Mi si nina kiburi cha pesa kwahiyo nataka niwaandikishe shule wazaziKwamba umekosa kabisa watu WA kuwasaidia na badala yake unataka ukawasaidie hao wazazi wajinga wajinga wanalazimisha kuishi maisha yaliyo nje ya uwezo wao?
Mbona ukitembelea huko vijijini na mahospitalini hasa government hospitals Kuna watu wengi sana wanaohitaji msaada?
Kwanza ulielewa dhumuni la comment yangu au umekurupuka tu kujibu?Shule za serikali hazikukupa elimu Bora bila wewe kujua ndiyo maana unaona ni nzuri.lakini kama ungesoma international au English medium enzi zako ungekuwa zaidi ya hapo ulipo Sasa.
Kwani Feza nayo inatumia mtaala wa NECTA?Eti umwambie Mwigulu Nchemba amchukue mtoto wake kutoka Feza ampeleke kayumba๐ผ
Kwa hiyo kumbe unataka kuwafanyia makusudi tu?Mi si nina kiburi cha pesa kwahiyo nataka niwaandikishe shule wazazi
Watu wapo wamesoma IST na bado wanabangaiza .Asikudanganye mtu hizo connection za mbeleko eti utapata kutoka kwa wanafunzi wenzako mliopiga wote darasa moja sahau. Mkishagraduate kila mtu anashika njia yake hakuna mkumbo na hata mkifanikiwa kwenda mbele pamoja familia zenu zitawaamulia nani awe nani. Wewe wa kufosi na kubahatisha lazima urudi mtaani uanze upya kujipanga๐๐๐Kuna shule ukisoma hutakosa ajira. Kwa sababu kama hautaajiriwa, utajiajiri kwa mafanikio makubwa!
Unemployed wengi wamesoma shule za kubahatisha tu.
Kwani Feza ina tumia mtaala uchwara wa NECTA?Hakika๐คฃ๐คฃ
Yani mtu eti anataka njaa zake tuziheshimu , like, whatta fuxxk????
Mtu anasomesha mtoto feza, hukp huko anapata koneksheni anaenda ulaya , mzazi analipia 45 percent ya ada.
Utaniambia huyu mtu alkuwa anachezea pesa
Kwani ukiendelea kusumbuka hadi unamaliza form four?Mi nimesoma kayumba nakumbuka form one lugha ilivyonisumbua hawa wangu hapana aiseee. Ntawalipia mpaka mwisho wangu washindwe wao tuuu.
Hii taarifa haijakamilika bila ule mstari wa100% Fact. Mtoa Mada ameshindwa kufikiria kuhusu hili.
Kusomesha EM Sio kipimo cha utajiri
Kitendo kilichofanyika baobao Kwa shule za serikali ni zaidiKwani ukimpeleka EM au International School ndo atajitambua? Mfano wanafunzi wa BAOBAB.
Hiyo sample uliyoitoa ya mfamasia ni mmoja tu kati ya watu zaidi yaKwanza ulielewa dhumuni la comment yangu au umekurupuka tu kujibu?
Kwanini mnaziita Kayumba?? shida ni Nini mpaka mkaamua kuziita Hilo jina?
Kingine, vipi nikikwambia kwamba Mmoja ya wafamasia WA kutumiwa nchi hii amesoma hizo hizo shule unazozidharau na hata wafamasia wenzake waliosoma international schools wanampa salute??
Eti ningesoma English medium ningekuwa zaidi ya hapa nilipo, fikra zako duni sana....!! Nina Wana KIBAO tu wamesoma English mediums elimu Yao yote ya msingi, ila leo nikikutana nao wananiomba hadi nauli ya daladala.
Yaani mtu asome IST(international school of Tanganyika)ambapo mtu analipa ada zaidi ya milioni hamsini halafu unataka aje aajiliwe kwenye mshahara wa milioni mbili?.Nitajie hata mmoja ambaye alisoma ist halafu Hana kazi ya kufanyaWatu wapo wamesoma IST na bado wanabangaiza .Asikudanganye mtu hizo connection za mbeleko eti utapata kutoka kwa wanafunzi wenzako mliopiga wote darasa moja sahau. Mkishagraduate kila mtu anashika njia yake hakuna mkumbo na hata mkifanikiwa kwenda mbele pamoja familia zenu zitawaamulia nani awe nani. Wewe wa kufosi na kubahatisha lazima urudi mtaani uanze upya kujipanga๐๐๐
Nitajie mtu aliyesoma IST na kaanzisha kampuni yake kubwa from the scratch au ni kiongozi serikalini.Yaani mtu asome IST(international school of Tanganyika)ambapo mtu analipa ada zaidi ya milioni hamsini halafu unataka aje aajiliwe kwenye mshahara wa milioni mbili?.Nitajie hata mmoja ambaye alisoma ist halafu Hana kazi ya kufanya
Ndo ujitafakari na uchukue hatua watu wameuza mali wamekopa ili kujenga BRAND mzazi akilost au biashara ikiyumba kwisha habari๐คKitendo kilichofanyika baobao Kwa shule za serikali ni zaidi
Hiyo sample uliyoitoa ya mfamasia ni mmoja tu kati ya watu zaidi ya
Yaani mtu asome IST(international school of Tanganyika)ambapo mtu analipa ada zaidi ya milioni hamsini halafu unataka aje aajiliwe kwenye mshahara wa milioni mbili?.Nitajie hata mmoja ambaye alisoma ist halafu Hana kazi ya kufanya
Wanatumia mpaka mtaala wa NECTAKwani Feza nayo inatumia mtaala wa NECTA?
Mpaka kesho.tuu nasumbuka kukremisha balaaa ndiyo maana sijui history mimiKwani ukiendelea kusumbuka hadi unamaliza form four?
Nitajie shule ya serikalini yenye hiyo scandal.Kitendo kilichofanyika baobao Kwa shule za serikali ni zaidi
Yaani huyu jamaa anahisi mtu kusoma IST kunaongeza akili ya mtu.Nitajie mtu aliyesoma IST na kaanzisha kampuni yake kubwa from the scratch au ni kiongozi serikalini.
Si ndio ๐ ๐ ๐Mkuu kuna misemo inashangaza unaweza ukadhani ndo umezaliwa leo
Kaka hata uandike vipi Hawa hawawezi kukuelewa, sana sana watakuona tu wewe ni maskini zaidi Yao huna uwezo WA kumpeleka mtoto wako English medium hata ya 700,000/= Kwa mwaka.Kwenda nje ya nchi ni usharp wako tu hizo nchi kama UTURUKI,INDIA,MALAYSIA na baadhi ya nchi za ulaya hizo ukipitia website utakutana na scholarship kibao kuanzia 50% mpaka za 75% ni wewe tu na uchangamfu wako. Ukishindwa unaweza kwenda kwenye UBALOZI husika ili kupata hizo scholarships.
Heri ukanunua kiwanja au shamba eneo potential kwa 5-10million baada ya miaka 7-10 unauza unampatia mtoto ada ya chuo kuzuri nje ya nchi au unaongezea kwenye scholarship kama amepata kuliko kuwekeza huko primary alafu huku chuo anakuja kusoma vyuo vya kata UDSM,UDOM,SAUTI na MU.Hivi vyuo ndo vimelata aina ya viongozi wasio na maono waliopo saivi na wengine ni maprofesa๐๐๐na PhD zao za mchongo.
#Kupanga ni kuchagua.