Huu upatu wa MTFE ni fursa kweli au mimi ndio naenda kugeuzwa fursa?

kwa hiyo mkuu hi haina tofauti na global aim,qnet,lifaro,deci!!!!???
Hapo umeitaja Q Net mpaka nkacheka! Kuna jamaa yangu wa karibu amenishawishi zaidi ya miaka minne niingiemo, nimekataa. Huwa ananiambia nachelewa kutajirika, lakini kwa Miaka yote minne mpaka sasa Huwa ananipiga mizinga ya nauli! Ahahahahaha!!!
 
Yani wewe hata kuandika neno BROKER umeshindwa na bado unataka mtu akuamini akukabidhi Milioni zake umfanyie Trading? Hauwezi kuwa serious asee
 
Lwa hiyo hata jina humjui unamuiya blocker 🙄
 
Haina tofauti na D9 CLUB kama ni hivyo kila mtu angeweka huyo anayekukaribisha kumbuka ukiweka yeye anapata gawaio fulani hiv toka kwako nimekuelezea kwa lugha nyepesi sana 2.. Au ni ache tu kusema maneno mingi ............. Unapotaka kufanya biashara angalia security of yua money
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…