mwandende
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 11,005
- 20,805
Wazee wa x ray..We jamaa ni noma kwa kung'amua kwa picha.
Kkkkk
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazee wa x ray..We jamaa ni noma kwa kung'amua kwa picha.
Sio kwel mbona kipind diamond hajafanikiwa Mama yake alikua anampeleka kwa baba yake na yeye mwenyewe diamond akawa anamfata baba yake ila usije kuta mama anamwambia mond baba yake anamrogaSababu wababa wa kibongo wanaona ni fashion kutelekeza familia zao, wanapuyanga huko baadae wanarudi kwenye wheelchair na kuanza kusumbua watu wale wale aliowatelekeza,
Unapenda kuhisi hisi acha tabia za kishamba bhana unatudhalilisha wana JF hatuna pigo hizo aiseee, hii forum ya kimataifa,Sio kwel mbona kipind diamond hajafanikiwa Mama yake alikua anampeleka kwa baba yake na yeye mwenyewe diamond akawa anamfata baba yake ila usije kuta mama anamwambia mond baba yake anamroga
Usimlaum huenda Mama yako mdogo alimwambia hayaTuache kulaumu watu, nyie hayajawakuta! Nina ma mdogo wangu hapa, mumewe alimuacha na watoto watatu wadogo, jamaa alizaa na wanawake watatu tofauti na maza alaf akamuacha maza hana kitu.
maza amehangaika sana na wale watoto, watoto wengine kawaleta home mama awasomeshe wengine ndugu wanawasaidia! mpaka sasa amna ndugu wa kiume wala yule baba anaetoa matunzo hata kujulia hali tu, kuna wakat madogo wanakosa ada wanamfuata mshua wao anawatimua huku ana uwezo mzuri tu.
madogo hawataki hata kumskia baba yao, wanasema hawana baba, baba yangu ndo wanamuita baba.
Yule mjinga eti siku madogo watusue maisha aje anasema ndio baba yao, madogo wakimtema wako sahihi kabisa.
ata uyo baba yake diamond unadhan kama diamond asingetusua maisha akawa maskini, unadhan uyo mzee angejitokeza??
iyo mipasho sasa jamaa zanguMbongo mpe picha tu,mengine atamalizia mwenyewe.
ni kweli ukwel kuhusu wanawake bado haujulikani kutuchanganya na mapenz kisha kututenganisha na dam zetu wanaume wengi tuna tatizo hili bas tu.Usimlaum huenda Mama yako mdogo alimwambia haya
Wakiitwa wanaume na wewe utatoka
Watoto sio wako wewe huwez kuzalisha
Mwanaume surual Kaz kulea watoto wa wanaume wenzio
Maneno kama haya Mara nyingi Hua yanamfanya mwanaume awe na roho ngum Sana
Usimlaum huenda Mama yako mdogo alimwambia haya
Wakiitwa wanaume na wewe utatoka
Watoto sio wako wewe huwez kuzalisha
Mwanaume surual Kaz kulea watoto wa wanaume wenzio
Maneno kama haya Mara nyingi Hua yanamfanya mwanaume awe na roho ngum Sana
Kesi husikilizwa pande mbili,tungepata muda wakumuuliza huyo Baba nini kilitokea naye atoe maelezo,kwa maelezo yako ya upande mmoja tu hatuwezi kuhukumu na kutoa maamuzi.Tuache kulaumu watu, nyie hayajawakuta! Nina ma mdogo wangu hapa, mumewe alimuacha na watoto watatu wadogo, jamaa alizaa na wanawake watatu tofauti na maza alaf akamuacha maza hana kitu.
maza amehangaika sana na wale watoto, watoto wengine kawaleta home mama awasomeshe wengine ndugu wanawasaidia! mpaka sasa amna ndugu wa kiume wala yule baba anaetoa matunzo hata kujulia hali tu, kuna wakat madogo wanakosa ada wanamfuata mshua wao anawatimua huku ana uwezo mzuri tu.
madogo hawataki hata kumskia baba yao, wanasema hawana baba, baba yangu ndo wanamuita baba.
Yule mjinga eti siku madogo watusue maisha aje anasema ndio baba yao, madogo wakimtema wako sahihi kabisa.
ata uyo baba yake diamond unadhan kama diamond asingetusua maisha akawa maskini, unadhan uyo mzee angejitokeza??
Kesi husikilizwa pande mbili,tungepata muda wakumuuliza huyo Baba nini kilitokea naye atoe maelezo,kwa maelezo yako ya upande mmoja tu hatuwezi kuhukumu na kutoa maamuzi.
Basi mwenyewe hapo ndio unajiona umetumia akili kinoma Eeeh!Tumia akili baba, to abandon your child has no excuse. Hakuna mtu mwenye nguvu ya kukuchulia mtoto wako ukakubali. Hizo zako wewe ni akili za wabongo. Hakuna visingizio, if you're a father act like a father, sio wewe unakula maisha watoto wako wanalelewa na watu wengine halafu utuambie tukusilize upande wako. Huna la kutuambia.
Basi mwenyewe hapo ndio unajiona umetumia akili kinoma Eeeh!
Hebu soma comment #210 upate idea kidogo,hakuna Baba ambaye anaweza kumtupa mwanae bila sababu ya msingi.
Mfano mzuri ni Mimi? unanijua Mimi? unasema "Nchi nyingine kama ulei mwanao unapewa kesi" Mimi nipo huku kwa Malkia si ningesha pewa hiyo kesi kwa mujibu wa maneno yako kua Mimi ni sawa na Baba Diamond?Hakuna sababu ya msingi itakayokunya umtupe mwanao, hizo ndio nimesema ni excuses tu ili usilaumiwe kwa kutokuwa responsible. Na hivyo vijisababu vipo Afrika tu, nchi nyingine kama ulei mwanao unapewa kesi. Wabongo wengi akili za kushikiwa sana, mfano mzuri ni wewe na Babaake Diamond.
Mfano mzuri ni Mimi? unanijua Mimi? unasema "Nchi nyingine kama ulei mwanao unapewa kesi" Mimi nipo huku kwa Malkia si ningesha pewa hiyo kesi kwa mujibu wa maneno yako kua Mimi ni sawa na Baba Diamond?
Which kids i dt want to take care? Mkuu upo ndotoni? wapi nimesema sitaki kutake care my Kids?Kwasababu huyo sio mwanao ndio maana umemuacha aende tu, na hiyo ndio sababu kubwa huwezi kuitwa na mtu wowote. Tell me why you don't want to take care of your kids? Why?
So vipi kama jamaa aliwafukuza mtoto na mamake kama mbwa na matusi juu?..lazima tujue kuna kitu kikubwa kilitokea ambacho hakisemwiMuangalie vzr huyo mama sura yake,,na hizo nguo zake,,utagunduwa kitu kilichomo moyoni mwake.
Alikuwa na njaa sana halafu anapenda vinono.
Halafu angalia hata mikono yake alivyoiweka ni kama ananyenyekea kitu fulani,,
Au kama kaomba kitu fulani sasa anakitilia msisitizo apewe.
Hapo itakuwa alikuja kupiga kizinga tu kwa mzazi mwenzie hakuna kingine.
Inaonyesha hyo diamond ameletwa tu hapo,,
lakini hakai hapo na huyo Mzee.
Mipasho ipi,yaani wewe kuiona picha ndio kunakufanya kujua kila kitu kwenye familia usiyo ijua?iyo mipasho sasa jamaa zangu
Which kids i dt want to take care? Mkuu upo ndotoni? wapi nimesema sitaki kutake care my Kids?
Huna akili wewe na vingereza vyako vyakuunga unga na gundi,hueleweki hata unataka nini,kaa pembeni boya wewe.Then Wtf are you talking about? Sasa unajuaje sakata la child support in UK kama huna hata mtoto mmoja? We ongelea watoto wa hukohuko Bigwa tu
Huna akili wewe na vingereza vyako vyakuunga unga na gundi,hueleweki hata unataka nini,kaa pembeni boya wewe.