Hayo mahubiri afanyie nyumban kwake, hao wapuuzi waache kusumbua abiria, mtu umezaliwa hapa TZ ila unajifanya myahudi..Watenda dhambi huwa hawapendi mahubiri.
Unapoamshwa alfajiri na adhana ya msikitini hasa watoto wako wadogo ambao wanapaswa kupumzika Kwa muda mrefu wewe unajisikiaje wakiamshwa saa kumi na speak za msikitini hapo mtaani?Mtu unasafri zako unahitaji mapumzko anatokea mtu anajifanya analeta neno la Bwana bila kujua watu waliopo ndani wanatatizo gani wengine hawataki kelele anajifanya anahubiri dakika 3 anaomba sadaka.
Hebu tufanye kazi tusijifiche kwa kivuli cha kuhubiri na kulazimisha sadaka.
Mtu unasafri zako unahitaji mapumzko anatokea mtu anajifanya analeta neno la Bwana bila kujua watu waliopo ndani wanatatizo gani wengine hawataki kelele anajifanya anahubiri dakika 3 anaomba sadaka.
Hebu tufanye kazi tusijifiche kwa kivuli cha kuhubiri na kulazimisha sadaka.
Injili ni kwa kila mtu, ila kama wewe ni mtenda dhambi utaichukia mno.Hayo mahubiri afanyie nyumban kwake, hao wapuuzi waache kusumbua abiria, mtu umezaliwa hapa TZ ila unajifanya myahudi..
Hivi hiyo Bible inakuhusu nn ww ? Unaacha kufata mila za mababu zako unafata kitabu cha uongo cha kutunga
Sheeeendwaaa pepo...Neno la Mungu fanyia nyumban kwako na familia yako, acha kusumbua watu kwenye safari
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]Sheeeendwaaa pepo...
Mbona bado, kuna wakati litahubiriwa kila sehemu, hapo ndo utajua ni lazima kila goti litapigwa kwa Bwana YESU.
Mtu unasafri zako unahitaji mapumzko anatokea mtu anajifanya analeta neno la Bwana bila kujua watu waliopo ndani wanatatizo gani wengine hawataki kelele anajifanya anahubiri dakika 3 anaomba sadaka.
Hebu tufanye kazi tusijifiche kwa kivuli cha kuhubiri na kulazimisha sadaka.
[emoji23][emoji23]Mnaomwambia mtoa mada anunue gari lake kwamba nyie mnapenda mahubiri....na nyie nunueni yenu kwan yeye pia hapendi mahubiri
Nipe definition ya neno KELELE,tuanzie hapo kwanza!!!MAHUBIRI SIYO KELELE, TAMBUA HILO KWANZA...
Acha kila mtu afurahie uhuru wake pasipo kuvunja amani
Alafu Acha shobo ukiwa na gari yako binafsi hutasumbuliwa na mhubiri yoyote
Uoumbavu huo. Kuwa na gari binafsi ndio nini?Acha kila mtu afurahie uhuru wake pasipo kuvunja amani
Alafu Acha shobo ukiwa na gari yako binafsi hutasumbuliwa na mhubiri yoyote
Mwalimu usiejitambua,hao wanafunzi sijui unawafundishajeINJILI LAZIMA IHUBIRIWE KWA KILA KIUMBE, MPAKA MAPEPO YATOKE
FIREEE!!!!!!
Kwani hapo Rwanda si mmeshapigwa stop kusumbua watu asubuhi [emoji2][emoji2]Tukiwaendekeza watu kama nyie mtakuja kulalama pia azana inawapigia kelele asubh mkiwa na hangover ya jana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nunua gari lako...wengine tunapenda mahubiri
Anatoa tuKila kitu kiwe na utaratibu wake hii ninkero kibwa sana, sasa mkristo ahibiri na muislam atoe neno kwenye piblic transport hio haiwezi kuwa sawa
Acha watu watafute rizki.Wauza Bidhaa ndiyo shida watu mnaagalia muvi ama show ya muziki kwenye tv ya gari, mara anaibuka mtu ' abiria tufunge mkanda, na maneno kibao utadhani ni muhusika kwenye gari/basi hilo kisha anaanza na habari za bidhaa za bei ya promosheni, yaani usumbufu kibao.