Huu utaratibu wa kumweka Maiti namna hii huko Kenya unanishangaza

Huu utaratibu wa kumweka Maiti namna hii huko Kenya unanishangaza

Waterloo

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2010
Posts
25,356
Reaction score
38,922
Poleni majirani kwa msiba wa Rais mstaafu Mwai Kibaki.

Lakini labda mnijuze/ mnifunze huu utaratibu wa kumweka maiti hasa kiongozi mkubwa aliyefariki kwa style hii mmeutoa wapi?

Binafsi naona kama inatisha sana sasa sijui wenzetu nyie mnaona inapendeza labda. Hii niliona hata kwa marehemu Daniel Moi.

Screenshot_20220425-200902_Twitter.jpg
 
Back
Top Bottom