?
 
Endelea tu kudhihisha umbumbumbu wako..
 
Yanga mmeumia sana poleni sana jipangeni huenda mkafika walipofika Simba siku moja!!
 
WE kiboko unabishana hadi na computer [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mimi mwenyewe nilikata ticket ila sikuingia kwa sababu nilichelewa kutoka kazini nikaona niangalie mechi nyumbani
 
Tunao ushahidi kuwa GSM alitoa hela kununulia ticket kisha ziharibiwe ili kutia dosari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…