Jbst
JF-Expert Member
- Nov 29, 2020
- 1,971
- 4,085
Hayo mahubiri afanyie nyumban kwake, hao wapuuzi waache kusumbua abiria, mtu umezaliwa hapa TZ ila unajifanya myahudi..Watenda dhambi huwa hawapendi mahubiri.
Hivi hiyo Bible inakuhusu nn ww ? Unaacha kufata mila za mababu zako unafata kitabu cha uongo cha kutunga