Huu ushaidi unaonyesha kabisa baba Diamond hakustahili haya na huenda mama ndio akawa mbaya

Sababu wababa wa kibongo wanaona ni fashion kutelekeza familia zao, wanapuyanga huko baadae wanarudi kwenye wheelchair na kuanza kusumbua watu wale wale aliowatelekeza,
Sio kwel mbona kipind diamond hajafanikiwa Mama yake alikua anampeleka kwa baba yake na yeye mwenyewe diamond akawa anamfata baba yake ila usije kuta mama anamwambia mond baba yake anamroga
 
Unapenda kuhisi hisi acha tabia za kishamba bhana unatudhalilisha wana JF hatuna pigo hizo aiseee, hii forum ya kimataifa,

Baba ni wa Diamond, Pesa ni za Diamond, Maamuzi ni ya Diamond, na wewe anza leo kusaidia watoto yatima, wa mitaani, wagonjwa wasiojiweza na wale omba omba,

UTABARIKIWA.
 
Tuache kulaumu watu, nyie hayajawakuta! Nina ma mdogo wangu hapa, mumewe alimuacha na watoto watatu wadogo, jamaa alizaa na wanawake watatu tofauti na maza alaf akamuacha maza hana kitu.

maza amehangaika sana na wale watoto, watoto wengine kawaleta home mama awasomeshe wengine ndugu wanawasaidia! mpaka sasa amna ndugu wa kiume wala yule baba anaetoa matunzo hata kujulia hali tu, kuna wakat madogo wanakosa ada wanamfuata mshua wao anawatimua huku ana uwezo mzuri tu.

madogo hawataki hata kumskia baba yao, wanasema hawana baba, baba yangu ndo wanamuita baba.

Yule mjinga eti siku madogo watusue maisha aje anasema ndio baba yao, madogo wakimtema wako sahihi kabisa.

ata uyo baba yake diamond unadhan kama diamond asingetusua maisha akawa maskini, unadhan uyo mzee angejitokeza??
 
Usimlaum huenda Mama yako mdogo alimwambia haya

Wakiitwa wanaume na wewe utatoka
Watoto sio wako wewe huwez kuzalisha
Mwanaume surual Kaz kulea watoto wa wanaume wenzio

Maneno kama haya Mara nyingi Hua yanamfanya mwanaume awe na roho ngum Sana
 
ni kweli ukwel kuhusu wanawake bado haujulikani kutuchanganya na mapenz kisha kututenganisha na dam zetu wanaume wengi tuna tatizo hili bas tu.
 
Usimlaum huenda Mama yako mdogo alimwambia haya

Wakiitwa wanaume na wewe utatoka
Watoto sio wako wewe huwez kuzalisha
Mwanaume surual Kaz kulea watoto wa wanaume wenzio

Maneno kama haya Mara nyingi Hua yanamfanya mwanaume awe na roho ngum Sana

Halafu we jamaa una mawazo ya kifala sana, mwenzio anakuhadithia matatizo serious ndani ya familia yao. We unaongea utumbo utumbo wa kichwani kwako. We ndio kilaza kabisa kwenye hii thread.
 
Tuache kulaumu watu, nyie hayajawakuta! Nina ma mdogo wangu hapa, mumewe alimuacha na watoto watatu wadogo, jamaa alizaa na wanawake watatu tofauti na maza alaf akamuacha maza hana kitu.

maza amehangaika sana na wale watoto, watoto wengine kawaleta home mama awasomeshe wengine ndugu wanawasaidia! mpaka sasa amna ndugu wa kiume wala yule baba anaetoa matunzo hata kujulia hali tu, kuna wakat madogo wanakosa ada wanamfuata mshua wao anawatimua huku ana uwezo mzuri tu.

madogo hawataki hata kumskia baba yao, wanasema hawana baba, baba yangu ndo wanamuita baba.

Yule mjinga eti siku madogo watusue maisha aje anasema ndio baba yao, madogo wakimtema wako sahihi kabisa.

ata uyo baba yake diamond unadhan kama diamond asingetusua maisha akawa maskini, unadhan uyo mzee angejitokeza??
Kesi husikilizwa pande mbili,tungepata muda wakumuuliza huyo Baba nini kilitokea naye atoe maelezo,kwa maelezo yako ya upande mmoja tu hatuwezi kuhukumu na kutoa maamuzi.
 
Tumia akili baba, to abandon your child has no excuse. Hakuna mtu mwenye nguvu ya kukuchulia mtoto wako ukakubali. Hizo zako wewe ni akili za wabongo. Hakuna visingizio, if you're a father act like a father, sio wewe unakula maisha watoto wako wanalelewa na watu wengine halafu utuambie tukusilize upande wako. Huna la kutuambia.
 
Basi mwenyewe hapo ndio unajiona umetumia akili kinoma Eeeh!

Hebu soma comment #210 upate idea kidogo,hakuna Baba ambaye anaweza kumtupa mwanae bila sababu ya msingi.
 
Hakuna sababu ya msingi itakayokufanya umtupe mwanao, hizo ndio nimesema ni excuses tu ili usilaumiwe kwa kutokuwa responsible. Na hivyo vijisababu vipo Afrika tu, nchi nyingine kama ulei mwanao unapewa kesi. Wabongo wengi akili za kushikiwa sana, mfano mzuri ni wewe na Babaake Diamond.
 
Hakuna sababu ya msingi itakayokunya umtupe mwanao, hizo ndio nimesema ni excuses tu ili usilaumiwe kwa kutokuwa responsible. Na hivyo vijisababu vipo Afrika tu, nchi nyingine kama ulei mwanao unapewa kesi. Wabongo wengi akili za kushikiwa sana, mfano mzuri ni wewe na Babaake Diamond.
Mfano mzuri ni Mimi? unanijua Mimi? unasema "Nchi nyingine kama ulei mwanao unapewa kesi" Mimi nipo huku kwa Malkia si ningesha pewa hiyo kesi kwa mujibu wa maneno yako kua Mimi ni sawa na Baba Diamond?
 
Kwasababu huyo sio mwanao ndio maana umemuacha aende tu, na hiyo ndio sababu kubwa huwezi kuitwa na mtu wowote. Tell me why you don't want to take care of your kids? Why?
 
Which kids i dt want to take care? Mkuu upo ndotoni? wapi nimesema sitaki kutake care my Kids?
 
Muangalie vzr huyo mama sura yake,,na hizo nguo zake,,utagunduwa kitu kilichomo moyoni mwake.

Alikuwa na njaa sana halafu anapenda vinono.

Halafu angalia hata mikono yake alivyoiweka ni kama ananyenyekea kitu fulani,,
Au kama kaomba kitu fulani sasa anakitilia msisitizo apewe.

Hapo itakuwa alikuja kupiga kizinga tu kwa mzazi mwenzie hakuna kingine.
Inaonyesha hyo diamond ameletwa tu hapo,,
lakini hakai hapo na huyo Mzee.
So vipi kama jamaa aliwafukuza mtoto na mamake kama mbwa na matusi juu?..lazima tujue kuna kitu kikubwa kilitokea ambacho hakisemwi
 
iyo mipasho sasa jamaa zangu
Mipasho ipi,yaani wewe kuiona picha ndio kunakufanya kujua kila kitu kwenye familia usiyo ijua?

Au na wewe ndio wale wale,ukiona picha tu habari unatengeneza mwenyewe.
 
Which kids i dt want to take care? Mkuu upo ndotoni? wapi nimesema sitaki kutake care my Kids?

Then Wtf are you talking about? Sasa unajuaje sakata la child support in UK kama huna hata mtoto mmoja? We ongelea watoto wa hukohuko Bigwa tu
 
Huna akili wewe na vingereza vyako vyakuunga unga na gundi,hueleweki hata unataka nini,kaa pembeni boya wewe.
 
Back
Top Bottom