Uchaguzi 2020 Huu utaratibu wa Halima Mdee na Lema kutumia sauti zilizorekodiwa za Rais Magufuli na Askofu Gwajima haukubaliki

Zile sauti sio fabricated. Ni sauti zao halisi na waliyoyasema ndio ukweli wenyewe. Mtumishi wa Mungu wa kweli ni “zaidi ya Mbunge” na Gambo alitumbuliwa kwa kuwa alikuwa hafai.

Kwa kuwa matumizi ya sauti zile halali sio jinai, ndio maana wenye sauti zao hawajaenda kureport popote
 
Ila CCM wakitumia za marehemu Nyerere?
 
Ndio maana ya uchaguzi
 
yaani hao wanatapatapa tu wanajuwa ubunge kwao ndiyo mwisho haina shida kuhangaika nao
 
Hii itakua fundisho kwao wakati wamekaa karamuni wasiwe wanaongea upuuzi wakisahau kuwa watakuja mtaani, ni utaratibu mzuri sana na nmeupenda maana unawafanya waishi mda wote kiumakini, kuna thread flani nliwai ileta humu Kitambo nikishauri kuhusu hili jambo ngoja niutafute ntaupandisha
 
Kwani walirekodiwa wakiwa wapi na walikuwa wanafanya nini? Kama walikuwa wanafanya mambo ya siasa ni wajibu wananchi kukumbushwa huenda wengine wamesahau
 
Wana CCM wengi tunaunga mkono Halima kutumia mbinu zozote zile , kuhakikisha yuke fedhuli, nduli, Gamba la Kidini linaangukia pua. Laana ya kumleta huyu Gwajima Mzinifu itampata Magufuli, na mojawapo za laana hizo ni taabu anazotupa Tundu Lissu na Zitto Kabwe kwenye campaign hizi. Mtu yoyote anayemuunga mkono Gwajima alaaniwe.

Kuhusu lema , huyu lema ni chokora ila CCM kila siku kinakosea sana Arusha, wapiga kura wengi wa Arusha ni wachaga maisha yao hawampigii kura mtu asiye mchaga, wao Arusha wanekujabna wameitaifisha, na mjini wako kwa wingi na katika kila sector, hawatamchagua mzaramo aliyeowa mchaga, mwanamke wa kichaga kuolewa nje ya kabila ni kuleta maendeleo nyimbani na sio kwa mume.
 
Maneno Ni yako kabla hujayatamka, ukishayatamka, si Mali yako tena Bali ya jamii.

Na ndiyo maana kuna nukuu chungu tele, zote Ni matokeo ya fikra zilizotamkwa.

Hivyo kauli za Magufuli na Geajima, kwa sasa si tu zinatumika kizazi hiki, huenda huko mbeleni zitatumika hata kwa kufundishia.
 
Who cares kama ni wewe binafsi
 
Siasa ni sayansi bwashee!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…