Huu upepo wanaJF wa kurudisha watoto kayumba kutoka EM wala sio maamuzi binafsi ni basi tu ukata umekuwa mkali

Huu upepo wanaJF wa kurudisha watoto kayumba kutoka EM wala sio maamuzi binafsi ni basi tu ukata umekuwa mkali

Kwamba umekosa kabisa watu WA kuwasaidia na badala yake unataka ukawasaidie hao wazazi wajinga wajinga wanalazimisha kuishi maisha yaliyo nje ya uwezo wao?

Mbona ukitembelea huko vijijini na mahospitalini hasa government hospitals Kuna watu wengi sana wanaohitaji msaada?
Mi si nina kiburi cha pesa kwahiyo nataka niwaandikishe shule wazazi
 
Shule za serikali hazikukupa elimu Bora bila wewe kujua ndiyo maana unaona ni nzuri.lakini kama ungesoma international au English medium enzi zako ungekuwa zaidi ya hapo ulipo Sasa.
Kwanza ulielewa dhumuni la comment yangu au umekurupuka tu kujibu?

Kwanini mnaziita Kayumba?? shida ni Nini mpaka mkaamua kuziita Hilo jina?

Kingine, vipi nikikwambia kwamba Mmoja ya wafamasia WA kutumiwa nchi hii amesoma hizo hizo shule unazozidharau na hata wafamasia wenzake waliosoma international schools wanampa salute??

Eti ningesoma English medium ningekuwa zaidi ya hapa nilipo, fikra zako duni sana....!! Nina Wana KIBAO tu wamesoma English mediums elimu Yao yote ya msingi, ila leo nikikutana nao wananiomba hadi nauli ya daladala.
 
Kuna shule ukisoma hutakosa ajira. Kwa sababu kama hautaajiriwa, utajiajiri kwa mafanikio makubwa!
Unemployed wengi wamesoma shule za kubahatisha tu.
Watu wapo wamesoma IST na bado wanabangaiza .Asikudanganye mtu hizo connection za mbeleko eti utapata kutoka kwa wanafunzi wenzako mliopiga wote darasa moja sahau. Mkishagraduate kila mtu anashika njia yake hakuna mkumbo na hata mkifanikiwa kwenda mbele pamoja familia zenu zitawaamulia nani awe nani. Wewe wa kufosi na kubahatisha lazima urudi mtaani uanze upya kujipanga😄😄😄
 
Hakika🤣🤣

Yani mtu eti anataka njaa zake tuziheshimu , like, whatta fuxxk????

Mtu anasomesha mtoto feza, hukp huko anapata koneksheni anaenda ulaya , mzazi analipia 45 percent ya ada.

Utaniambia huyu mtu alkuwa anachezea pesa
Kwani Feza ina tumia mtaala uchwara wa NECTA?
 
Mi nimesoma kayumba nakumbuka form one lugha ilivyonisumbua hawa wangu hapana aiseee. Ntawalipia mpaka mwisho wangu washindwe wao tuuu.
Kwani ukiendelea kusumbuka hadi unamaliza form four?
 
100% Fact. Mtoa Mada ameshindwa kufikiria kuhusu hili.

Kusomesha EM Sio kipimo cha utajiri
Hii taarifa haijakamilika bila ule mstari wa
"Haya Sasa twende Kazi. Kimbia haraka Sana nenda kachukue watoto wako warudishe Kayumba."
 
Kwani ukimpeleka EM au International School ndo atajitambua? Mfano wanafunzi wa BAOBAB.
Kitendo kilichofanyika baobao Kwa shule za serikali ni zaidi
Kwanza ulielewa dhumuni la comment yangu au umekurupuka tu kujibu?

Kwanini mnaziita Kayumba?? shida ni Nini mpaka mkaamua kuziita Hilo jina?

Kingine, vipi nikikwambia kwamba Mmoja ya wafamasia WA kutumiwa nchi hii amesoma hizo hizo shule unazozidharau na hata wafamasia wenzake waliosoma international schools wanampa salute??

Eti ningesoma English medium ningekuwa zaidi ya hapa nilipo, fikra zako duni sana....!! Nina Wana KIBAO tu wamesoma English mediums elimu Yao yote ya msingi, ila leo nikikutana nao wananiomba hadi nauli ya daladala.
Hiyo sample uliyoitoa ya mfamasia ni mmoja tu kati ya watu zaidi ya
Watu wapo wamesoma IST na bado wanabangaiza .Asikudanganye mtu hizo connection za mbeleko eti utapata kutoka kwa wanafunzi wenzako mliopiga wote darasa moja sahau. Mkishagraduate kila mtu anashika njia yake hakuna mkumbo na hata mkifanikiwa kwenda mbele pamoja familia zenu zitawaamulia nani awe nani. Wewe wa kufosi na kubahatisha lazima urudi mtaani uanze upya kujipanga😄😄😄
Yaani mtu asome IST(international school of Tanganyika)ambapo mtu analipa ada zaidi ya milioni hamsini halafu unataka aje aajiliwe kwenye mshahara wa milioni mbili?.Nitajie hata mmoja ambaye alisoma ist halafu Hana kazi ya kufanya
 
Kwenda nje ya nchi ni usharp wako tu hizo nchi kama UTURUKI,INDIA,MALAYSIA na baadhi ya nchi za ulaya hizo ukipitia website utakutana na scholarship kibao kuanzia 50% mpaka za 75% ni wewe tu na uchangamfu wako. Ukishindwa unaweza kwenda kwenye UBALOZI husika ili kupata hizo scholarships.

Heri ukanunua kiwanja au shamba eneo potential kwa 5-10millions baada ya miaka 7-10 unauza unampatia mtoto ada ya chuo kizuri nje ya nchi au unaongezea kwenye scholarship kama amepata au umpe kama mtaji kulingana na ujuzi alioupata VETA aanzishe WORKSHOP yake ajilie pesa burebure kuliko kuwekeza huko primary alafu huku chuo anakuja kusoma vyuo vya kata UDSM,UDOM,SAUTI na MU anapewa elimu ya kukariri madesa.Hivi vyuo ndo vimelata aina ya viongozi wasio na maono waliopo saivi na wengine ni maprofesa😄😄😄na PhD zao za mchongo.

#Kupanga ni kuchagua.
 
Yaani mtu asome IST(international school of Tanganyika)ambapo mtu analipa ada zaidi ya milioni hamsini halafu unataka aje aajiliwe kwenye mshahara wa milioni mbili?.Nitajie hata mmoja ambaye alisoma ist halafu Hana kazi ya kufanya
Nitajie mtu aliyesoma IST na kaanzisha kampuni yake kubwa from the scratch au ni kiongozi serikalini.
 
Kitendo kilichofanyika baobao Kwa shule za serikali ni zaidi

Hiyo sample uliyoitoa ya mfamasia ni mmoja tu kati ya watu zaidi ya

Yaani mtu asome IST(international school of Tanganyika)ambapo mtu analipa ada zaidi ya milioni hamsini halafu unataka aje aajiliwe kwenye mshahara wa milioni mbili?.Nitajie hata mmoja ambaye alisoma ist halafu Hana kazi ya kufanya
Ndo ujitafakari na uchukue hatua watu wameuza mali wamekopa ili kujenga BRAND mzazi akilost au biashara ikiyumba kwisha habari🤗
 
Kwani Feza nayo inatumia mtaala wa NECTA?
Wanatumia mpaka mtaala wa NECTA
1000020609.jpg
 
St Kayumba ilikuwa enzi hizo za 1990's na mwanzoni mwa 2000's, sasa hivi shule bora za kuandaa maisha bora ya baadaye ya mtoto ni English medium na International schools.
 
Kitendo kilichofanyika baobao Kwa shule za serikali ni zaidi
Nitajie shule ya serikalini yenye hiyo scandal.
Shule nyingi za private zenye bweni ndo zinaongoza kwa vitendo vichafu.
 
Nitajie mtu aliyesoma IST na kaanzisha kampuni yake kubwa from the scratch au ni kiongozi serikalini.
Yaani huyu jamaa anahisi mtu kusoma IST kunaongeza akili ya mtu.

Anashindwa kuelewa kuwa akili ni subjective na integemeana na wazazi wako😀😀😀😀

Yaani watu wengi watakuja kushtuka kadri hao watoto zao waliwagaramia mamilioni kuyatupa huko EM watakapokuwa wanatemwa kwenye hizi ajira za serikali na wakirudi nyumbani ni full stress maana hawana kitu zaidi ya elimu ya kukariri.
 
Kwenda nje ya nchi ni usharp wako tu hizo nchi kama UTURUKI,INDIA,MALAYSIA na baadhi ya nchi za ulaya hizo ukipitia website utakutana na scholarship kibao kuanzia 50% mpaka za 75% ni wewe tu na uchangamfu wako. Ukishindwa unaweza kwenda kwenye UBALOZI husika ili kupata hizo scholarships.

Heri ukanunua kiwanja au shamba eneo potential kwa 5-10million baada ya miaka 7-10 unauza unampatia mtoto ada ya chuo kuzuri nje ya nchi au unaongezea kwenye scholarship kama amepata kuliko kuwekeza huko primary alafu huku chuo anakuja kusoma vyuo vya kata UDSM,UDOM,SAUTI na MU.Hivi vyuo ndo vimelata aina ya viongozi wasio na maono waliopo saivi na wengine ni maprofesa😄😄😄na PhD zao za mchongo.

#Kupanga ni kuchagua.
Kaka hata uandike vipi Hawa hawawezi kukuelewa, sana sana watakuona tu wewe ni maskini zaidi Yao huna uwezo WA kumpeleka mtoto wako English medium hata ya 700,000/= Kwa mwaka.

Kutokana na upeo wao duni hawajui kwamba hicho wanachokifanya ni wanatengeneza majobless WA baadae waliosoma Kwa gharama kubwa.

Kwa nchi yetu hii ambayo Bado ni industrializing country, ajira zenyewe chache za kujuana na kugombania, kumsomesha mtoto wako Kwa gharama kubwa pasipo wewe mzazi kuandaa mazingira ya yeye Kuja kutumia hayo maarifa yake Kwa manufaa ni kazi Bure.

Wengi WA waliofanikiwa pasipokuandaliwa mazingira na wazazi wao baada ya kusoma hizo English mediums ni wale ambao walipata gap la kujiendeleza huko ng'ambo na wakabaki huko huko baada ya kumaliza masomo Yao, wengine ndio hao ambao tunapigana nao vikumbo humo kariakoo wakikomaa na uwinga.
 
Back
Top Bottom