TZ-1
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 4,321
- 7,501
Saw nashukur mkuu kwa malekebshoMkuu sio blocker ni broker, spelling errors kama hizi utakimbiza wateja
[emoji113][emoji16]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Saw nashukur mkuu kwa malekebshoMkuu sio blocker ni broker, spelling errors kama hizi utakimbiza wateja
Marekebisho naona unatatizo la R na LSaw nashukur mkuu kwa malekebsho
[emoji113][emoji16]
YesMarekebisho naona unatatizo la R na L
May be lakini simshauri mtuHapa unauliza wrong people hakuna utakachopata zaidi ya kukatishwa tamaa.fanya utafiti wako nenda YouTube kaangalie review take risk hata kilimo au biashara ni risk taking
Hapo umeitaja Q Net mpaka nkacheka! Kuna jamaa yangu wa karibu amenishawishi zaidi ya miaka minne niingiemo, nimekataa. Huwa ananiambia nachelewa kutajirika, lakini kwa Miaka yote minne mpaka sasa Huwa ananipiga mizinga ya nauli! Ahahahahaha!!!kwa hiyo mkuu hi haina tofauti na global aim,qnet,lifaro,deci!!!!???
Uong imeanz mwak jan na robot kaanz miez mitatu iliyopit ss miak minne y wapnina miaka takribani minne sasa na mtfe...ni legit business ambayo ina hasara na faida....ila nashukuru nimekula faida hata dola zilizopo zikipotea sina hasara
we acha ufala wewe mtfe wewe ndio umeijua mwaka jana, mimi nacheza hii kitu toka niko uingerezaUong imeanz mwak jan na robot kaanz miez mitatu iliyopit ss miak minne y wap
Kumbe NI kucheza Mimi nikajua ku-trade🤣🤣🤣we acha ufala wewe mtfe wewe ndio umeijua mwaka jana, mimi nacheza hii kitu toka niko uingereza
Sina uhakika kama MTFE imeshafika uingerezawe acha ufala wewe mtfe wewe ndio umeijua mwaka jana, mimi nacheza hii kitu toka niko uingereza
Na bado wataibiwa Sana si ujuaji unawaponzaHivi nyie ni nani kawaloga?
Kila siku mnaibiwa tangu 1990's
Namkubuka Dominic KigendiNi suala la muda tu kabla kilio kusikika……!
Yani wewe hata kuandika neno BROKER umeshindwa na bado unataka mtu akuamini akukabidhi Milioni zake umfanyie Trading? Hauwezi kuwa serious aseeMwenye million 2.7 aje anijarbu Mimi inbox pesa yake ataweka kwa blocker (atanpa trading account )Mimi nitam tradia tutagawan faida 50/50 . Kwa wiki hawez kosa faid ya 200,000/- na mtaji upo mfukon kwake njoo inbox njoo,
[emoji113]NARUDIA PESA YAKO HUNIPI MIMI
[emoji613]UNAWEKA KWA BLOCKER NA UNAUWEZO WA KUITOA WEW MWENYEW
[emoji613]MIMI KAZI YANGU NI ACCOUNT MANAGEMENT
MINIMUM USD500
ni lugha tu...kwa sisi wazoezi wa trades tunaona ni michezo tu...halafu sishindani na watu wenye low iQ tusichoshane...pita kuleKumbe NI kucheza Mimi nikajua ku-trade🤣🤣🤣
Lwa hiyo hata jina humjui unamuiya blocker 🙄Mwenye million 2.7 aje anijarbu Mimi inbox pesa yake ataweka kwa blocker (atanpa trading account )Mimi nitam tradia tutagawan faida 50/50 . Kwa wiki hawez kosa faid ya 200,000/- na mtaji upo mfukon kwake njoo inbox njoo,
[emoji113]NARUDIA PESA YAKO HUNIPI MIMI
[emoji613]UNAWEKA KWA BLOCKER NA UNAUWEZO WA KUITOA WEW MWENYEW
[emoji613]MIMI KAZI YANGU NI ACCOUNT MANAGEMENT
MINIMUM USD500