Huu utaratibu wa kuhubiri injili kwenye magari ya abiria ni kero kubwa, LATRA muingilie kati

Huu utaratibu wa kuhubiri injili kwenye magari ya abiria ni kero kubwa, LATRA muingilie kati

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
Mtu unasafri zako unahitaji mapumzko anatokea mtu anajifanya analeta neno la Bwana bila kujua watu waliopo ndani wanatatizo gani wengine hawataki kelele anajifanya anahubiri dakika 3 anaomba sadaka.

Hebu tufanye kazi tusijifiche kwa kivuli cha kuhubiri na kulazimisha sadaka.
 
Mtu unasafri zako unahitaji mapumzko anatokea mtu anajifanya analeta neno labwana bila kuju watu walipo ndani wanatatizo gani wengine hawataki kelele anajifanya anahubiri dakika 3 anaomba sadaka

Hebu tufanye kazi tusijifiche kwa kivuli cha kuhubiri na kulazimisha sadaka
I have never seen these people on Airplane but again I can not be angry with them although it's very boring for Muslim.
 
Wauza Bidhaa ndiyo shida watu mnaagalia muvi ama show ya muziki kwenye tv ya gari, mara anaibuka mtu ' abiria tufunge mkanda, na maneno kibao utadhani ni muhusika kwenye gari/basi hilo kisha anaanza na habari za bidhaa za bei ya promosheni, yaani usumbufu kibao.
 
Watakuja wakuu wenye makuu,watakuambia nunua gari lako.
 
Kila kitu kiwe na utaratibu wake hii ninkero kibwa sana, sasa mkristo ahibiri na muislam atoe neno kwenye piblic transport hio haiwezi kuwa sawa
Latra watazame hilo
 
Kila kitu kiwe na utaratibu wake hii ninkero kibwa sana, sasa mkristo ahibiri na muislam atoe neno kwenye piblic transport hio haiwezi kuwa sawa
ninkero ## kibwa ## ahibiri ## piblic ## hio.

Kwa mwandiko huo, wewe ni kero hasa.

Shuleni mlienda kusomea ujinga??( in Faiza Foxy Voice)
 
Back
Top Bottom