Huu uongo wa Simba wanakusema kuwa "all tickets sold out" utaisha lini?

Jana tumeshuhudia kwa macho yetu Uwanja ukiwa mtupu maeneo mengi na hata baada ya ile fungulia Mbwa ya saa 11 jioni ili watu wajaze Uwanja but still Uwanja haukujaa.

Ahmed Ally na viongozi wako wa Simba hizi janja janja na utoto wa kizamani wa kudamganya Uma kuwa all tickets sold out mnapata faida gani.

Vile vile nyie wachambuzi uchwara mliokuwa mnalaumu viongozi wa Yanga kwa kuweka kiingilio kikubwa 10k ndio sababu Uwanja kutokujaa vipi jana kiingilio cha 7k nacho ni sababu. Tunawasubiri mje kuongelea hili swala la fungulia Mbwa.
kulikuwa na matobo kibao. au hawana pesa?
 
Mtoa mada ulienda uwanjani au umehadithiwa? Kwa taarifa yako jamaa yangu alikwama kuingia uwanjani kwakuwa alifika nusu saa kabla ya game kuanza akakosa access ya kuingia. Baada ya rais mwinyi na watu wa FIFA n CAF kuingia raia walizuiwa kuingia. Ikabidi jamaa yangu aende Temeke kuangalia kideoni. Walisema sababu za kiusalama.
Kujazia nyama nenda FB page ya yule mwandishi wa Ghana Micky Jr alikuja Taifa akakwama nje hadi half time aliingia uwanjani.
Endelea tu kudhihisha umbumbumbu wako..
 
Yanga mmeumia sana poleni sana jipangeni huenda mkafika walipofika Simba siku moja!!
 
WE kiboko unabishana hadi na computer [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Jana tumeshuhudia kwa macho yetu Uwanja ukiwa mtupu maeneo mengi na hata baada ya ile fungulia Mbwa ya saa 11 jioni ili watu wajaze Uwanja but still Uwanja haukujaa.

Ahmed Ally na viongozi wako wa Simba hizi janja janja na utoto wa kizamani wa kudamganya Uma kuwa all tickets sold out mnapata faida gani.

Vile vile nyie wachambuzi uchwara mliokuwa mnalaumu viongozi wa Yanga kwa kuweka kiingilio kikubwa 10k ndio sababu Uwanja kutokujaa vipi jana kiingilio cha 7k nacho ni sababu. Tunawasubiri mje kuongelea hili swala la fungulia Mbwa.
Mimi mwenyewe nilikata ticket ila sikuingia kwa sababu nilichelewa kutoka kazini nikaona niangalie mechi nyumbani
 
Jana tumeshuhudia kwa macho yetu Uwanja ukiwa mtupu maeneo mengi na hata baada ya ile fungulia Mbwa ya saa 11 jioni ili watu wajaze Uwanja but still Uwanja haukujaa.

Ahmed Ally na viongozi wako wa Simba hizi janja janja na utoto wa kizamani wa kudamganya Uma kuwa all tickets sold out mnapata faida gani.

Vile vile nyie wachambuzi uchwara mliokuwa mnalaumu viongozi wa Yanga kwa kuweka kiingilio kikubwa 10k ndio sababu Uwanja kutokujaa vipi jana kiingilio cha 7k nacho ni sababu. Tunawasubiri mje kuongelea hili swala la fungulia Mbwa.
Tunao ushahidi kuwa GSM alitoa hela kununulia ticket kisha ziharibiwe ili kutia dosari.
 
Back
Top Bottom