Uchaguzi 2020 Huu utaratibu wa Halima Mdee na Lema kutumia sauti zilizorekodiwa za Rais Magufuli na Askofu Gwajima haukubaliki

Sasa kama huna uhakika kiherehere cha nini?
Bwashee thread zako siku hizi zimekaa kibange bange sana.
Huyu mchana CCM usiku CDM, yaani anaonekana kabisa hapa anazuga ili aonekane bado yupo kazini ndio maana unaona thread zake zimekaa kibangebange zaidi
 

ulitaka blaa blaa usema wanadanganya😂
 
Hiyo inaitwa kumkaanga kuku kwa mafuta yake mwenyewe...
 

Kwani ni za kutunga au ?
 
Mkuu, Magufuli utamwonea, waulizwe wajumbe

Wala hatumuonei ,wewe kwa kauli hii unafikiri ni nani atakae pingana na Mwenyekiti !?.

Kwa kauli hii wateuliwa wa Tume ya Uchaguzi wata weza kupingana na Boss wao !?.

Polisi je !!!
 
Ache kutetea mambo ambayo hayakubaliki kijamii na kisheria ili kuhalalisha matakwa ya masikio yenu. Imagine kama kila chama na mgombea akitumia njia hii nchi hii itakalika?
Yaani jina limekosa herufi moja tu "n" mahali fulani liakisi akili halisia ya mtoa bandiko hili?
 
Mleta mada hujui Kama sasahivi niwakati wa kampeni na kutafuta weakness ya mwenzio ili upate Ushindi.
 
Sio halali kwako lakini wapiga kura wanatakiwa kujua wanachaguw watu gani
Gwajima ni mtanzania Anayo haki ya kuchukia waislamu na kupenda ni hiari kama anatuchukia asiwe mnafiki mbona Trump anasema wazi I HATE MUSLIMS na anashida uraisi?
Huu sio wakati wa unafiki tell Mr Gwajima be yourself don't pretend to be others
 
Afadhali Mrisho alishinda kura za maoni lakini huyu porn star Gwajima alishindwa vibaya akawa nafasi ya 3 jiwe kamrudisha kwa vigezo vya ukabila
Hata wajumbe wa CCM hawamtaki kabisa gwajima
 
Mkuu lakini unaukubali utaratibu wa wagombea wa CCM pekee kupita bila kupingwa! Hebu pia wale muangalizo NEC halo
 
Wajumbe walimnyima kura Porn star Gwajima mtoto wa warioba Ndio alishinda kwa kishindo
Ila jiwe kamrudisha kwa kigezo cha ukabila
Sasa tupo njia panda 🐼
Si nibora huko Kwa kuwa Huyo unayeshindwa kumtaja Jin lake ingawa unamfahamu atashinda,
 
haukubaliki wapi?na nani?
mbona mimi nauona poa tuu.

unapokimbiza mwizi kumbuka kufunga mlango wako kwanza.
 
B

Bi kidude kashikwa pabaya. Bishop. Dr. Gwajima mbunge mtarajiwa wa Kawe.
Mimi ni mwana CCM pia ni Muislamu
Kwa kweli kauli za ndugu Gwajima zinatuweka pabaya waislamu
Mtu mwema hawezi kuzungumza maneno ya chuki hivi
Mbaya zaidi anazidi kuharibu kwa kusema hivi karibuni nimewachimbia vidima waislamu kwenye vimsikiti vya makuti anaesema namchukia muislamu ni mnafiki
Sasa sisi tumekua wanafiki
Simpigii kura halima pia sidhani kama tapiga kura ya ubunge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…