Nunua gari lako sio unalialiaWaalike nyumbani kwako
Kila kitu kiwe na utaratibu wake hii ninkero kibwa sana, sasa mkristo ahibiri na muislam atoe neno kwenye piblic transport hio haiwezi kuwa sawaNapenda mahubiri...
Neno la Mungu ni taa na mwanga linatumulika popote tunapokwenda...
I have never seen these people on Airplane but again I can not be angry with them although it's very boring for Muslim.Mtu unasafri zako unahitaji mapumzko anatokea mtu anajifanya analeta neno labwana bila kuju watu walipo ndani wanatatizo gani wengine hawataki kelele anajifanya anahubiri dakika 3 anaomba sadaka
Hebu tufanye kazi tusijifiche kwa kivuli cha kuhubiri na kulazimisha sadaka
Amen mpendwa!Napenda mahubiri...
Neno la Mungu ni taa na mwanga linatumulika popote tunapokwenda...
Watenda dhambi huwa hawapendi mahubiri.Mtu unasafri zako unahitaji mapumzko anatokea mtu anajifanya analeta neno labwana bila kuju watu walipo ndani wanatatizo gani wengine hawataki kelele anajifanya anahubiri dakika 3 anaomba sadaka
Hebu tufanye kazi tusijifiche kwa kivuli cha kuhubiri na kulazimisha sadaka
ninkero ## kibwa ## ahibiri ## piblic ## hio.Kila kitu kiwe na utaratibu wake hii ninkero kibwa sana, sasa mkristo ahibiri na muislam atoe neno kwenye piblic transport hio haiwezi kuwa sawa