Huu utaratibu wa kumweka Maiti namna hii huko Kenya unanishangaza

Huu utaratibu wa kumweka Maiti namna hii huko Kenya unanishangaza

Ni utaratibu wa jamii zilizoendelea na kustaarabika ambazo zimeachana na mila za kizamani za uongo, mara kaburini kuko hivi mara kuko vile, mara kuna jamaa anatoa adhabu huko? Adhabu gani kwa mwili ambao unaoza?
 
Udini na ukabila utawamaliza. Tena kipindi hichi cha uchaguzi kila mmoja anarudi kwao mi mwenyewe mwezi wa sita narudi zangu Tanzania.
Ulikuja kutafuta nini Kenya? Si ungebaki hukohuko Tanzania!
 
Udini na ukabila utawamaliza. Tena kipindi hichi cha uchaguzi kila mmoja anarudi kwao mi mwenyewe mwezi wa sita narudi zangu Tanzania.
Narudia, Tanzania kuna udini, Kenya hakuna udini. Udini utamaliza Tanzania, sio Kenya.
 
Narudia, Tanzania kuna udini, Kenya hakuna udini. Udini utamaliza Tanzania, sio Kenya.
Kenya mmewaengua Waislamu kwenye uongozi wa juu. Ndio maana lile kundi la MRC likaanzishwa kule Mombasa na slogan "Pwani si Kenya" Kibaki akatumia ubabe kulizima. Mpaka 2016 Eid El Fitr/Eid El Hajj haikua public holiday hapo Kenya. Huo sio udini?
 
Kenya mmewaengua Waislamu kwenye uongozi wa juu. Ndio maana lile kundi la MRC likaanzishwa kule Mombasa na slogan "Pwani si Kenya" Kibaki akatumia ubabe kulizima. Mpaka 2018 Eid El Fitr/Eid El Hajj haikua public holiday hapo Kenya. Huo sio udini?
The highlighted part is enough proof hujui unachoongelea. Ndio maana I won't waste my time with you. 🚮 🚮 🚮
 
ni vizuri sana, hata mimi nimependa hiyo. Kuona ni kuamini, hata magufuri mimi memori yangu inaniambia hajafa bado yupo hai maana sikumuona akiwa kweli amekufa. Public figure ni vyema ikitokea amefariki mwili wake uwekwe hivyo wakati akiagwa!!, hata tukihubiriwa kuwa kuna siku tutakufa tunaelewa mapema na kuwa viumbe wazuri
 
Back
Top Bottom