Huu utaratibu wa kuhubiri injili kwenye magari ya abiria ni kero kubwa, LATRA muingilie kati

Mtu unasafri zako unahitaji mapumzko anatokea mtu anajifanya analeta neno la Bwana bila kujua watu waliopo ndani wanatatizo gani wengine hawataki kelele anajifanya anahubiri dakika 3 anaomba sadaka.

Hebu tufanye kazi tusijifiche kwa kivuli cha kuhubiri na kulazimisha sadaka.
Vibwengo vyako vitakuwa vimekanyagwa tayari sio kwa povu hili.
 
Wenzetu mungu wao sio wa utaratibu.
 
Najua wengi watakukejeli kwa kusema ununue gari lako, wengi pia naona wameshasema, ila ukweli haupingiki hizi dini za ulokole ni shida.
Hao wanaosema kuwa ununue gari lako hautopata kadhia ya wachungaji wa kilokole wanaoganga njaa, wanasahau kuwa hao waganga njaa hawaishii kwenye mabus tu hata majumbani upita, na mafundisho yao ni ujinga mtu ( kupokea magari nk na kufunguliwa).

Kila mmoja ana uhuru wa kuabudu ila kuabudu kunapokuwa kero kwa watu wengine hilo ni tatizo na linaweza kuleta migogoro isiyo ya lazima​
Hakika wenyewe mbona hawawaaliki majumbani kwako? Kila kitu kina utaratibu
 
Mtu unasafri zako unahitaji mapumzko anatokea mtu anajifanya analeta neno la Bwana bila kujua watu waliopo ndani wanatatizo gani wengine hawataki kelele anajifanya anahubiri dakika 3 anaomba sadaka.

Hebu tufanye kazi tusijifiche kwa kivuli cha kuhubiri na kulazimisha sadaka.
Na kuna wale wanaouza bidhaa ndani ya mabasi has vipodozi na madawa. Bidhaa zenyewe feki, suluhisho wenye magari yaani dereva n conda walimwe faini kitaeleweka. Tumezidi kuendekeza shida za kijinga. Mtu nilipie nauli nataka nipumzike anakuja mtu kunipigia kelele wakati bidhaa halisi nimeziacha madukani. Shida LATRA hata hawajui majukumu yao
 
Kuna madereva wa New Force ya Kyela wanapenda weka Kaswida, wanakera mno
 
Nashukuru latra walilitolea ufafanuzi
 
MUNGU NDIYE MUUMBA WA YOTE, JUA PIA AMEKUUMBA WEWE MTOA MADA, TENA ALITUUMBA KWAAJILI YAKE NA SIYO KWAAJILI YETU (hatupaswi kujiamlia wakati na wapi tusikie neno la Mungu).
MUNGU NI BABA NA NI RAHA NA INAPENDEZA KUSEMA AU KUSIKIA UJUMBE KUTOKA KWA BABA. KAMA KUNA ANAYE CHUKIZWA NA INJILI HAJUI ANACHOSEMA MAANA KIUKWELI HAUNA LA KUFNYA AU KUJIVUNIA ILA KUMTUKUZA, KUMSIKIA, KUMUABUDU NA KUJIFUNZA HABARI ZA BABA YETU.
KAMA MTU YEYOTE HAPENDI INJILI NI SHETANI, HATA WEWE MTOA MADA JICHUNGUZE KAMA UNAJIJUA NI MPINGA MUNGU ANA HUJUI, JUA SASA NA VEMA UFANYE HARAKA KUGEUKA NA KUTUBU NA KUJIKABIDHI KWA MUNGU. UKIMKATAA MUNGU, YEY HATAKULAZIMISHA UMKUBALI- ILA IKO SIKU NA WAKATI ATAKUKATAA WEWE. USINGOJE IFIKIE HAPO, NYENYEKEA MWENYEWE NA KUTUBU KWA KUMPOKE YESU AWE BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YAKO LEO
 
Wajifanya mjuaji kuliko hata walioleta dini tafuta maisha wewe sio mahubiri sehemu zisizo stahili na watu kama wew mnakuwaga maskini wa kutupwa
 
Mbona unatoa povu sana...umaskini wake yeye unakupunguzia nini kwani au kukuongezea nini? Acha watu waongee..nunua gari lako upande mwenyewe
Wajifanya mjuaji kuliko hata walioleta dini tafuta maisha wewe sio mahubiri sehemu zisizo stahili na watu kama wew mnakuwaga maskini wa kutupwa
 
Kuombewa kwako ni kelele,pole sana ndugu yangu.lazima una pepo c bure.
 
Back
Top Bottom