Huu upatu wa MTFE ni fursa kweli au mimi ndio naenda kugeuzwa fursa?

Iyo pesa nikopeshe Mimi mkuu
 
Forex is only for smart peoples.. very bright!, Intelligent peoples...

Yakupaswa uwe kichwa kweli kweli!? Vinginevyo... Ni bora ubeti tu....

Alikuwemo ONTARIO Humu.. 2013... Alikua na lengo zuri kabisa kuelimisha kuhusu FX markets ..

Shida ya wengi waliopoteza ni kwa tamaa zao... Wala si ONTARIO

Uliona wapi... Unaanika mahindi mabichi asubuhi juani...

Then jioni unaenda kusaga... Ukitegemea upate unga!?

Utakuwa kichaa... Probably utapata uji!? Na sio unga...!

Forex sio nyanya!!! Kwamba utgemee kuvuna ndani ya miezi miwili!!!!.... Huo ni utaahira!!! Afadhali ubeti

Forex ni kama kahawa, (Cocoa) itakuchukua muda miti kukua na kukomaa kutoa matunda ya kahawa....

Lakini.. ikishaanza kutoa mbegu... Wewe ni kuvuna tu Kila mwaka... Hupandi tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…