Huu ushaidi unaonyesha kabisa baba Diamond hakustahili haya na huenda mama ndio akawa mbaya

Haja guess ameuliza maswali kutokana na sababu ulizozitoa wewe na majibu ya hayo maswali ndiyo yataonyesha kama mwenye matatizo alikuwa huyo baba au hao wanawake.
Kwanini tuguess mkuu? Wao kushindwana ni kawaida. Hapa tunaongelea hizi chuki. Kwani wangapi wanaachana na still wanaishi vizuri tu? Usimchukie baba wala mama. Hawana mbadala
 
Kwa nini ni mama wa ajabu ajabu?
Shamte ni mtu mzima na mama yake Diamond ni mtu mzima.
Yule mama ukimuangalia ni mama flani wa ajabu ajabu. Lazima Diamond kalishwa maneno sana, mama mstaarabu hawezi kudate na yule kijana anayekaribia kulingana na mwanae
 
Kuna watu wana uwezo mdogo sana wa kufikiri, wasamehe tu uwezo wa ubongo wao kuchakata mambo ndipo unapoishia hapo.
Huwa nawashangaa wanaosema wanalishwa simu na mama zao,
Mimi na mama hatukuwahi kujadili chochote kuhusu baba,

Ila nafsi yangu imemkataa mpaka kesho
 
Kuna wanaume wengi wanafikiri kuwa baba ni kumpa mwanamke mimba tu, wanasababisha matatizo makubwa sana kwa watoto halafu huko mbeleni wanabaki kujilalamisha tu.
 
KAMA alimtelekeza mama yake na Diamond alikuwa anaishi na mama yake basi aliwatelekeza wote wawili labda kama alikuwa amemuwekea Diamond order ya kula kwa mama ntilie peke yake.
Hivi mkuu naujuwa ugomvi wa huyo mama na mzee Abdul?

Huyo mama mzinguaji tangu zamani.

Inasemekana huyo mama tabia ya kuishi na mabwana nyumbani kwake haikuanza Leo.

Tabia unazomuona nazo Leo huyo mama akiwa na umri wa miaka 53,,
Mfano::
-- kuvaa vimini.
-- kuvaa dera bila chupi.
-- kuvaa jeans skinny.
-- kutembea na vivulana vidogo.

Hivi umewahi kujiuliza alipokuwa ana umri wa under 25 alikuwa ni msichana wa aina gani?

Huyo mama alikuwa mdangaji sana tangu zamani,,,
Alizaa na muhindi mmoja mtoto wake wa kwanza asma,,,,,yule muhindi nae alimtosa,,

Baadae akaja kuishi na baba diamond hapo kwa akina mama diamond nyumbani kwao tandale,,

Inasemekana huyo mama alimtupia virago mzee Abdul,,baada ya kupata bwana mwingine,,check bob sana zaidi ya mzee Abdul.

Kama uwajuavyo wanawake wa kiswahili ukigombana nae ataropoka upuuzi mtupu..

Mfano..
--Huna uwezo wa kunipa mimba wewe.
--Kwenye wanaume na wewe mwanaume?
--Kwanza haisimami hadi nikusaidie kwa vidole.
--Kwenda lofa mkubwa wewe..
---Takataka tu..
--Mwanaume suruali tu..
--Toa pumbu zako hapa,,hata Mbuzi anazo hapa pochi tu.

Maneno kama hayo kwa mwanaume mwenye akili hayavumiliki kuambiwa na mwanamke.
Huyo mzee akashika hamsini zake.

Hyo picha inajieleza ni kila kitu.

-- baba diamond yupo kwenye furaha kubwa baada ya mama diamond kujutia yale aliyoyafanya.

--Mama diamond anaonyesha hali ya kuomba msamaha.
Na kumleta na mtoto.

Sasa ulitaka baba diamond aendelee kutukanwa ukweni?
Aliamua kujiondokea kulinda heshima yake.

Anachokifanya huyo mama leo ni kutompa nafasi diamond kujuwa sababu iliyofanya baba diamond kupelekea kugombana na huyo mama,
Kulinda dhambi zake.
Na kulinda chuki binafsi kwa baba diamond ,,
Na kuendeleza uchoyo wake,,

ni kama vile anataka anufaike peke yake na diamond.

Haingii akilini kwamba kila diamond akizidi kupata mafanikio ndy anazidi kuwa tofauti na baba yake.

Mbona wakati hana kitu kuna picha mbali mbali zinaonyesha alikuwa akimfata baba yake?
Sasa Leo iweje aonekane walikuwa hawapatani wala kujuliana hali?

Huyo diamond yatamkuta kama yanavyomkuta huyo mzee Leo,,MUNGU hadhihakiwi,,,

--Kama Mungu alishasema watiini wazazi wenu wawili,,
Kwani wao ndio sababu za kupatikana kwenu,,

Na yeye anamnyanyapaa baba yake,,,,basi atalipwa tu kwa hayo anayoyafanya..

Ngoja Mzee atangulie mbele za haki.

Ni jambo la muda tu...
 
Hakukuwa na mushkel wowote mkuu,,,

Huyo diamond anaitwa naseeb Abdul..

Huyo mzee ndy mzee Abdul naseeb..

Sasa kama angekuwa sio mwanae angempa jina la baba yake?

Huyo mama ndy muasisi wa sarakasi , mazingaombwe na maroroso yote yanayohusu ugomvi wa mzee Abdul..
Vitu vyote ni vya kutengeneza tu,,ili ahalalishe udhalimu wake.

Mama huyo ni zaidi ya koboko,,,,

Ndy maana hata leo hasiti kuionyesha jamii makunyanzi yake ya kizee hadharani,
.sababu ya kuwa na uso wa Mbuzi.
 
Hivi mfano wewe ndy baba diamond sasa ungekuwa na hali gani?

-Unatembeza viatu vya mitumba,,jua lako mvua yako,,

-Miguu inakusumbuwa.

- kula inakusumbuwa.

Huku ukiona mzazi mwenzio anapewa kila kitu hadi uncle shamte mahari kalipiwa na diamond,,
Na cheo cha le boss juu.
.ungefurahi?
 
Wengi mnaomtetea baba yake Diamond inaonyesha hampendi tu lifestyle ya mama yake Diamond na mnakerwa na ukaribu wa Diamond na mama yake, zaidi ya hapo hamna hoja yoyote yenye mashiko.
 
Mmh ila kwa mzee Abdul sidhan kama ni hivyo
 
Huwa sifurahi hata nikiona watoto wametelekezwa barabarani wanaomba omba huku kuna watu wengi matajiri wanaweza kuwachukuwa na kuwapa maisha mazuri anayostahili binadamu. Hata hivyo kutofurahi kwangu hakubadilishi kitu chochote na hakubadilishi ukweli kwamba kuna watu wengi wanazaa ila hawakupaswa kufanya hivyo.
 
Mkuu ogopa sana kiumbe kinachoitwa ''MWANAMKE''

1. Mwanamke yuko tayari kumfanyia dawa mwanae ili asimthamini baba yake.

2. Mwanamke yuko tayari kumwambia mwanae mambo yakutisha ili tu asimthamini baba yake. Kama vile baba yako anataka kukuua eti anasema umechukua nyota yake, baba yako hakuwahi kukununulia hata kalamu wakati unasoma. Pesa yake alikuwa akimalizia kwa malaya nk

3.Mwanamke yuko tayari kutumia kila mbinu anayoiweza kuhakikisha baba na wanae hawapatani kabisa. Hasa mme akiwa na mke zaidi ya m1 au kama baba na mama wameachana.

HAO VIUMBE NI HATARI ZAIDI YA COVID19
 
Kwa nini ni mama wa ajabu ajabu?
Shamte ni mtu mzima na mama yake Diamond ni mtu mzima.
Kazi ya Uncle Shamte ni kupiga mashine na kuhakikisha mama Dangote anafurahia.
 
Unaye mama aliyekuzaa?
Mama yako alifanya au anaweza kufanya hayo uliyoyasema?
Umewahi kusoma au kusikia madhila ambayo baadhi ya wanawake wameyapitia kutoka kwa wanaume? Unafahamu kuna wanawake ni vilema kabisa na wamepatiwa ulemavu huo na wanaume? Unafahamu kuna wanaume wametelekeza kabisa watoto wao ili "kulinda ndoa" zao?
 
Ushahidi wako uko wapi sasa?
Mbona hakuna ushahidi wowote uliouweka zaidi ya malalamiko na matamanio yako tu!
Naona baba levo umetumwa Kuja kumtetea boss wako ila mkumbushe kua hata yeye aliwah kulia kwenye midia kua zary anawalisha sum wanae ili wamuone mbaya kwa kuwaambia maneno ambayo sio ya kweli
 
Sawa chawa wa mzee Abdul,ujumbe wako utafika.
Naona baba levo umetumwa Kuja kumtetea boss wako ila mkumbushe kua hata yeye aliwah kulia kwenye midia kua zary anawalisha sum wanae ili wamuone mbaya kwa kuwaambia maneno ambayo sio ya kweli
 
SISI WATU WA ELIMU ZA JUU TUNAJUA MENGI SANA "WAKATI MWINGINE SIRI YA KUPATA NA KUFURAHI SANA NI LAZIMA MWINGINE AUMIE KWA NAMNA YOYOTE ILE SHETANI HATOI BURE HATA SIKU MOJA WENZETU HUTENGENEZA MAZEZETA WENGINE HUWAADHIBU WAZAZI WAO VIKALI SANA BILA YA HURUMA ALI MRADI KUKAMILISHA SPECIFIC TARGET FULANI"UNAWIRI NA FAHARI YA DUNIA HII NDIO KAZI WANAYOIFANYA WALE MALAIKA WALIOTUPWA NA MUUMBA DUNIANI MAANA WALIJUA MADINI NA DHAHABU VYOTE NI VYA MUNGU KWA UKAIDI WAO WALIPOTUPWA TU CHA KWANZA KUIKALIA NI MALI YOOTE YA ULIMWENGU WAKIJUA TAMAA YA MWANADAMU IPO KWENYE MALI SASA ATAKAPOITAKA MALI HII NI LAZIMA ATATUFUATA SIS NA SISI BILA AJIZI TUTAMPA MASHARTI YETU ADHIMU ALI MRADI TU TUMPOTEZE NA USO WA MUNGU,
SOMENI SANA VITU MBALIMBALI MPATE KUJUA NA KUIEPUKA MITEGO YA IBILISI
 
Elimu ya juu tunayoijua rasmi haifundishi mambo ya uchawi na tunguli, wewe hii elimu yako ya juu uliipata wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…