Kwenda nje ya nchi ni usharp wako tu hizo nchi kama UTURUKI,INDIA,MALAYSIA na baadhi ya nchi za ulaya hizo ukipitia website utakutana na scholarship kibao kuanzia 50% mpaka za 75% ni wewe tu na uchangamfu wako. Ukishindwa unaweza kwenda kwenye UBALOZI husika ili kupata hizo scholarships.
Heri ukanunua kiwanja au shamba eneo potential kwa 5-10million baada ya miaka 7-10 unauza unampatia mtoto ada ya chuo kuzuri nje ya nchi au unaongezea kwenye scholarship kama amepata kuliko kuwekeza huko primary alafu huku chuo anakuja kusoma vyuo vya kata UDSM,UDOM,SAUTI na MU.Hivi vyuo ndo vimelata aina ya viongozi wasio na maono waliopo saivi na wengine ni maprofesa😄😄😄na PhD zao za mchongo.
#Kupanga ni kuchagua.