Apeche alolo
JF-Expert Member
- Apr 14, 2023
- 2,517
- 5,533
kabla mpira haujaanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kabla mpira haujaanza
Mtani hii ilikuwa saa 11 hiiHii picha ya muda gani mtani..
Jamani.mwenye ana ile video au picha ya juu aitume humu...
Mtakufwa nawaambia mkiwa bado wabichiiii kwa viroho vya korosho...hhaahaha
Ilikuwa saa 11 hiyo na jana uwananjani nilikuwepoPicha za saa 6 MCHANA.
Hakuna namna ya kuishusha brand ya Simba. Imeshakua na itakua na historia imeandikwa Afrika na duniani.
Kukwama kuingia uwanjani Kuna uhusiano gani na kujaza uwanja?
Watasema wakati hii picha inapigwa, ilikuwa bado mchezo kuanza na pia walikuwa hawajotoka makazini.
Mbumbumbu kwenye ubora wako.Mnaumia mkiwa wapi?
Karibuni Kanisani leo
Kwahiyo wengine tiketi zao walienda kupandia bus, sio?Kila aliyekata tiketi lazima aende?
kulikuwa na matobo kibao. au hawana pesa?Jana tumeshuhudia kwa macho yetu Uwanja ukiwa mtupu maeneo mengi na hata baada ya ile fungulia Mbwa ya saa 11 jioni ili watu wajaze Uwanja but still Uwanja haukujaa.
Ahmed Ally na viongozi wako wa Simba hizi janja janja na utoto wa kizamani wa kudamganya Uma kuwa all tickets sold out mnapata faida gani.
Vile vile nyie wachambuzi uchwara mliokuwa mnalaumu viongozi wa Yanga kwa kuweka kiingilio kikubwa 10k ndio sababu Uwanja kutokujaa vipi jana kiingilio cha 7k nacho ni sababu. Tunawasubiri mje kuongelea hili swala la fungulia Mbwa.
Endelea tu kudhihisha umbumbumbu wako..Mtoa mada ulienda uwanjani au umehadithiwa? Kwa taarifa yako jamaa yangu alikwama kuingia uwanjani kwakuwa alifika nusu saa kabla ya game kuanza akakosa access ya kuingia. Baada ya rais mwinyi na watu wa FIFA n CAF kuingia raia walizuiwa kuingia. Ikabidi jamaa yangu aende Temeke kuangalia kideoni. Walisema sababu za kiusalama.
Kujazia nyama nenda FB page ya yule mwandishi wa Ghana Micky Jr alikuja Taifa akakwama nje hadi half time aliingia uwanjani.
Ndo wanavosemaWatasema wakati hii picha inapigwa, ilikuwa bado mchezo kuanza na pia walikuwa hawajotoka makazini.
Mimi nikuwepo, enhe ulikua unataka kusemaje?Ndo maana nmeuliza kabla sijaandika zaidi. Ulikuwa uwanjani ukajua kilichoendelea? Tuanzie hapo kwanza
Walienda kutazama marudio ya Yanga vs Ihefu huenda matokeo yangebadilika.Kwahiyo wengine tiketi zao walienda kupandia bus, sio?
Hahaha ulijua ana hoja za msingi, wehu tu hao wanatuvuruga!!!Nilidhani mtu uko reasonable kumbe punguani.
Umeishia la ngapi?Kukwama kuingia uwanjani Kuna uhusiano gani na kujaza uwanja?
Baadae uliona lakini?.Mtani hii ilikuwa saa 11 hii
Mlijaza mtani hongera lakini jumanne kazi mnayoBaadae uliona lakini?.
Mimi mwenyewe nilikata ticket ila sikuingia kwa sababu nilichelewa kutoka kazini nikaona niangalie mechi nyumbaniJana tumeshuhudia kwa macho yetu Uwanja ukiwa mtupu maeneo mengi na hata baada ya ile fungulia Mbwa ya saa 11 jioni ili watu wajaze Uwanja but still Uwanja haukujaa.
Ahmed Ally na viongozi wako wa Simba hizi janja janja na utoto wa kizamani wa kudamganya Uma kuwa all tickets sold out mnapata faida gani.
Vile vile nyie wachambuzi uchwara mliokuwa mnalaumu viongozi wa Yanga kwa kuweka kiingilio kikubwa 10k ndio sababu Uwanja kutokujaa vipi jana kiingilio cha 7k nacho ni sababu. Tunawasubiri mje kuongelea hili swala la fungulia Mbwa.
Tunao ushahidi kuwa GSM alitoa hela kununulia ticket kisha ziharibiwe ili kutia dosari.Jana tumeshuhudia kwa macho yetu Uwanja ukiwa mtupu maeneo mengi na hata baada ya ile fungulia Mbwa ya saa 11 jioni ili watu wajaze Uwanja but still Uwanja haukujaa.