Sasa umesema wewe unamwona Chizi sababu kila mara anaongea na waandishi,,
Sasa hao waandishi anaongea nao wapi?
Kama hafuatwi na hao waandishi??
Sasa mbona lawama zote kwa domo peke yake wakati kumbe ana watoto wengineKwinidalini pia ni mwanae
sasa kama mtoto mwenyewe hakutaki c uachane nae sio kulia lia mtandao anatia aibuHata kama Kuna mwingine mwenye nguvu ni nani kati yao
Pole sana, Vaseline ndo mafuta nayo yapenda, na bahati mbaya hutapata bahati ya kunipaka. Napenda kupakwa mafuta lakn sio na boya Kama weweUkiendelea na tabia ya kuvamia chumba cha mabaharia umevaa dera bila chupii.
Hutopona bawasiri
Next time njoo na Vaseline..hutoumia
Hana uwezo wa kuita media?! Hivi unayajua magazeti ya udaku wewe?! Hata wewe wapigie simu kuwaambia una bonge la scandal kuhusu Domo au staa yeyote wa Kibongo kama hawajakufuata popote ulipo. Huyo mzee alikuwa anatumika na magazeti ya udaku, hadi mwenyewe anakuja kushituka na kuwaambia wasiwe wanamgombanisha na mwanae ilishakuwa too late kwa sababu tayari alishakuwa amefanya damage kubwa sana na ndio maana kuna siku Domo akiwa live pale Wasafi alisema wazi kwamba kinachomkera kuhusu mzee Abdul ni tabia yake ya kutumika na magazeti ya udakuYule mzee anafuatwa,,hana uwezo wowote wa kuita Media...
Habari wadau kama mtakua mnatembelea mitandao ya kijamii naamini Habari kubwa sasaiv ni Diamond na baba yake watu wamekua na maswal mengi kila mtu ameuliza lake na bila kupata Majibu Bali kubaki na maswali yalio zalishwa na swali
Mimi binafs niende moja kwa moja kwenye hoja. Na kusema kwa akil zangu timam nikiangalia situation ya maisha ya Mama Diamond anavyo ishi anavyo jiweka na maisha ya Baba Diamond Iman yangu inaniambia kua Mama kamlisha Sumu mbaya Sana Mwanae. Na kila siku inapo kucha Diamond anazid kuambiwa Mengi Tena kwa ukaribu Zaid na mama yake juu ya baba yake
Kwanini Diamond hataki kumsamehe Baba yake kumpa hata 10k kwa siku ili imsaidie?
Ni kosa gani kubwa kalifanya Baba Diamond wakat hakukataa Mimba ya Diamond na apo awal inaonyeaha wazi kabisa Diamond na baba yake na mama yake walikua ni Familia yenye furaha? Kipi kilitokea mpaka Leo hii Diamond hatak kumsaidia Baba yake? Mana sidhan kama mzaz hakukataa Mimba akailea mpaka uka kua Baada ya apo hakuna kosa lisilo sameheka kwa Baba au mama utamuukum kwa lip mzaz alie kulea mpaka ukakua na Kuanza kujieleza?
Wanawake kama mmepanda zao wote pamoja basi na kwenye mavuno iwe ivyo ivyo Pia ningependa kumshaur mama Diamond aache kuwapa watu Iman mbaya Zaid yake ya wao kufikiria kua yeye ndio sababu kwa mambo anayo yafanya na kuyaongea juzi Anamjibu mtu kwenye Mitandao ya kijamii kua nanukuu "kwani diamond ndio mtoto wake pekee si anamtoto mwingine mkubwa aende akamsaidie Kwan mpaka Diamond" dah Mama diamond muogope Mungu
Narudia Tena mimi Binafs sion dhambi kubwa ya mtoto kumtesa mzee Abdul vile kwa dam yake kama hakukataa mimba na kuitelekeka Familia
Mbaya Zaid Baba Diamond kafika mbali na kusema kua akifa Diamond asiendee kumzika hii sio poa kabisa Diamond Baba yako uyo embu fikiria pemben bila kumshirikisha mama yako alafu upime unacho fanya ni Sawa?
Hivi hii scandal ni kweli? Jamaa anamtafuna bi.mkubwa kama siri ya utajiri wake?
Fuatilia acha kuropoka. Hao wote hawataki kabisa kusikia habari za baba zao,
Hata suala la mimba lilikua na mushkeli.
Sasa kosa lake nn hata Kama anaita media kupeleka ujumbe kwa diamond?Hana uwezo wa kuita media?! Hivi unayajua magazeti ya udaku wewe?! Hata wewe wapigie simu kuwaambia una bonge la scandal kuhusu Domo au staa yeyote wa Kibongo kama hawajakufuata popote ulipo. Huyo mzee alikuwa anatumika na magazeti ya udaku, hadi mwenyewe anakuja kushituka na kuwaambia wasiwe wanamgombanisha na mwanae ilishakuwa too late kwa sababu tayari alishakuwa amefanya damage kubwa sana na ndio maana kuna siku Domo akiwa live pale Wasafi alisema wazi kwamba kinachomkera kuhusu mzee Abdul ni tabia yake ya kutumika na magazeti ya udaku
Pole sana, Vaseline ndo mafuta nayo yapenda, na bahati mbaya hutapata bahati ya kunipaka. Napenda kupakwa mafuta lakn sio na boya Kama wewe
Endeleeni kumjaza ujinga diamond,Kwani alivokua na Pesa alimjua Diamond?si aliona badala ya kusomesha mtoto wake aliangaika na Malaya,hakujua Diamond anakula Nini anavaa nini,Hata nauli ya daladala alionyimwa,unataka huyo Baba yeye asipate hata kashida?
Hakika kabisa.Hulka za wa mama wa Tandale wa miaka io
Acheni please kusema uongo kuwa masingle maza huwa wanalisha sumu watoto wao. Ni hiviii mtoto anaanza ku recognise his/her parents from early stage in life; few months old and second tunaanza ku form memories from the tender age of 3, sasa wewe kama Baba usi create a bond na mwanao from this age, ukamwachia mwanao good memories usitegemee afanye tofauti akiwa mkubwa! Ulikua non-existing in his life ama memories ulizoacha ni chapombe,umalaya na vipigo kwa mama yake, mtoto anakua mkubwa siku zote akitaka kumprotect mama yake , kumuonyesha upendo mama yake, sasa nyie mnatafsiri analishwa sumu, atakusaidia wewe Baba as a favour au ni ubinadamu tu kusaidia lakini Moyoni mwake kuna resentment ambayo ni ngumu kidogo kufutika. Kiukweli wababa humu muweke efforts kuweka bond na watoto wenu tangia wadogo, Hata mtu akisema baya kuhusu nyie halita affect chochote since mtoto ana good memories of you. Na lazima akutafute akiwa mkubwa kwa sababu umeacha alama katika Maisha yake kwa kuwa na bond strong alivyokua mdogo...
hii ndio best comment! funga kazi
Hivi ataenda kumzika kwa level ya utajiri wake kweli?Nakuhakikishia mkuu,,
Kama hutambui umuhimu wa mzazi utauona siku akiondoka duniani..
Naamini siku huyo mzee akifariki diamond atakuwa kwenye wakati mgumu kuliko wowote tangu aumbwe na MUNGU.