Huu upatu wa MTFE ni fursa kweli au mimi ndio naenda kugeuzwa fursa?

Huo ni mtego. Tahadhari kabla ya hatari!
 
Bora Qnet unanunua bidhaa unaiona na ukikwama unaambulia bidhaa yako. Hiyo nyingine ni autaPeli tu.

Saa unanunua milioni 4[emoji23][emoji23] unafaidika nini huwo nao ni ujinga niliona
 

Nakushauri ni bora ucheze betting ya mambo ya mpira kuliko kuingia kwenye meno ya mamba!
 
Mkuu ndo kinachowakuta saivi nawaonea Huruma awa jamaa walianza kuvimba mitaani umu

Sent from my Nokia C2 using JamiiForums mobile app
 
wewe huna uzoefu wowote tuulize wenye uzoefu, sio mara ya kwanza mtfe kufanya system upgrade
Tutaendelea kusubiri kuweza kutoa pesa kwenye MTFE mpaka mwisho wa dunia!

Yaani watu wanafanya system upgrade bila kuwafahamisha wateja wake angalau masaa 24 kabla?

Wateja wanafahamishwa kwamba kuna system upgrade inaendelea baada ya wateja kushindwa kutoa pesa!

AKILI ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZA KWAKO 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Jana ndo wamemaliza mchezo. Wamepiga mkwanja wote na kuacha deni juu!!! Kila mwana mtfe akaunti inasoma salio negative yaani wanakudai![emoji1787][emoji1787][emoji1787] akaunti yangu ilikuwa na salio $701 leo hii inasoma $-1700[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wanakwambia kama unataka kuendelea na biashara kichaa yao unatakiwa kulipa deni then uingize mtaji upya!
 
Wanaijeria hao utakuta wapo sinza chumba kimoja watu 10 na vilaptop vyao wanakusubiri udiposit mtaji wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…