Huu ushaidi unaonyesha kabisa baba Diamond hakustahili haya na huenda mama ndio akawa mbaya

Baba zao hawana njaa pia kuhusu omy nasikia ni mzee ndio kakataa msaada kwa omy na kumkana kwa sababu ya Ile skendo ya nanii na mzee ni sheghe
 
Et eee,inawezekana,siku hyo walikuwa wamemtembelea huyo baba
 
Kwani huyo mzee ana mtoto mmoja tu au kuna mwingine? Na je kama kuna wengine kwanini alaumiwe diamond pekee yake?
Na kwanini apangiwe sehemu ya kupata msaada ikiwa yeye anaona sehemu anayostahili kuupata msaada huo?

Hili pekee ni tatizo, linafikirisha kwa mengi
 
Baba zao hawana njaa pia kuhusu omy nasikia ni mzee ndio kakataa msaada kwa omy na kumkana kwa sababu ya Ile skendo ya nanii na mzee ni sheghe
Sio kwamba hawana njaa hawalii kwenye vyombo vya habari kama huyo mzee anayependa kamera na kuhojiwa hovyo hovyo,Baba wa Ommy Dimpoz pamoja na kuzeeka anaendesha bajaj sasa jiulize na uzee ule kukimbizana barabarani manake hana mtoto wa kumtunza ,Baba wa Mwana Fa yeye kaamua kukaza tu naona anajijua ana makosa.Ila Mwana Fa na Ommy ndio kabisa hawataki kabisa kujibu maswali yanayo husu baba zao,inavyo onekana hawataki hata kuwasikia.

Huyu mzee kama ingekuwa kwa mtoto mmoja ningesema kidogo aliteleza lkn alifanya hivyo hivyo kwa Queen Darleen haiwezekani ufanye kitu kimoja kwa watoto wako wote wawili alafu wanawake wote wa wawili wawe na matatizo,inaonekana yy tabia yake ni kutia mimba na kuacha.

Misaada anapewa ila mzee anataka treatment kama anayopata mama Dangote,hapo sasa ndipo panapokuwa pagumu.
 
Ile kumwita uncle ni kuhalalisha haramu..

Yaani Diamond fala sana,,nasikia hata vumbi la congo anamnunulia huyo uncle ili amsuguwe vizuri mama yake.
Kwani wewe hili linakuhusu nini?Unapata maumivu gani huyu Mama kusuguliwa vizuri?
Kama alitelekezwa badala ya kupewa Raha,acha mkongo ufanye kazi.
Unaumia mwenzio anapata Raha alionyimwa na huyo shoga wa zamani.
 
Diamond ana watoto

Na most likely watamfsnyia anachomfanyia Baba yake
 
Et eee,inawezekana,siku hyo walikuwa wamemtembelea huyo baba
Lazima iwe hivyo..

Ukiona mwanamke wa kiswahili kavaa hivyo maana yake ametoka out,,hayupo home.

Hata diamond inaonyesha alivalishwa kwa kutoka out.

Mtoto wa kiswahili ni ngumu kuvaa hivyo akiwa home,,tena tandale..
 
Je, nani alimuacha mwenzake? Mwanamke kama bado anakupenda wewe ukamuacha. Piga ua hata kama unalipa hata chakula anachokila kwa mama yake, hii ya Baba yake na Diamond inakuhusu. Ila kama yeye ndiye alikuacha, hapo mambo poa. tumekuwa wahanga wa hili ingawa tunasomesha hao watoto kwa zaidi ya million 5 kwa mwaka. Kisa tuliacha hatukuachwa
 
Kwani wewe hili linakuhusu nini?Unapata maumivu gani huyu Mama kusuguliwa vizuri?
Kama alitelekezwa badala ya kupewa Raha,acha mkongo ufanye kazi.
Unaumia mwenzio anapata Raha alionyimwa na huyo shoga wa zamani.
Mkuu naona umevama gheto la mabaharia na khanga hata chupi hukuvaa.

Hivi inakuingia akilini kisa mama yake diamond alitelekezwa na mzazi mwenzie,,?

matokeo yake ahamishie ugomvi wao kwa mtoto?

Tunachomlaumu diamond ni kutomjali baba yake,
Na asijiingize ktk ugomvi wa wazazi wake.
 
Halafu mzee sio kama anapenda kulia, media kila siku zinamfuata mmoja baada ya mwingine na mzee yupo very humble. Si unajua ukitaka kusikika bongo ripoti chochote kinachohusiana na Diamond.
 
Diamond ajitathimini sana, mzazi huwa hakosei kwa mtoto.
 
Alafu Diamond swagger na kipaji karithi kwa baba....

Ila upumbavu kulea kibenten Cha mama, eti anamwita Uncle Shamte
Afadhali amlee na kumuita uncle Shamte, maza alikua anatoka na vijana age ya Diamond kabla ya Shamte.
 
Ukiweka mimba mahali mtoto akizaliwa lea. Kuja kutulilialilia humu baada ya kugomewa matunzo na toka kwa watoto mliowatelekeza mkome. Diamond shikilia hapo hapo hadi hawa Makanjanja wa mimba watie adabu.
 
Ni Queen darin tu,, kama kuna mwingine sijuwi..

Ila hata kama huyo mzee aligombana na mama diamond,,,

Yeye diamond hayamuhusu,,,,

Wale wote ni wazazi wake, hapaswi kubagua.
Wakati huyo Bwana anagombana na mkewe (mama Diamond), Diamond alihusikaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…