Huu upatu wa MTFE ni fursa kweli au mimi ndio naenda kugeuzwa fursa?

...Wewe ndio Unafanywa Fursa ! Chukua Tahadhari ! [emoji45][emoji45]
 
Isije ikawa kama hawa smart retail watu wame invest muda umefika pesa hazitoki . Hawa naona wao wanatoa mpunga hatujui huko mbele ya safari mambo yayakuwa je
 
Mfano ukiwekeza Tsh. Milioni 1.3 unapata faida kwa siku Tsh. 15,000 - 25,000.
Kwa muda gani......?
 
Mwenye million 2.7 aje anijarbu Mimi inbox pesa yake ataweka kwa blocker (atanpa trading account )Mimi nitam tradia tutagawan faida 50/50 . Kwa wiki hawez kosa faid ya 200,000/- na mtaji upo mfukon kwake njoo inbox njoo,


[emoji113]NARUDIA PESA YAKO HUNIPI MIMI
[emoji613]UNAWEKA KWA BLOCKER NA UNAUWEZO WA KUITOA WEW MWENYEW
[emoji613]MIMI KAZI YANGU NI ACCOUNT MANAGEMENT

MINIMUM USD500
 
Hiyo ni fursa broo piga pesa kimya AKA kula nyama nyamaza usimwambie mwenzio
 
Kula nyama nyamaza
 
Hii kitu sio utapeli na mm nimekata shauri kujoin. Naanza na laki2 then nitaenda milion 8 na baadae nitaenda hadi milion 30 ndo target yangu.
Here are my plan
Laki2 naweka zangu za kujichanga nitafanya 2 months then naenda kuuza deni la bank nitaliuza 20 mil halaf difference ya 8 mil naiweka yote. Nitaclear den ndani ya mwaka mmoja coz nakatwa kwenye salary na nitakuwa narejesha nje ys mfumo polepole, nitakopa tena 25mil zote naziweka na ndani ya mwaka nitarudisha den then nabski kula faida
Huu sio upatu bali ni biashara ya kuuza dolar na kununua tena hela wanayotoa ni ndogo sana si ajab jamaa wanakula hela ndefu kuliko wanayokupatia sababu ukitrade mwenyewe vizuri unapata zaid ya hiyo. Mm nna jamaa yangu huwa anazungusha elf f50 tu ila kila siku anaingiza either elf 50 ama sio chini ya 20. Ila wao wanatumia AI kutrade hivo ni vigumu sana kupata hasara
 
AI trade gani ,wakina trump wameajiri wachumi, mathematicians, software engineers,accountants,wataalamu mbalimbali, + super computer Ai trade hawazioni ? Mm naiona imekaa ki upatu upatu zaidi ukileta kichwa unapata zaidi ,naamini muda sio mrefu hii ngoma itakalia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…