Uchaguzi 2020 Huu utaratibu wa Halima Mdee na Lema kutumia sauti zilizorekodiwa za Rais Magufuli na Askofu Gwajima haukubaliki

Je, sheria ya uchaguzi inaruhusu?
 
Hao walio rekodiwa ni kweli waliongea hayo maneno au wana singiziwa??
 
Hizo ni techniques katika GAME, hanna tatizo hapo
 
Uchaguzi na sheria zake sio suala muono wako BINAFSI na jinsi unavyojisikia,zipo kanuni na taratibu za mchakato mzima.
 
Bwaaheee acha wenge!
Apo tatizo nini ametengeneza hizo sauti au ni zao?
Kama ni zao tatizo lipo wapo!?
Walirekodi wakati wakiwa vichaa au wa kiwa na akili zao timamu!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…